Kwa nini Pakistan imeunda kamandi mpya ya kijeshi?
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, kamandi hii kitakuwa na zana za kisasa na kueleza kuwa ni ‘hatua muhimu’ ambayo itaimarisha zaidi uwezo wa ulinzi wa Pakistan.
Kwa mujibu wa Waziri Mkuu, kamandi hii kitakuwa na zana za kisasa na kueleza kuwa ni ‘hatua muhimu’ ambayo itaimarisha zaidi uwezo wa ulinzi wa Pakistan.
Newcastle kupokea ofa mpya kutoka Liverpool kwa mshambuliaji wao wa Sweden, Alexander Isak, huku Spurs ikiendelea na jitihada za kumsaka Savinho wa Man City Liverpool kutoa dau jipya kwa Alexander…
Mashindano ya CHAN ni kipimo kizuri kwa nchi hizi kuangalia fursa na changamoto kuelekea AFCON. Kwa kuzingatia ukweli kwamba nusu na robo ya viwanja ambavyo vitatumika bado havijakamiliki.
Katika orodha ya wagombea wa CCM, wapo ambao wametoka katika familia za vigogo wa chama cha Mapinduzi kutoka upande wa Tanzania bara na Zanzibar, kuanzia rais wa sasa na marais…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha moto mkubwa katika vituo muhimu vya mafuta, ikiwemo Ust-Luga na kiwanda cha Novoshakhtinsk, ambacho kinasafisha mafuta kwa ajili ya kuuza nje
Waendesha mashtaka wa kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamemuombea hukumu ya rais wa zamani wa nchi hiyo Joseph Kabila kwa tuhuma za uhaini na kushirikiana na kundi la…
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Tarehe 19 Agosti 1960, miaka 65 iliyopita wiki hii, mahakama moja mjini Moscow ilimkabidhi rubani wa Marekani, Francis Gary Powers, kifungo cha miaka 10 baada ya kukamatwa na vikosi vya…
Ripoti ya IPC,shirika linaloungwa mkono na Umoja wa Mataifa linalohusika na ufuatiliaji wa usalama wa chakula, linakadiria kuwa “utapiamlo unatishia maisha ya watoto 132,000.
Luteni Jenerali Jeffery Kruse, ametimuliwa ikiwa ni wiki chache tu baada ya Ikulu ya White House kukosoa ripoti kuhusu athari za mashambulizi ya Marekani dhidi ya Iran ya Juni 22,…
Ndege na vifaru vimeshambulia sehemu za mji wa Gaza huku mipango ya Israel ya kuliteka eneo kubwa la mijini katika eneo hilo.