Nigeria: Rais Tinubu ataka kufanyika uchunguzi kuhusu kashfa ya shirika “bandia” la serikali
Nchini Nigeria, Rais Bola Tinubu ameagiza kufunguliwa haraka kwa uchunguzi kuhusu kashfa ya Baraza la Rais bandia la Kukuza Uwekezaji wa Kigeni. Imechapishwa: 10/07/2026 – 06:10Imehaririwa: 10/07/2026 – 06:11 Dakika…