Nyalandu: Hatua zinazochukuliwa na Samia zitaiponya nchi
DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuwasilisha ripoti yake,…
DAR ES SALAAM: SIKU chache baada ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kuwasilisha ripoti yake,…
MSHAURI wa Rais wa Diplomasia, Balozi Lazaro Nyalandu amewaomba watanzania kudumisha na kulinda amani ya Taifa. Balozi Nyalandu alisema hayo hivi karibuni wakati wa mahojiano malumu. “Katika kipindi ambacho dunia…
DAR ES SALAAM:KATIKA jitihada za kupunguza ajali na kuimarisha usalama barabarani, Kampuni ya Azam TV imezindua rasmi kampeni ya usalama barabarani katika Wilaya ya Ubungo, ikilenga kuwahamasisha waendesha bodaboda kuzingatia…
DAR ES SALAAM:BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) limetoa zawadi kwa washindi wa shindano la uchoraji kwa vijana lijulikanalo kama BASATA Youth Painting Competition, likiwa na lengo la kukuza na…
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Muungano wa Tanzania ni wa kipekee barani Afrika kwa kuwa…
DAR ES SALAAM: KATIKA jitihada za kutambua na kuenzi mchango wa wanawake katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi barani Afrika, Shirika la Women in Management Africa (WIMA) limetoa tuzo za…
ARUSHA: Wamiliki wa hoteli nchini wametakiwa kujipanga na kuboresha huduma zao ikiwemo miundombinu ya malazi,kuelekea AFCON 2027 ambapo inakadiriwa Tanzania itapokea watalii laki tatu kwa siku. Akizungumza Aprili 23 wakati…
SUMBAWANGA: MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) imefanya majaribio ya kutua na kuruka kwa ndege katika kiwanja cha ndege cha Sumbawanga baada ya kukamilika kwa ujenzi wake. Majaribio hayo…
TAASISI ya Foundation for Civil Society (FCS) kwa kushirikiana na UNICEF Tanzania imezindua mradi ya kuimarisha uwezo inayolenga mashirika ya kiraia yanayoongozwa na vijana na wanawake katika mikoa mitatu muhimu…
IRINGA: Kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Isimani zimeibua mjadala mzito unaotikisa si tu uhalali wa matokeo, bali pia misingi ya demokrasia ya ndani ya…
DAR ES SALAAM:CHAMA Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) na Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) wameiomba serikali kurejesha mfumo wa kutoa mizigo kidogo kidogo ili kusaidia kupunguza gharama…
DAR ES SALAAM: VITENDO vya rushwa vimetajwa kuwa miongoni mwa changamoto kubwa zinazoathiri maendeleo ya michezo nchini, hasa katika maeneo ya usajili wa wachezaji, upangaji wa matokeo ya mechi na…
SHINYANGA: Serikali imewataka wakaguzi wakuu wa migodi na mameneja wa migodi nchini kuwa mabalozi wa utekelezaji wa sheria, kanuni za madini na kuwa wazalendo katika biashara ya madini ili kuongeza…
ARUSHA: Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Sospeter Mtwale amewataka viongozi wapya waliochaguliwa katika Mkutano Mkuu Maalumu wa Uchaguzi wa Jumuiya…
DAR ES SALAAM: Zaidi ya watoto 200 wenye matatizo ya vichwa vikubwa na mgongo wazi watapatiwa matibabu bure katika Taasisi ya Ubongo na Mishipa Muhimbili (MOI) mwaka huu . Hatua…
TANGA: SERIKALI mkoani Tanga kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), zitaendelea kuimarisha ulinzi wa pamoja katika Hifadhi ya Msitu ya Mazingira Asilia(RNFR) ili kudhibiti mienendo ya…
SINGIDA: Katika mkakati wa kuwa na uchumi jumuishi unaochangiwa na makundi yote ndani ya jamii, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa mafunzo ya elimu ya fedha kwa kundi maalumu la…
DODOMA: Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha shilingi trilioni 2.53 kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati 2026/2027. Kati ya fedha hizo, shilingi trilioni 2.46 sawa na…
GEITA: SERIKALI imeiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufuatilia kampuni zote ambazo zimeshindwa kulipa madeni ya Vyama vya Msingi vya Kilimo na Masoko (AMCOS) mkoani Geita. Mkuu…
KILIMANJARO: Mamlaka ya Ushindani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACCA) zimekutana Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Aprili 23, 2026 na kuwaapisha rasmi wajumbe wapya wanne kutoka nchi za Tanzania, Somalia,…
Dar es Salaam: Afisa mtendaji mkuu wa SanlamAllianz Life Insurance Julius Magabe, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa yao mpya ya Salama Plan inayolenga kuwahudumia wastaafu…
Dodoma: Naibu Waziri wa afya Dk Florence Samizi akimsikiliza Mkuu wa kanda ya kati Vodacom Tanzania Plc Chiha Nchimbi (katikati) aliyekuwa akifafanua jambo juu ya mikopo kwa watoa huduma binafsi…
DAR ES SALAAM: UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) umeomba wananchi wa ndani na nje ya nchi kuendelea kuunga mkono juhudi za ujenzi wa kituo kikubwa…
KAHAMA: Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuwawezesha wakaguzi wakuu wa migodi na wachimbaji wadogo nchini ili kuimarisha usalama kazini, kulinda mazingira na kuongeza mchango wa sekta ya madini katika ukuaji…
TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Bk Batilda Burian amesema mkoa utaendelea na jukumu la kusimamia uhifadhi wa mazingira ,vyanzo vya maji ,ulinzi na utekelezaji wa agizo la Serikali…
