MUUNGANO CUP 2026 | Wapi hiyo…!!???
MUUNGANO CUP 2026 | Wapi hiyo...!!??? Ni hapa Amaan Stadium ambapo leo kinaanza kutimuka kivumbi cha michuano ya Kombe la Muungano... Mechi ya ufunguzi ni mabingwa watetezi Yanga SC vs…
MUUNGANO CUP 2026 | Wapi hiyo...!!??? Ni hapa Amaan Stadium ambapo leo kinaanza kutimuka kivumbi cha michuano ya Kombe la Muungano... Mechi ya ufunguzi ni mabingwa watetezi Yanga SC vs…
VIWANJANI: “Kwa misimu mitatu mfululizo Feisal ndiye mchezaji bora zaidi kuliko mchezaji yeyote” Mchambuzi wa soka na mwandishi wa habari mkongwe @nkiniphilip anasema kiungo wa Azam FC, Feisal Salum, ndiye…
MUUNGANO CUP 2026 | "Tunaishukuru serikali kwa kutupa uwanja wa mazoezi bure kila Jumamosi na Jumapili". Neno kutoka kwa mwanandinga wa zamani visiwanj Zanzibar, Abdulkadir Tash. (Feed generated with FetchRSS)
MUUNGANO CUP 2026: Michuano ya Kombe la Muungano 2026 inaanza Jumanne hii Aprili 21, 2026. Mechi ya ufunguzi ni Saa 1:15 usiku, Yanga SC dhidi ya Muembe Makumbi City FC.…
Usiku wa Kisasi Aprili 24, 2026. Ambapo pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines. Hizi hapa Takwimu za Ibrahim na Alvin. Usiku huu wa Kisasi utaruka…
MUUNGANO CUP 2026 | "...haya ndiyo mashindano pekee yanayokutanisha uwezo wa wachezaji wa daraja A, na wachezaji wa daraja A chanya" Neno kutoka kwa Mkurugenzi wa City Institute of Health,…
Kwa mashabiki wote wa ukurasa wetu wa AzamTV Burudani mnaoulizia uko wapi, ukurasa wetu wa burudani umepata changamoto, tunaushughulikia ili urejee hewani. Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza, pindi Meta Business…
MUUNGANO CUP 2026 | Zanzibar... Kaa tayari kwa Muungano Cup kuanzia Aprili 21, 2026 na mechi zote utazipata LIVE #AzamSportsHD #MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha (Feed generated with FetchRSS)
KNOCKOUT YA MAMA, VITA YA KISASI: “Kutakuwa na mapambano 11” Mkuu Idara ya Matangazo wa Mafia Boxing Promotion, Omary Clayton anasema bondia Ibrahim Mafia aliomba kurudiana na mpinzani wake Alvin…
MUUNGANO CUP 2026 | I love what....?. Kaa tayari kwa Muungano Cup kuanzia Aprili 21, 2026 na mechi zote utazipata LIVE #AzamSportsHD #MuunganoCup2026 #KombeLaMuungano #SokaLinatuunganisha (Feed generated with FetchRSS)
#ChaJuuZaidi: Timu ya #AzamTV na #AzamPesa ilikuwa sehemu ya washiriki wa #BungeMarathon iliyofanyika leo Aprili 18, 2026 jijini Dododoma, ikiwa ni sehemu ya kuwa karibu na jamii kupitia michezo. Popote…
FOUNTAIN GATE vs MTIBWA SUGAR: Kocha wa Fountain Gate, Fred Felix 'Minziro' amesema wanapambana kuwajenga wachezaji wa timu hiyo kisikolojia ili kuyasahau yaliyopita na kuangalia mchezo unafuata. Minziro amesema benchi…
DROO CRDB BANK FEDERATION: Msikie Mkurugenzi wa Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto alipokuwa akitoa ufafanuzi wa namna droo ya #CRDBBankFederationCup imeendeshwa. Tayari droo hiyo imefanyika ndani ya studio za #AzamTV…
Aprili 24, katika Ukumbi wa EACLC utakuwa Usiku wa Kisasi, mapambano 11 kupigwa mikanda mine kugombaniwa katika Ulingo mmoja. Pambano Kuu ni Ibrahim Mafia dhidi ya Alvin Camique kutoka Philippines.…
DROO CRDB BANK FEDERATION: Muonekano wa matokeo ya droo ya robo fainali ya CRDB Bank Federation Cup. Iko LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup (Feed generated with FetchRSS)
AZAM FC vs JKT TANZANIA:"Haitakuwa mechi rahisi kwetu na kwao pia..."- Kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema kikosi cha timu yake kimefanya maandalizi imara kimbinu na kimwili kuelekea mchezo…
