Je, baadhi ya watu huzaliwa wakiwa dhaifu katika hisabati?
Kwa mujibu wa Profesa Kovas, vinasaba vinaweza kuchangia kati ya asilimia 50 hadi 60 ya uwezo wa watoto wa shule ya msingi katika hisabati.
Kwa mujibu wa Profesa Kovas, vinasaba vinaweza kuchangia kati ya asilimia 50 hadi 60 ya uwezo wa watoto wa shule ya msingi katika hisabati.
Trump anasema awamu ya kwanza ya makubaliano ya amani ya Gaza yalikubaliwa, na kutoa njia kwa mateka na wafungwa kuachiliwa.
Usiku wa manane mnamo Aprili 13, 2024, Iran iliingia katika makabiliano ya moja kwa moja na ya wazi na Israeli kwa mara ya kwanza baada ya miongo kadhaa ya "vita…
Fernandes akataa kuihepa Manchester United, Harry Maguire atumai kupewa mkataba mpya na mashetani wekundu nae Bernardo Silva ashaamua kuondoka Manchester City.
"Sitafuti sifa; ninachotaka ni kuokoa maisha," alisema Trump baada ya kuulizwa kuhusu uteuzi wake katika Tuzo za Amani za Nobel 2025.
Ukraine kwa sasa ina idadi kubwa ya makombora ya kurusha kwa masafa marefu yaliyotengenezwa na kutolewa na nchi za Magharibi.
Ingawa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uchaguzi wa Zanzibar hujitofautisha kwa njia nyingi za kipekee zinazofanya matokeo yake kuwa na uzito mkubwa zaidi ya kura.
Joshua Zirkzee na Kobbie Mainoo wameomba kuondoka Manchester United, Axel Disasi ameganda Chelsea nao Leeds United wanasaka winga.
Waisraeli wamekusanyika nchini kote kuadhimisha miaka miwili tangu shambulio lililoongozwa na Hamas tarehe 7 Oktoba 2023, huku mazungumzo yakiendelea nchini Misri kuhusu kumalizika kwa vita huko Gaza.
Wengine walisema ana matatizo ya mifupa. Mwingine alipendekeza upasuaji na kadhalika. Lakini hakuna hata mmoja aliyetoa suluhisho.