Kwanini Salah amekuwa ‘tatizo’ kwa Liverpool?
Inaonekana kwamba hatua ya Mohammed Salah kutorudi nyuma ili kusaidia timu yake ya Liverpool, hasa dhidi ya timu bora - imezua tatizo.
Inaonekana kwamba hatua ya Mohammed Salah kutorudi nyuma ili kusaidia timu yake ya Liverpool, hasa dhidi ya timu bora - imezua tatizo.
Kabla ya Polepole kuripoti kwa DCi Jumatatu ya Octoba 6, 2025 Taanzania iliamka na taarifa za kutekwa kwake na watu wasiofahamika ambao wanaripotiwa kuvamia nyumbani kwa Polepole usiku, kuvunja milango…
Mnamo Oktoba 6 Imani alihamishwa kwenye makazi hayo na kuhamia nyumba nyingine ya kuishi takribani umbali wa kilometa 10 kutoka nyumba aliyofikia hapo awali.
Mwandishi wa BBC alisikia milipuko kutoka ndani ya Gaza na kuona moshi mwingi akiwa karibu na mpaka wa Kibbutz Be'eri, Israel, Jumapili asubuhi.
Mazungumzo yanayolenga kufikia makubaliano ya mwisho kuhusu mpango wa amani wa Marekani wa kumaliza vita huko Gaza yanapangwa kuendelea siku ya Jumanne katika mji wa Sharm El-Sheikh nchini Misri.
Bayern Munich imejiunga kwenye kinyang'anyiro cha kumsajili beki wa Crystal Palace Marc Guehi, Palace wanapanga kumpa Adam Wharton mkataba mpya nao Napoli wa Italia wanamwinda Kobbie Mainoo kwa mkopo kutoka…
Vita Baridi vilifikia kilele chake mwanzoni mwa miaka ya 1970, huku Marekani ikiegemea Israel huku Umoja wa Kisovieti ukiunga mkono Misri na Syria.
Pep Guardiola anasema atasherehekea ushindi wa 250 wa Premier League katika muda wa rekodi kwa kuwaalika Sir Alex Ferguson na Arsene Wenger kwenye chakula cha jioni.
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, na mkosoaji wa serikali ya Tanzania Humphrey Polepole, amevamiwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana, familia yake imethibitisha.
Taifa hilo dogo la Pasifiki ya Kusini linakabiliwa na moja ya janga la VVU linalokua kwa kasi zaidi duniani.