AZAM FC vs JKT TANZANIA: Kocha wa Azam FC, Florent Ibenge, amesema maandalizi ya timu hiyo kuelekea mchezo dhidi ya JKT Tanzania yameenda vizuri, huku akitarajia ushindani mkubwa kutokana na…
VIWANJANI: "kwangu Minziro sio Kocha mbaya..."- Mchambuzi wa soka @lilianmukulu_akieleza namna Kocha wa Fountain Gate, Fred Minziro alivyokutana na upinzani mkubwa kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC jana Aprili…
Kamisheni ya Ngumi za kulipwa Tanzania (TPBRC) leo wana jambo lao. Fuatilia mbashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 6:00 mchana. #TPBRC #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
YANGA SC vs MBEYA CITY: “Tunategemea mchezo mgumu kesho, mgumu kwa kiwango kikubwa…”-Kocha wa Yanga SC, Pedro Goncalves amesema wanatarajia mchezo mgumu kesho Aprili 16, 2026 kutoka kwa wapinzani wao…
#ACLElite Ittihad wanakwenda robo fainali baada ya dakika 120. FT: Al Ittihad 1-0 Al Wahda Saa 10:00 jioni ni Fountain vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #AFCChampionsLeague #AFCChampionsLeagueElite #AsianChampionsLeague (Feed generated…
MBEYA CITY: “…tunataka pointi tatu muhimu….” Kikosi cha Mbeya City tayari kipo Dar es Salaam, kuwakabili Yanga SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC utakaopigwa Aprili 16, 2026 kwenye…
#ACLElite Benzema na timu yake 'OUT', Boby Firminho na timu yake wanakwenda robo fainali kwa mikwaju ya penati. FT: Al Hilal 3-3 Al Sadd (Pen: 2-4) #AFCChampionsLeague #AFCChampionsLeagueElite #AsianChampionsLeague (Feed…
#SerieA Ilishindikana kuchomoa...!!! FT: Fiorentina 1-0 Lazio #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #FiorentinaLazio (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCL: Pamoja na Mamelodi kumaliza wakiwa pungufu kutokana na kadi nyekundu ya Grant Kekana, lakini wametanguliza mbele mguu mmoja kwa kushinda ugenini. FT: Esperance 0-1 Mamelodi Ilikuwa LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague…
#CAFCL: VAR imeng'ata upande wa Esperance. Mamelodi ipo mbele kwa goli la Brayan Leon. 75': Esperance 0-1 Mamelodi LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #Mamelodi #EsperanceMamelodi (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCL: Hakuna goli kwa pande zote, tusubiri dakika 45 za kioindi cha pili. HT: Esperance 0-0 Mamelodi LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #Mamelodi #EsperanceMamelodi (Feed generated with FetchRSS)
#CAFCL: Mashambulizi ni kwa zamu lakini mpaka sasa hakuna timu imegusa nyavu za mwenzake. 40': Esperance 0-0 Mamelodi LIVE #AzamSports2HD #CAFChampionsLeague #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #Esperance #Mamelodi #EsperanceMamelodi (Feed generated with FetchRSS)
#CRDBBankFederationCup Chuma ya mwisho imetoka kwake Alobogast Kyobya...! FT: AzamFC 4-0 Fountain Gate Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #AzamFCvsFountainGate (Feed generated with FetchRSS)
Mechi za leo katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Bundesliga mwezi mzima mbashara kupitia AzamSports2HD. @bundesliga (Feed generated with FetchRSS)
LALIGA leo Jumapili Big Game saa 4:00 usiku, Athletic Bilbao watakuwa nyumbani wakikipiga na Villarreal. Ila mapema saa 1:30 usiku, Celta Vigo kumenyana na Oviedo. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
CRDB Federation Cup hatua ya 16 bora inakamilika Ieo Jumapili kwa michezo minne kupigwa. Saa 10:00 jioni Coastal Union kucheza na Pamba Jiji. Je, timu gani kuungana na Mashujaa, JKT…
