Waziri Mkuu wa Tanzania awaonya wasio na dharura kutoka nje siku ya Disemba 9
Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuitumia Disemba 9 ambayo ni Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara kama siku ya mapumziko wakiwa majumbani mwao.
Waziri Mkuu wa Tanzania Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuitumia Disemba 9 ambayo ni Siku ya Uhuru wa Tanzania Bara kama siku ya mapumziko wakiwa majumbani mwao.
Mufti Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir ameomba umoja na utulivu licha ya maandamano yaliyopangwa kufanyika Disemba 9.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, tarehe 7 Desemba 2025, alihutubia viongozi wa mashinani wa chama chake cha National Resistance Movement (NRM) katika eneo la Lango, na kutoa ujumbe mkali kwa…
Mgombea wa urais wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kwamba yeye pamoja na wasaidizi na wafuasi wake walipigwa na maafisa wa usalama wakati wa kampeni kaskazini mwa nchi.
Jeshi la Congo lilishutumu jeshi la Rwanda na waasi wa M23 kwa kurusha mabomu kutoka Rwanda hadi maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, katika madai ya hivi…
Rais wa Benin alisema Jumapili kwamba "hali imedhibitiwa kabisa" katika nchi yake baada ya serikali kuzuia jaribio la mapinduzi lililofanywa na wanajeshi watiifu.waaminifu.
Serikali ya Nigeria imefanikisha kuachiliwa kwa watoto 100 wa shule ambao walitekwa nyara mwezi uliopita katika jimbo la Niger, kituo cha utangazaji cha Channels Televisheni kiliripoti Jumapili.
Watu 14 wamekamatwa kuhusiana na jaribio la mapinduzi lililofeli nchini Benin siku ya Jumapili, msemaji wa serikali ya taifa hilo la Afrika Magharibi aliambia Reuters.
Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Mahmoud Ali Yousouf amelaani jaribio la mapinduzi nchini Benin, akisema vitendo hivyo "vinafanya ukiukaji mkubwa wa kanuni na maadili ya msingi ya Umoja…
Serikali ya Benin Jumapili ilisema kuwa imefanikiwa kuzuia jitihada ya mapinduzi, baada ya kundi la askari kutangaza katika televisheni ya kitaifa kuwa wamemwondoa Rais Patrice Talon.
Umoja wa Afrika ulikosoa vikali mashambulizi ya ndege zisizo na rubani siku ya Jumapili na kuua makumi ya watoto wakiwemo watoto kusini mwa Sudan, na kulaani "ukatili unaorudiwa na unaozidi…
Jumuiya ya kanda ya Afrika Magharibi ECOWAS imelaani kile inachokiita "jaribio la mapinduzi ya kijeshi katika Jamhuri ya Benin."
Wakenya John Korir na Joyciline Jepkosgei wote walijiweka bora zaidi waliposhinda mbio za marathoni za Valencia za wanaume na wanawake siku ya Jumapili.
Wanajeshi nchini Benin siku ya Jumapili walitangaza kuwa wamemuondoa madarakani Rais Patrice Talon, ingawa wasaidizi wake walisema yuko salama na jeshi lilikuwa likipata udhibiti tena.
Rais Patrice Talon hajulikani aliko.
Gari lililoundwa na kampuni kubwa ya ulinzi ya Uturuki Havelsan, kupitia ushirikiano wa ndani nchini Misri, majukwaa yasiyokuwa na rubani yalizinduliwa katika maonyesho ya ulinzi mjini Cairo.
Mkutano wa kilele wa Istanbul unawaleta pamoja watunga sera, viongozi wa vyombo vya habari; Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan awataka watu wazima kuwajibika kwa mazingira ya mtandaoni ya…
Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kuwa serikali imepokea kwa mshangao malalamiko ya kimataifa juu ya matukio ya Oktoba 29 licha ya mazungumzo…
Rais wa Marekani anasema uingiliaji kati wake uliokoa "mamilioni ya maisha," akirejelea migogoro ya Rwanda-DRC na Pakistan-India kwenye droo ya Kombe la Dunia la 2026.
Kundi la waasi la AFC/M23 linaloungwa mkono na Rwanda, ambalo liliteka miji miwili mikubwa mashariki mwa Congo mwaka huu na halifungwi na makubaliano ya Washington, limesema vikosi vinavyoitii serikali vinaendesha…
Erdogan anasifu Wakfu wa Maarif wa Uturuki kwa kubeba mbinu hii nje ya mipaka ya nchi, akiielezea kama "mfano wa upainia katika diplomasia ya elimu".
Mamlaka zinasema kuwa makombora yalipiga shule ya chekechea, hospitali na maeneo ya makazi yenye watu wengi huko Kalogi huku Umoja wa Mataifa ukionya kuhusu kuzorota kwa usalama kote Kordofan.
Kundi la I linaibuka kama "Kundi la Kifo" pamoja na Ufaransa, Norway, na Senegal, Kombe la Dunia la 2026 linapoanza nchini Marekani, Mexico na Canada.
Mkutano wa mwaka huu unaangazia matazimio yajayo na mbinu za ubunifu.
