Jinsi vifaa vya kielektroniki vinavyoathiri miili yetu
Uchunguzi wa kisayansi wa hivi karibuni unaonyesha kwamba simu yako na vifaa vingine vya kielektroniki huenda vinabadilisha umbo la shingo yako, kuharibu macho yako, kuathiri mwendo wako, na kudhoofisha misuli…