Afrika yaweka rekodi Kombe la Dunia, je, safari ya kutwaa taji imekaribia
Afrika imeandika historia mpya katika fainali za Kombe la Dunia la 2026 baada ya nchi tisa kati ya 10 zilizoshiriki kufuzu hatua ya mtoano ya timu 32, idadi ambayo haijawahi…
Afrika imeandika historia mpya katika fainali za Kombe la Dunia la 2026 baada ya nchi tisa kati ya 10 zilizoshiriki kufuzu hatua ya mtoano ya timu 32, idadi ambayo haijawahi…
Kwa miezi kadhaa, matamshi dhidi ya wahamiaji yamekuwa yakiongezeka nchini Afrika Kusini, na hivyo kuwalaziu wahamiaji kadhaa kuondoka nchini humo wakati tarehe 30 Juni ikikaribia, tarehe ambayo wahamiaji wasio na…
Deni la Taifa la Tanzania kufikia Shilingi trilioni 114.34 hadi Machi mwaka huu, likiongezeka kutoka Shilingi trilioni 104.93 katika kipindi kama hicho mwaka 2025.
Kwa mujibu wa Axios Marekani na Iran zinatarajiwa kukutana mjini Doha siku ya Jumanne kutafuta suluhu ya tofauti zao kuhusu Mlango wa Hormuz.
Huku mivutano ya kijiografia ikiongeza duniani na kusababisha vita na migogoro, mahitaji ya vifaa vya kijeshi, kupitia biashara ya silaha, yanazidi kuongezeka katika ulimwengu.
Yan Diomande ameikataa Liverpool na kuchagua kujiunga na PSG, Ruben Amorim anamtaka Mason Mount AC Milan, na Nottingham Forest wamemuweka Curtis Jones kwenye rada yao
Watu wengi wanafikiri kuwa msongo wa mawazo ndio chanzo. Wengine wanahusisha hali na sababu mbaya za kiafya. Hata hivyo, kuamka nyakati hizo kunaweza kuwa ishara ya matatizo mbalimbali.
"Hivi kweli mwananchi wa kipato cha chini hapo umewasaidiaje? NHC leteni miradi ya nyumba za kawaida za milioni 30 au 50. Mikopo ya nyumba iwe miaka 25 au 30," Vanessa…
Baada ya mashambulizi hayo ya pande zote mbili, Marekani na Iran zilishutumiana kwa kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano.
Cristiano Ronaldo anaweza kuwa alifunga katika rekodi ya sita ya Kombe la Dunia la Fifa, lakini kuna sehemu moja ya historia ambayo bado haiwaelewi yeye na Lionel Messi, ambaye alisherehekea…
Maeneo yote yaliyounganishwa kwenye mfumo wa taifa wa kusambaza umeme Tanzania usiku kucha yameathiriwa na kukatika kwa ghafla kwa umeme.
Wakulima 17 wameuawa Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Nigeria, baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha. Imechapishwa: 27/06/2026 – 15:57 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Nchini Venezuela idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyotokea wiki hii jijini Caracas, imefikia karibu Elfu Moja, wakati huu waokoaji wa Kimataifa wakiendelea kutawafuta watu…
Hali ya usalama bado ni mbaya, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiwa ni mwaka mmoja kamili tangu kutiwa saini kwa mkataba wa amani kati ya serikali ya Kinshasa…
Tangazo la Serikali ya Tanzania la kusitisha kwa muda mikutano yote ya hadhara ya vyama vya siasa limeibua mjadala mpana unaozidi mipaka ya siasa za vyama.
Marekani imetangaza siku ya Ijumaa, Juni 26, 2026, kwamba ilifanya mashambulizi nchini Iran kujibu shambulio dhidi ya meli ya biashara katika Mlango-Bahari wa Hormuz. Walinzi wa Mapinduzi ya Iran wanadai…
Ukosefu wa imani na kuaminiana katika uhusiano, ambao unaweza kufanya kuishi pamoja kuwa na migogoro au wasiwasi, na hatimaye unaweza kusababisha kutengana.
