Panya wasio na manyoya wavunja rekodi ya uzee- utafiti
Panya hawa wanaoishi kwenye mashimo wanaweza kuishi hadi karibu miaka 40, na kuwafanya kuwa panya walioishi kwa muda mrefu zaidi duniani.
Panya hawa wanaoishi kwenye mashimo wanaweza kuishi hadi karibu miaka 40, na kuwafanya kuwa panya walioishi kwa muda mrefu zaidi duniani.
Everton wanamnyatia Kalvin Phillips kutoka Manchester City, Liverpool wana kiu ya Adam Wharton nao Crystal palace wanapanga kumuachilia Marc Guehi
Watu huko Gaza wanasherehekea uwezekano wa mwisho wa vita, lakini wanajua itamaanisha kukabiliana na huzuni ambayo wameibeba kifuani kwa muda mrefu.
Rais Trump anasema mateka waliosalia ambao wanaaminika kuwa hai wataachiwa kufikia Jumatatu au Jumanne.
Laila ni mgombea wa chama cha NCCR-Mageuzi, moja kati ya vyama 11 vilivyosimamisha wagombea wa urais Zanzibar mwaka huu. Ni mwanamke pekee katika orodha hiyo
Katika kipindi cha mwaka mmoja tu, mawaziri wakuu wake watatu wamejiuzulu, na kulingana na kura za maoni, karibu robo tatu ya watu wa Ufaransa wanaamini Macron mwenyewe anapaswa kujiuzulu.
Maandamano yanayoongozwa na vijana kote ulimwenguni yamesababisha mabadiliko makubwa, lakini wataalam wanaonya juu ya vikwazo vinavyoweza kudhoofisha athari zao za muda mrefu.
Mabadiliko ya mgonjwa katika usingizi na hisia yalionekana kwendana na mabadiliko ya kuandama kwa Mwezi au kutoka Mwezi mpevu hadi Mwezi kamili.
Kwa mujibu wa Profesa Kovas, vinasaba vinaweza kuchangia kati ya asilimia 50 hadi 60 ya uwezo wa watoto wa shule ya msingi katika hisabati.
Trump anasema awamu ya kwanza ya makubaliano ya amani ya Gaza yalikubaliwa, na kutoa njia kwa mateka na wafungwa kuachiliwa.