#NBCPL: Dodoma Jiji wapo mbele kwa goli moja
#NBCPL: Dodoma Jiji wapo mbele kwa goli moja. HT: Dodoma Jiji 1-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
#NBCPL: Dodoma Jiji wapo mbele kwa goli moja. HT: Dodoma Jiji 1-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
#NBCPL: Bado hakuna goli kwa timu zote mbili. 40’: Dodoma Jiji 0-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
CAFCL: Lupopo tayari ipo mbele kwa goli moja. 35’: FC Lupopo 1-0 Mamelodi Sundowns LIVE #AzamSports2HD 35’: Nairobi United 0-0 Wydad AC (Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika) LIVE #AzamSports3HD…
#NBCPL: Bado timu zinasomana. 15’: Dodoma Jiji 0-0 KMC FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #ImenogaZaidi #DodomaJijiVsKMC #DodomaJiji #KMC
KUTOKA ANGOLA: “Tulikuja hapa kwa ajili ya kupigania heshima ya Mnyama” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anasema kama hatua ya makundi ingeanza sasa, basi timu hiyo…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Steffano Conte anaomba radhi kwa wadau wote wa mchezo wa #Vishada kwa mashindano hayo kushindwa kuanza jana Februari 7, kutokana na changamoto ya upepo. Uhondo sasa…
JKT TANZANIA vs MASHUJAA FC: “Tuna mchezo mgumu tena na muhimu kwenye idara zote…” Kocha wa timu ya JKT Tanzania Ahmad Ally, amesema mchezo wao dhidi ya Mashujaa ni mgumu…
SERIE A Saa 4:45 usiku, Juventus watakuwa dimba lao la nyumbani Allianz wakiwaalika Lazio. Mtanange huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Serie A mwezi mzima.…
Bundesliga leo Jumapili Saa 1:30 usiku, Bayern Munich watakuwa nyumbani Allianz Arena wakiwakaribisha Hoffenheim . Je, Hoffenheim ataweza msimamisha Bayern nyumbani kwake? Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports1HD. @bundesliga @fcbayern
Wikiendi ya moto wa soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV inaendelea leo Jumapili Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #SisiNiSoka #Azamtvsports #NBCPL #CAFCC
CAFCL: Msimamo wa kundi “B” baada ya kila timu kucheza mechi tano FT: AS FAR 1-0 Yanga SC Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD FT: JS Kabylie 0-0 AL Ahly Ilikuwa LIVE #AzamSport1HD…
CAFCL: Inasubiriwa mechi ya mwisho kujua timu gani itaungana na Al Ahly ambayo tayari imetinga robo fainali. FT: AS FAR 1-0 Yanga SC Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD FT: JS Kabylie 0-0…
CAFCL: Unazungumziaje mwenendo wa mechi ya nchini Morocco. 77’: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD 80’: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC…
CAFCL: Bado milango imekaza kwa timu zote nne. 60’: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD 62’: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC…
CAFCL: Tusubiri dakika 45 za kipindi cha pili. HT: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD HT: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC…
CAFCL: Hakuna goli Morocco wala Algeria. 40’: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD 40’: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC #JSKabylieVsAhly #JSKabylie…
CAFCL: Bado milango imefungwa kwa timu zote nne. 15’: AS FAR 0-0 Yanga SC LIVE #AzamSports2HD 15’: JS Kabylie 0-0 AL Ahly LIVE #AzamSport1HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #ASFARvsYangaSC #ASFAR #YangaSC…
CAFCL: Msimamo wa kundi “D” baada ya leo kuchezwa mechi moja. FT: Petro Atletico 1-1 Simba SC Saa 4:00 usiku ni AS FAR dhidi ya Yanga SC, LIVE #AzamSports2HD #CAFCL…
#NBCPL: Hizi hapa ‘chuma’ zote mbili kwenye mchezo kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC. Goli la Namungo FC limefungwa na Cyprian Kipenye kabla ya Said Mkopi kupiga shuti…
MSIMAMO: Mtibwa Sugar imeng’ang’ana kwenye nafasi ya tatu #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
CAFCL: Simba Mnyama kaondoka na alama moja ugenini. FT: Petro Atletico 1-1 Simba SC Saa 4:00 usiku ni AS FAR dhidi ya Yanga SC, LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC…
CAFCC: Azam FC imefikisha alama tisa sasa ikiwa sawa na AS Maniema na Wydad AC. FT: Azam FC 1-0 AS Maniema Union Ilikuwa LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion…
CAFCL: Mnyama kachomoa kupitia mchezaji Anicet Oura 85’: Petro Atletico 1-1 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCL: Game bado ipo LIVE 80’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCC: Bado Azam FC inaongoza kwa goli moj kupitia Lusajo Mwaikenda 65’: Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion #AFCASMU
