Kampuni ya mafuta ya Dangote yaanza kusafirisha mafuta kwa nchi za Afrika
Kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta kinachomilikiwa na tajiri namba moja barani Afrika Mnigeria, Aliko Dangote, kimethibitisha kuanza kusafirisha mafuta katika mataifa mbalimbali ya Afrika, baada ya bei ya bidhaa hiyo…