Mazungumzo kati ya Iran Marekani yamalizika jijini Doha
Mazungumzo yasiyokuwa ya ana kwa ana kati ya wajumbe wa Iran na Marekani, yamemalizika jijini Doha, bila ya kuonekana kwa matumaini ya kuelewana kuhusu mkataba wa amani wa kudumu. Imechapishwa:…