Serikali yajizatiti kukabili upungufu wa maji Dar, Pwani
DAR ES SALAAM: Serikali itaendelea kuchukua hatua zote za dharura kuhakikisha mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inaendelea kupata huduma ya maji kwa kadri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na…
DAR ES SALAAM: Serikali itaendelea kuchukua hatua zote za dharura kuhakikisha mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inaendelea kupata huduma ya maji kwa kadri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na…
GEITA: JESHI la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani limekemea vikali tabia ya mawakala wa mabasi ya abiria kufanya ulanguzi wa tiketi wa safari za mwisho wa mwaka kwani watachukuliwa hatua.…
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla leo Jumatatu Desemba 15, 2025 ameongoza kikao cha kusikiliza kero na changamoto za bodaboda na bajaji Mkoa wa Arusha. Kikao…
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amesema umoja na mshikamano wa Watanzania, amani ya nchi na maendeleo yanayoonekana leo ni matunda ya haki. RC Kheri aliyasema hayo leo…
TANGA: Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga. Mkutano…
BAADA ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 kupita, serikali imesisitiza kuwa inachukua hatua ya maridhiano kuhakikisha mazungumzo kati yake na makundi mbalimbali ili kujenga taifa lenye amani…
TRAKOMA ni ugonjwa wa macho unaoweza kuzuilika na kutibika, na ukiachwa bila matibabu husababisha upofu wa kudumu. Kwa mujibu wa madaktari bingwa wa magonjwa ya macho, ugonjwa husababishwa na bakteria…
KWA mujibu wa wataalamu wa sayansi, mtoto wa kiume anapoanza kuumbwa, korodani zake huwa tumboni na huanza safari ya kushuka chini kuanzia wiki ya nane hadi ya 15 ya ujauzito.…
MTOTO njiti ni mtoto anayezaliwa kabla ya muda wa kawaida wa mjamzito kujifungua wa wiki 37 za ujauzito. Inakadiriwa watoto njiti milioni 13.4 walizaliwa mwaka 2020, ikiwa ni takribani mtoto…
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amezindua mpango wa Wakala ya Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) wa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa ndani ya saa 48 za kazi.…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameeleza kuridhishwa na ujenzi wa barabara ya Ruanda -Idiwili mkoani Songwe unaotekelezwa na wakandarasi wanawake waliopata fursa kwa maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. The…
KIGOMA: JESHI la Magereza wilayani Kibondo mkoani Kigoma limeanza kutumia mkaa mbadala unaotokana na mchanganyiko wa maranda ya miti na udongo unaozalishwa ndani ya gereza hilo ikiwa ni sehemu ya…
DODOMA; WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Dk Nchemba alitoa wito…
UMOJA wa Mataifa (UN) umesema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano ndani ya Afrika na duniani kwa ujumla. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres pia alisema…
MKUU wa Gereza la Bukoba, Aloyce Kalihamwe amesema matumizi ya nishati safi ya kupikia yameleta mageuzi makubwa katika utekelezaji wa majukumu ya Magereza nchini yakichangia kwa kiasi kikubwa kuongeza ufanisi…
KILIMANJARO: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Hassan Chande amewataka wahitimu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka, kuzingatia uadilifu, uzalendo na unyenyekevu wakati wa kuhudumia wananchi na kulinda…
TUME ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeanza kuhoji majeruhi na baadhi ya ndugu waliopoteza wapendwa wao…
DODOMA; WAUMINI nchini wamekumbushwa kuishi maisha ya imani ili kuandika historia nzuri wakiwa duniani na hata wakitangulia mbele ya haki kama alivyofanya Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia Desemba…
RAIS Samia Suluhu Hassan amemmwagia sifa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama aliyefariki dunia kuwa alikuwa kiongozi mwenye moyo wa kujali maslahi ya taifa na kuwataka wabunge na mawaziri wapya kufuata…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki…
WAKALA wa maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) wilayani Nyang’hwale mkoa wa Geita imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi katika vijiji 48 ambayo ni sawa na asilimia 77.4 ya…
TUNDUMA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS), kufanya tathmini ya kutanua barabara katika mpaka wa Tunduma unaopitisha magari yaendayo nchi jirani za Zambia na DR Congo…
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amechaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Baraza la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEA). Hayo…
ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, leo amepokea tuzo ya kuwa Kivutio Bora cha Mikutano ya Kimkakati Barani Afrika (African’s Best Corporate…
SHINYANGA; Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mboni Mhita amewataka wakuu wa divisheni za mifugo na uvuvi pamoja na maofisa ugani kuendelea kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu umuhimu wa chanjo na…
JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeungana na Jamhuri ya Kenya katika maadhimisho ya Siku ya Jamhuri (Jamhuri Day) yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Nyayo, jijini Nairobi. The post Tanzania yashiriki Maadhimisho…
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi ametoa wito kwa vijana kuendelea kujijengea uwezo ili kuwa na uelewa kuhusu mazingira. Ametoa wito…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa hakuna mbadala wa amani na amewahimiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuilinda na kuikuza amani.…
TANZANIA inaendelea kung’ara kimataifa kupitia sekta ya madini, huku Twiga Minerals Corporation yenye ubia kati ya Serikali ya Tanzania na Barrick ikichukua nafasi ya kipekee katika kukuza uchumi wa taifa.…
SERIKALI kupitia Wizara ya Nishati imesema imekuwa na mazungumzo na Wizara ya Fedha kupunguza gharama na kodi katika vifaa vinavyotumika kubadilisha mfumo wa vyombo vya usafiri wa moto kutoka kutumia…
MBUNGE wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha, Dk Yannick Ndoinyo ameahidi kufuatilia kujua kwa nini mradi wa maji wenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 6 unasuasua kukamilika kwa zaidi…
KAMPUNI ya Mgodi wa Bucreef imetumia sh bilioni 1.8 kutekeleza miradi ya Uwajibikaji wa Kampuni kwa Jamii (CSR) wilayani Geita ndani ya miaka minne kati ya mwaka 2020/21-2024/25. Aidha Mgodi…
ARUSHA; CHAMA cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Osunyai jijini Arusha, kimesema katika kujiimarisha kiuchumi, kipo katika mpango wa ujenzi wa ukumbi wa kisasa kwa shughuli mbalimbali za kijamii. Akizungumza na…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa wito kwa wadau wa sekta ya utalii kuongeza ushirikiano ili Zanzibar na Tanzania kunufaika zaidi na…
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa wito kwa Jumuiya ya Kimataifa kuchukua hatua za haraka, shirikishi na zenye matokeo katika kukabiliana na changamoto za mazingira zinazoendelea kuikabili dunia.…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekutana na Balozi wa Saudi Arabia, Yahya Bin Ahmed Okeish, ambapo wamejadili kuimarisha ushirikiano katika sekta ya elimu pamoja na kuongeza…
MWANZA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Mkandarasi Jassie and Company (JASCO) anayetekeleza ujenzi wa Daraja la Mkuyuni kukabidhi daraja hilo ifikapo Januari 15, 2026 ili wananchi waondokane na changamoto…
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani uliotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imeanza rasmi kazi zake. Tume hiyo chini ya uenyekiti wa…
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameeleza mafanikio ya sekta ya elimu, ikiwemo ongezeko la bajeti ya wizara hiyo kwa asilimia 40 kutoka mwaka 2021/2022 hadi 2025/2026.…
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa wito kwa vijana walinde amani ya Tanzania. Ulega alisema amani ni nguzo ya maendeleo ya taifa na ustawi wa wananchi. The post Ulega: Vijana…