Kasmuel McOure alazimika kuondoka chapu chapu baada ya kuzomewa na Gen Zs mtaani: “Enda home”
Kasmuel McOure alikabiliana na umati wenye uadui ambao haukutaka kusikiliza chochote alichokuwa karibu kusema, walimzomea na kumfukuza, wakimlazimisha kukimbia.