CAFCL: Bado Petro Atletico wanaongoza kwa goli moja. 60’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCC| Azam FC inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele. HT: Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion #AFCASMU
#NBCPL: Mzani upo sawa kwa timu zote HT: Mtibwa Sugar 1-1 Namungo FC LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #RRAUnitedVsMbeyaCity #TRAUnited #MbeyaCity
CAFCL: Petro Atletico inakwenda mapumziko ikiwa kifua mbele kwa goli moja. HT: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCL: Simba ipo pungufu baada ya nahodha Shomari Kapombe kupewa kadi nyekundu. 45’: Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
CAFCC| Lusajo Mwaikenda tayari ameshaitanguliza Azam FC. 35': Azam FC 1-0 AS Maniema Union LIVE #AzamSports3HD #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika #AzamFCVsASManiema #AzamFC #ASManiemaUnion
#NBCPL: TRA walianza kwa kulimwa kadi nyekundu kupitia mchezaji Omary Yusuf na baadae Adily Buha akafunga goli la kwanza kwa penati na baadae Said Naushad akaweka la pili. FT: TRA…
15’| CAFCL Petro Atletico 1-0 Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PetroAtleticoVsSimbaSC #PetroAtletico #SimbaSC
#NBCPL: TRA United wameduazwa kwa magoli 2-0. FT: TRA United 0-2 Mbeya City Saa 1:00 usiku ni Mtibwa Sugar dhidi ya Namungo FC, LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi…
#CAFCL: RS Berkane wamekula chuma mbili bila kupepesa macho. FT: Power Dynamos 2-0 RS Berkane Saa 1:00 usiku ni Petro Atletico dhidi ya Simba SC LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Mchezaji Abdulqadir Haji anafunguka namna alivyojipanga katika mashindano ya #Vishada msimu huu. Uhondo umeanza leo Februari 7, visiwani Zanzibar. #KusiCup2026.
#CAFCL: Bado hakuna goli kwa pande zote mbili. HT: Power Dynamos 0-0 RS Berkane LIVE #AzamSports2HD #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #PowerDynamosVsRSBerkane #PDFCRSB
#NBCPL: Mbeya City wapo mbele kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Adily Buha. TRA United wapo pungufu baada ya Omari Yusufu kuoneshwa kadi nyekundu. HT: TRA United 0-1 Mbeya City…
Wananchi Yanga SC, wapo mzigoni nchini Morocco, leo saa 4:00 usiku wapo dimba la CSPMA wakikipiga na AS FAR, mechi ya marudiano Ligi ya mabingwa Afrika. Katika mchezo wa kwanza…
Bundesliga leo Jumamosi Saa 11:30 jioni, Wolfsburg watakuwa nyumbani Volkswagen Arena wakiwakaribisha Borussia Dortmund. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia ZBC2. @bundesliga
NFL Superbowl LX - Patriots Vs Seahawks Superbowl 2026 ni New England Patriots dhidi ya Atlanta Seahawks, mwaka 2015 timu hizi zilikutana na Patriots wakashinda kwa 28 – 24 kwa…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Msikie Marley ambaye ni mmiliki wa shule ya mchezo wa #Vishada Zanzibar akielezea namna bora ya kuanza kuucheza mchezo huo. Marley hapa anamwelekeza mtangazaji Patrick Nyembera.…
CAFCC: Kocha wa Singida BS, Othmen Najjar amesema wanatakiwa kuweka mazingatio kwenye mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) dhidi ya CR Belouizdad ili kuendelea kuweka hai safari…
CAFCL: Mchambuzi wa soka ambaye pia ni mtangazaji @leomusikula_tz amezichambua takwimu za Yanga SC katika mechi za ugenini katika michuano ya CAF, akianzia mwaka 2023. Msikilize mchambuzi huyu ili ujue…
DODOMA JIJI vs KMC: “Mchezo wa ufundi zaidi” Kocha wa KMC, Mohamed Abdallah ‘Bares’ amesema kesho kutakuwa na mchezo mzuri huku akisifu ubora wa Dodoma Jiji. Kwa upande wake mchezaji…
Matajiri wa jiji, AzamFC, wanaisaka robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika ambapo leo saa 1:00 usiku watakuwa dimba la New Amaan Complex, Zanzibar wakiwakaribisha AS Maniema kutoka DRC Mechi hii…
KUTOKA MOROCCO: “Ni mchezo muhimu sana kwetu” Nahodha msaidizi wa Yanga SC, Dickson Job anasema wanahitaji kuwa bora zaidi leo ili kuweza kupata matokeo mazuri dhidi ya AS FAR katika…
DODOMA JIJI vs KMC: “Tutamkosa mchezaji mmoja ambaye ni Ally Salim” Kocha wa Dodoma Jiji, Aman Josiah ameonesha kusikitika kwa kumkosa golikipa wake Ally Salim ambaye alipata changamoto kwenye mechi…
KUTOKA ANGOLA: Mwandishi wa habari za michezo wa nchini Angola azungumzia yale yanayosemwa na wapenda soka kuelekea mechi ya leo ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya Petro Atletico…
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).…