Senegal, ambayo imemaliza ya tatu katika Kundi la I siku ya Ijumaa, Juni 26, ni miongoni mwa timu nane bora kutinga kufikia hatua hii na hivyo imejihakikishia nafasi yake katika…
Matetemeko mawili ya ardhi yaliyoikumba Venezuela siku ya Jumatano, Juni 24, yaligharimu maisha ya watu wasiopungua 920, kulingana na takwimu rasmi za hivi karibuni. Mkuu wa masuala ya kibinadamu wa…
Afrika Kusini inasubiri kwa hamu siku ya Jumanne, Juni 30, 2026. Ingawa si tarehe rasmi, imechaguliwa na makundi yanayopinga uhamiaji haramu kudai kuondoka kwa wahamiaji wasio na vibali. Imechapishwa: 27/06/2026…
Nchini Burkina Faso, utawala wa kijeshi umetangaza Ijumaa jioni, Juni 26, 2026, kwamba unavunja mahusiano yake ya kidiplomasia na Ufaransa. Tangazo hilo lilitolewa kwenye televisheni ya taifa na msemaji wa…
Kamandi Kuu ya Marekani au Centcom ilishambulia vituo vya kuhifadhia makombora na ndege zisizo na rubani siku ya Ijumaa.
Ni suala ambalo mara kwa mara limekuwa likijitokeza kwenye vyombo vya habari; wakati mwingine sehemu ya fedha hizo imeachiliwa, lakini mara nyingi limebaki katika kiwango cha mazungumzo, makubaliano ya awali,…
Nchini Uganda, vikosi vya usalama vimevamia makaazi ya wanasiasa wawili mashuhuri wanawake, ambao wamekuwa katika mstari wa mbele kutetea haki za binadamu na kuukosoa utawala wa rais Yoweri Museveni. Imechapishwa:…
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Tunisia, Sihem Bensedrine, amehukumiwa kifungo cha miaka 25 jela, kwa mashtaka ikiwemo kughushi sehemu ya ripoti ya mwisho ya tume ya mpito ya…
Takriban mashirika 38 yasio ya kiserikali, yakiwemo Amnesty International na Human Rights Watch yametoa wito wa hatua za kimataifa kuchukuliwa kuzuia ukatili kutokea katika mji wa El-Obeid nchini Sudan. Imechapishwa:…
Waokoaji wa kimataifa wamewasili nchini Venezuela ambako wanaendelea na shughuli ya kuwatafuta manusura wa matetemeko mawili ya ardhi, yaliyotokea siku ya Jumatano, huku idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia 235.…
Tangazo hilo limekuja ikiwa ni takribani miaka mitatu tangu Januari 2023, wakati Rais Samia Suluhu Hassan alipofungua tena mikutano ya vyama vya siasa iliyokuwa imepigwa marufuku kwa zaidi ya miaka…
Jumuiya ya kimataifa imeendelea kutuma misaada ya kibinadamu na wataalamu wa uokoaji nchini Venezuela, wakati huu vikosi vya uokoaji kwenye nchi hiyo vikiendelea na utafutaji wa watu wanaodhaniwa kufukiwa kwenye…
Migogoro kuhusu marupurupu na malipo, mabadiliko ya mpishi yaliyofanywa dakika za mwisho, pamoja na malalamiko kuhusu chakula, vilitawala kipindi cha maandalizi kabla ya mechi za kwanza.
Vyombo vya habari vya kikanda na vya ndani katika ulimwengu wa Kiarabu viliripoti kwa kina taarifa zinazokinzana kutoka Iran na Marekani kuhusu hali katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
China ndiyo nchi iliyopoteza watu wengi zaidi, ambapo takriban watu milioni 1.3 walifariki dunia katika matetemeko matatu tofauti, kulingana na takwimu za Taasisi ya Jiolojia ya Marekani.