Mnamo Machi 2025, Rais wa DRC Felix Tshisekedi alipendekeza kwa Marekani kuwezesha upatikanaji wa madini ya kimkakati ili kubadilishana na makubaliano rasmi ya usalama.
Maafisa hawakutoa idadi kamili ya watu waliokamatwa, lakini walitoa wasifu wa watu 12 waliokamatwa, watano wao wakiwa ni Wasomali, na wengine kutoka Mexiko na El Salvador.
Balozi kadhaa zilizopo nchini Tanzania ikiwemo ile ya Uingereza, Canada, Norway, Uswizi, Denmark na jopo la Umoja wa Ulaya, zimetoa wito kwa serikali ya Tanzania kukabidhi maiti kwa ndugu zao…
Wizara ya Ulinzi ya Kitaifa ya Uturuki pia ilisisitiza dharura ya kuingizwa kwa msaada usiozuiliwa katika ukanda wa Gaza.
Vyombo vya habari vilishtumu kuendelea kushiriki kwa Israel huku mauaji ya halaiki yakiendelea Gaza, wanachaama kadhaa wa bara Ulaya walitangaza kususia mashindano ya Eurovision 2026.
Nahodha wa timu ya taifa ya Uganda ni Khalid Aucho ambaye kwa sasa anakipiga na timu ya katikati mwa Tanzania Singida Black Stars.
Rais Donald Trump aliwapongeza viongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda kwa ujasiri wao walipotia saini makubaliano siku ya Alhamisi yenye lengo la kumaliza mzozo wa mashariki mwa…
Utiaji saini wa mkataba huo wa amani unakuja miezi mitano, baada ya mawaziri wa mambo ya nje wa Rwanda na DRC kukutana na Rais Trump, na kuonesha nia yao ya…
Muda mwingi, Carter huonekana akitembea kwa utulivu ndani ya kundi kubwa la sokwe, akifurahia maisha ya amani anayoyaishi na jamii ya kundi lake.
Wataalamu wa afya wamepongeza hatua hiyo katika kudhibiti wimbi la maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU).
Mkuu wa masuala ya Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, ametoa wito wa mapigano kusitishwa mara moja huku vifo vya raia na njaa vikizidi kuongezeka.
"Kwa sasa, tutapumzika na tutaendelea na mipango ya kawaida," alisema msemaji wa Rais.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amependekeza kuwa Serikali lazima iwe na mamlaka juu ya mifumo ya msingi ya mtandao ili kuhakikisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa bei nafuu.
Vodacom, ambayo tayari inamiliki asilimia 39.9 ya Safaricom kupitia Vodafone Kenya, italipa shilingi 34 kwa kila hisa, ikiwa ni malipo ya 20% kwa bei ya mwisho ya hisa ya shilingi…
Mkataba wa sasa wa ushirikiano wa kiulinzi kati ya Uingereza na Kenya ulitiwa saini mwaka wa 2021 na utakamilika mwaka ujao.
Ndoa za kulazimishwa zimekithiri katika sehemu kadhaa za Afrika kwani umaskini, ushirikina, dhiki ya hali ya hewa na ulegevu wa utekelezaji unapuuza sheria za ulinzi, na kuwafanya mamilioni ya wasichana…
Kulingana na taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA), bei za mafuta ya petroli na ya taa, zimeendelea kushuka kutokana na kupungua kwa gharama…
Kanuni ya 11 ya uendeshaji wa shughuli za EAC, unataka akidi za nchi zote wanachama zitimie, ili Mkutano wa Wakuu wa EAC ufanyike.
Rais Erdogan alimwambia Alexander Stubb kupitia mazungumzo ya simu kuwa Uturuki inazingatia umalizwaji wa mchakato wa amani kati ya Ukraine na Urusi.
Rais wa Uturuki amengazia ukuaji wa uchumi, kuongezeka kwa mapato ya utalii, kuongezeka kwa ushirikiano wa Afrika, na mafanikio mapya ya ulinzi.
Viongozi hao wa Uturuki na Ufaransa walijadili kuimarisha ushirikiano pamoja na yanayojiri Gaza, eneo la Caucasus na Syria, huku Erdogan akitoa wito kwa diplomasia mpya kufufua juhudi za amani zilizokwama…
Kutoka umahiri wa masuala ya utalii hadi kuokoa maisha: Amina Abdallah, Mkurugenzi aliyeacha tasnia aliyopenda na kuamua kupambana na janga la afya ya akili.
Rais wa Marekani, Donald Trump ametoa wito kwa Wasomali wanaoishi Marekani warudi wakarekebishe nchi yao.
Mange Kimambi amethibitisha kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii kuwa serikali ya Tanzania imefungua kesi dhidi yake na hivyo kupanga kumrudisha Tanzania.
Wanandoa 54 walifunga ndoa katika harusi kubwa iliyofanyika kati ya magofu huko Khan Younis, ambayo ilisababishwa na Israel.
Mwakilishi wa Ankara ameliambia Baraza Kuu kwamba uungaji mkono wa kimataifa wa suluhu ya mataifa mawili unaongezeka, lakini anaonya kwamba upanuzi wa makaazi ya walowezi wa Israel na ghasia katika…