Tetesi za Soka Ulaya Jumamosi: Real Madrid inavutiwa na Marc Guehi wa Palce kuliko Ibrahima Konate wa Liverpool
Real Madrid wanavutiwa zaidi na beki wa kati wa Crystal Palace, Marc Guehi kuliko beki wa Liverpool, Ibrahima Konate, huku The Reds wakimtaka beki wa Bayern Munich, Dayot Upamecano.