Congo Brazaville : Rais Nguesso aibuka mshindi wa uchaguzi wa urais
Kiongozi wa muda mrefu nchini Congo Brazaville Denis Sassou Nguesso, amechaguliwa tena kuendelea kuongoza muhula wa tano, baada ya kupata asilimia 95 ya ushindi, baada ya uchaguzi wa urais uliofanyika…