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Mkuu wa idara ya program #AzamMedia Fatuma Mohamed, amehimiza wadau wa michezo kuendelea kufanya mazoezi ili kulinda afya zao. Fatuma ameyasema hayo mapema leo Aprili…
AZAMTV FITNESS CLUB FUN RUN: Baadhi ya wafanyakazi wa #AzamTV na wadau wengine wa michezo wamejitokeza mapema leo Aprili 11, 2026 kwenye mbio maalumu zilizopewa jina la AzamTV Fitness Club…
Big Game wikiendi hii katika Laliga Leo Jumamosi saa 4:00 usiku, Sevilla watakuwa uwanja wa nyumbani wakiwakaribisha Atletico Madrid. Jumapili, saa 4:00 usiku, Athletic Bilbao watakuwa wenyeji wa Villarreal .…
BUNDESLIGA EXPERIENCE: Mchezaji wa Bayer 04 Leverkusen na timu ya Taifa ya Burkina Faso, Edmund Tapsoba ameelezea matarajio yake kwenye AFCON 2027 ambayo itafanyika kwa ushirikiano wa mataifa ya Tanzania,…
VIWANJANI: "...kila unapotamani kufanya vizuri ndipo unapotoa nafasi kwa wapinzani wako kukukaba na kukukabili"- Mchambuzi wa soka, @akingamkono akieleza maoni yake kutokana na kiwango cha Simba SC katika mchezo wa…
BUNDESLIGA EXPERIENCE | Kilwa Finest @gharib_mzinga23 kutoka Kusini mwa Tanzania hadi Bay Areba nchini Ujerumani. Huyu hapa akiiwakilisha Azam TV kupitia program ya Bundesliga Experience kuelekea mbungi kali kati ya…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Geita Gold FC wanakutana na Mashujaa FC kwenye Dimba la Nyankumbu Geita kusaka tiketi ya kwenda robo fainali…. Makocha wa timu zote mbili, Zuberi Katwila na…
CRDB BANK FEDERATION CUP: Hatua ya 16 bora inaanza rasmi Aprili 10, 2026 kwa mechi mbili, mojawapo ikiwa ni JKT Tanzania dhidi ya Mbuni FC. Kuelekea mchezo huo makocha wa…
CRDB BANK FEDERATION CUP: “….tutaanza kuwa na mchezaji bora katika kila mchezo” TFF yaongeza ‘chachandu’ kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank ambayo inaingia hatua yake ya 16…
Kuelekea Usiku wa Vitasa April 24, Jumamosi hii utafanyika utambulisho wa mabomdia watakao panda ulingoni Usiku huo wa Vitasa Utambulisho huu utafanyika kwenye Viwanja Vya Mabibo mpakani, kuanzia saa 8:00…
Wiki ya moto wa Soka kwenye Kisimbuzi chako cha AzamTV, kuanzia soka la nyumbani, Afrika mpaka Ulaya. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with…
NBC Premier League kuendelea leo Alhamis kwa mechi mbili zote kupigwa saa 10:00 jioni. Katika dimba la Tanzanite Kwaraa wenyeji Mbeya City kuwakaribisha Azam FC. Mechi hii itaruka mbashara kupitia…
#RSL ‘SIX’ FT: Al Hilal 6-0 Al Kholood Usisahau, kesho ni TRA United vs Simba SC LIVE #AzamSports1HD #RoshnSaudiLeague #SaudiProLeague #LigiKuuSaudiArabia #SaudiRabiaPremierLeague #AlHilal #AlKholood (Feed generated with FetchRSS)
MBEYA CITY: “…heshima yetu haiwezi kutuzuia kupata alama tatu” Afisa Habari wa Mbeya City, Gwamaka Mwankota anawaita mashabiki mkoani Manyara kulijaza Dimba la Tanzanite Kwaraa katika mchezo wao wa kesho…
SIMBA SC: “…Elie Mpanzu anaumwa....na imemuuma sana kuikosa mechi dhidi ya Azam FC” Je, kuna tatizo gani kati ya Simba SC na kiungo wake Elie Mpanzu?? Mwenyekiti wa Bodi ya…
Sasa ni rasmi, fainali za #AFCON2027 zitafanyika Juni 19 hadi Julai 18, 2027 katika mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania. Hii hapa taarifa kamili... (Feed generated with FetchRSS)
SIMBA SC: “…tumekuja na kikosi kizima….tuko tayari kwa mapambano”. Kikosi cha Simba kimepata mapokezi ya nguvu baada ya kuwasili Jijini Arusha kuelekea mechi tatu mfululizo watakazocheza kwenye dimba la Sheikh…
KMC FC: “…kwetu hakuna kingine zaidi ya ushindi” KMC wamefanya mazoezi yao ya mwisho leo kwenye Dimba la Airtel kuelekea mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida BS. Kocha wa…