China yaionya Israel dhidi ya kuzuia makubaliano ya Iran na Marekani
China imeionya Israel dhidi ya kuzuia utekelezaji wa Mkataba wa Maelewano (MoU) kati ya Iran na Marekani, huku ikitaka pande zote kuchukua hatua za vitendo kuunga mkono amani ya kikanda…