Urusi inazidi kuimarisha udhibiti wake dhidi ya wakosoaji wake. Mwanzoni mwa mwezi Juni, Wizara ya Sheria ya Urusi ililiweka shirika lisilo la kiserikali la OVD-Info kwenye orodha yake ya mashirika…
Mahakama Kuu ya Marekani siku ya Alhamisi, Juni 25, 2026, imeipa ushindi utawala wa Trump, ikiidhinisha kufuta Hadhi ya Muda ya Ulinzi (TPS), hadhi iliyoruhusu zaidi ya raia 350,000 wa…
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imetangaza kuwa ndege zisizo na rubani 660 za Ukraine zilizidungua usiku wa Alhamisi kuamkia leo Ijumaa, moja ya idadi kubwa zaidi tangu kuanza kwa mzozo…
Nchini Afrika Kusini, mzozo mpya kati ya balozi wa Marekani na Wizara ya Mambo ya Nje umejitokeza tena. Leo Brent Bozell III, ambaye aliwasili nchini Afrika Kusini mwaka huu, anaikosoa…
Duru ya tano ya mazungumzo kati ya Israel na Lebanon, yaliyoratibiwa na Marekani na kutarajia kumalizika siku ya Alhamisi, Juni 25, sasa yataendelea leo Ijumaa, Juni 26, mjini Washington, Wizara…
Mfumo “wa kina” wa uhakiki unahitajika nchini Iran baada ya mzozo wa hivi majuzi ili kuhakikisha nchi hiyo haitengenezi silaha za nyuklia, mkurugenzi mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati…
Ivory Coast sasa imeainishwa kama nchi iliyo katika hatari ndogo ya madeni kupita kiasi, kulingana na Wizara ya Uchumi na Fedha ya Côte d’Ivoire. Kwa hivyo, nchi hiyo ndiyo pekee…
Makubaliano yamefikiwa kati ya Marekani na Iran ili kumaliza mzozo katika Mashariki ya Kati.
Idadi ya vifo vya muda kutokana na matetemeko mawili ya ardhi yaliyoikumba Venezuela siku ya Jumatano, Juni 24, 2026, inaendelea kuongezeka huku utafutaji wa manusura katika vifusi ukiendelea. Kufikia siku…
Meli hiyo iliripotiwa kupigwa na "kifaa kisichojulikana" karibu na Oman lakini hakuna majeruhi walioripotiwa.
Marekani imekiwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha madini cha Rwanda kwa biashara haramu ya dhahabu inayohusishwa na waasi nchini DRC. Imechapishwa: 26/06/2026 – 06:12Imehaririwa: 26/06/2026 – 06:26 Dakika 2 Wakati wa…
Huku sehemu za bara zikiendelea kukabiliana na ugaidi, uasi, na ukosefu wa utulivu wa kisiasa, nchi kadhaa zimedumisha viwango vya juu vya amani na usalama.
Viungo wa Newcastle Sandro Tonali na Bruno Guimaraes wanahitajika, Chelsea wanamtaka Maxence Lacroix na Liverpool bado wanamfukuzia Yan Diomande.
Watu 164 wamethibitishwa kupoteza maisha nchini Venezuela baada ya kutokea kwa mitetemeko miwili ya ardhi siku ya Alhamisi, huku watu wengine ambao hawajaonekana wakitafutwa kwenye vifusi vya majengo yaliyoporomoka huku…
Maseneta nchini Nigeria, wamepitisha mswada, utakaoruhusu majimbo nchini humo kuwa na vikosi vyao vya polisi. Imechapishwa: 25/06/2026 – 16:26 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata Hatua…
"Hangor" ni aina ya papa anayewinda kimya kimya, akifuatilia mawindo yake kwa subira hadi apate fursa mwafaka, kisha hushambulia kwa ghafla.
''Vijana Afrika Mashariki hatutakubali kunyamazishwa na viongozi ambao hawana nia ya kuheshimu katiba na demokrasia, viongozi wa Afrika Mashariki wajue hilo'', Ezekiel ambaye ni mwanaharakati Kenya aiambia BBC.
Nchi za Kiarabu za Ghuba, ambazo ziko katikati ya mivutano kati ya Washington na Tehran, zinafuatilia kwa wasiwasi mkubwa maendeleo haya. Ikiwa mivutano itazidi tena, huenda ndizo nchi zitakazobeba mzigo…