Madagascar: Rais wa zamani wa Baraza la Seneti Richard Ravalomanana akamatwa
Rais wa zamani wa Baraza la Seneti Richard nchini Madagascar, Ravalomanana anakabiliwa na utaratibu kisheria. Kiongozi huyu maarufu wa utawala wa Rajoelina, aliyetukanwa na waandamanaji wakati wa maandamano ya hivi…