TANGA: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imetenga Sh milioni 578 kwa ajili ya kutekelezaji wa mradi wa kuboresha miundombinu na huduma za utalii katika hifadhi ya mikoko jijini…
DAR ES SALAAM: Matumizi ya teknolojia ya Akili Mnemba yameelezwa kuwa nyenzo muhimu katika kuimarisha ufanisi wa taasisi, huku Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kikichukua hatua za makusudi…
MANYARA: Walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Babati mkoani Manyara wametakiwa kuanzisha klabu za maadili ya watoto ili kuwa na taifa bora, kupiga vita mimba za utotoni na…
MANYARA: Uwekezaji wa serikali katika elimu kwa wanafunzi wasichana wa masomo ya sayansi mkoani Manyara umeelezwa kuongeza wataalamu wa sayansi nchini. Jumla ya wanafunzi 104 wa Shule ya Wasichana…
WATU zaidi ya 300 kutoka Mikoa minne ya kanda ya kaskazini ya Arusha ,Kilimanjaro,Tanga na Manyara wanatarajia kunufaika na kambi ya siku tatu ya matibabu ya kibingwa Jijini Arusha kwa…
DODOMA: Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk James Mataragio ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kwa kusimamia kwa mafanikio utekelezaji wa mradi…
DAR ES SALAAM: Wataalamu wa afya kutoka vituo mbalimbali nchini wanatarajiwa kunufaika na mafunzo maalumu yatakayofanyika kwa wiki moja jijini Dar es Salaam, yakilenga kuboresha uwezo wa kufanya maoteo sahihi…
DAR ES SALAAM: Katika kuhakikisha waathirika wa ukatili wa kingono wanakuwa na mazingira rafiki wakati wa uendeshwaji wa mashauri Mahakamani, Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa kushirikiana na…
TANGA: Wanasheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wanapatiwa mafunzo maalumu ya usuluhishi yaliyoandaliwa na Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto (IJA) kwa lengo la…
DAR ES SALAAM: KAMPUNI za Jubilee Life Insurance na Jubilee Health Insurance zimeongeza juhudi za kuhamasisha utunzaji wa mazingira katika shule mbalimbali ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Malengo ya…
DAR ES SALAAM; Zaidi ya Wataalumu wa Afya 100 wa Ubongo, uti wa mgongo na mishipa ya fahamu Duniani wameanza kupatiwa mafunzo ya uti wa mgongo kwa siku tatu jijini…
DODOMA: Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayohusisha Wizara ya Nishati na taasisi zake yameanza katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma huku yakilenga kutoa elimu ya nadharia na vitendo kuhusu Sekta…
KILIMANJARO: Mkoa wa Kilimanjaro unatarajiwa kuwa kitovu cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mkunga Duniani (IDM) mwaka 2026, ambapo Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA) kwa kushirikiana na wadau wa…
IRINGA: Matokeo ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kumpata mgombea wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani yametangazwa rasmi na msimamizi wa zoezi…
ARUSHA: WANARIADHA kutoka Tanzania wamefanikiwa kung’ara katika mashindano ya kimataifa ya mbio ndefu za Tanfoam baada ya kumaliza washindi kwa kilometa 42 na kilometa 21 kwa wanawake na wanaume. Katika…
DAR ES SALAAM: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa mwelekeo mpya unaolenga kuibadilisha sekta ya biashara na huduma nchini, akisisitiza zaidi urasimishaji na uwezeshaji. Akizungumza leo jijiji Dar…
MARA: Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa Serikali itaendelea kujenga na kukamilisha barabara zilizopo mkoani Mara kwa kiwango cha lami. Hatua hiyo itafungua fursa za kiuchumi na kurahisisha huduma…
KAGERA: Viongozi mbalimbali wa Serikali,siasa na dini wameungana na wananchi wa Kata ya Kibeta mtaa wa Anyama kushiriki Ibada ya kuaga miili ya watoto 2 kati ya 4 wa familia…
DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya matangazo ya michezo ya SuperSport kwa kushirikiana na DStv imetangaza kuwa itarusha mubashara mechi zote 104 za FIFA World Cup 2026, mashindano yatakayofanyika katika nchi…
WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba, amemwagiza mkandarasi anayejenga uwanja wa Mashindano ya Mataifa ya Afrika(AFCON)2027 ahakikishe mradi huo unakamilika kwa wakati. Ujenzi wa uwanja huo unaojengwa katika kata ya Olomoti,…
DAR ES SALAAM: Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata, amewataka Watanzania kujivunia na kupenda bidhaa za ndani ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa nchi. Akizungumza na waandishi wa habari, Flaviana amesema…
DAR ES SALAAM: Kadri siku zinavyosogea kuelekea mwezi Julai, macho ya Watanzania na dunia yanaelekezwa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ambako pazia la mbio za mbio kubwa za Ruaha maarufu…
KATIKA kipindi ambacho Tanzania inapitia changamoto za kijamii na kisiasa zinazoambatana na tofauti za mitazamo na fikra, viongozi wa dini wameendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda amani, mshikamano na utulivu wa…
DAR ES SALAAM: Wizara ya Viwanda na Biashara imejipanga kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kibiashara na mabalozi wa Tanzania nje ya nchi ili kuhakikisha vikwazo vya kibiashara kimataifa vinaondolewa kwa…
DAR E SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 15 zinatolewa kila mwaka kwa ajili ya kuwasaidia wakulima zaidi ya 600 nchi nzima. Lengo ni kuendeleza kilimo cha mazao yanayohitajika kwa ajili…