Mashariki ya Kati: Marekani na Iran zinatafuta kukamilisha makubaliano ya kukomesha vita
Je, Marekani na Iran zinaweza kupata msingi wa makubaliano? Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza hili siku ya Jumamosi, Mei 23, akimaanisha makubaliano ambayo yalikuwa “yamejadiliwa kwa kina na kwa…