CAFCC: “Lazima tukaweke historia pamoja”
CAFCC: “Lazima tukaweke historia pamoja” Katibu wa Mashabiki wa Azam FC, Ahmed Jobenyo ametoa wito kwa mashabiki wa timu hiyo kuwasiliana nae ili kupata maelekezo ya namna gani wanaweza kwenda…
CAFCC: “Lazima tukaweke historia pamoja” Katibu wa Mashabiki wa Azam FC, Ahmed Jobenyo ametoa wito kwa mashabiki wa timu hiyo kuwasiliana nae ili kupata maelekezo ya namna gani wanaweza kwenda…
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema serikali imekuwa ikishirikian vema na sekta binafsi kuhakikisha inautangaza mchezo wa vishada na kuimarisha mfumo…
TANZANIA PRISONS vs MASHUJAA FC: Kocha msaidizi wa Mashujaa FC, Charles Fred amesema kikosi cha timu hiyo kinaendelea mazoezi kwa ajili ya kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa NBC Premier…
KUTOKA ANGOLA: Umekuwa ukisikia watangazaji mbalimbali wa #AzamTV wakiita timu ya taifa ya Angola "Palancas negras" Katika kupata ufafanuzi wa hilo mtangazaji @mangasore_ ambaye yupo Angola kwa ajili ya mechi…
AFCON 2027 YAPAMBA MOTO: “Tunaunda kamati saba” Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Amos Makalla amezungumzia maendeleo ya ujenzi wa uwanja wa #AFCON Arusha huku akifafanua majukumu ya kamati saba ambazo…
KUTOKA ANGOLA: Simba bado inahitaji alama tatu, licha ya kuwa na matumaini finyu kwenye kundi lake. Hayo yamesemwa na Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally jana wakati…
TANZANIA PRISONS vs MASHUJAA FC: “Ni jambo la kuhuzunisha haifurahishi…” Kocha mkuu wa Tanzania Prisons, Zedekiah Otieno amesema hawafurahishwi na matokeo ya hivi karibuni hasa katika mechi za ugenini, amesema…
PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Coastal Union Mohammed Muya amesema wachezaji wapo timamu na maandalizi yameenda vizuri kuelekea mchezo wa kesho. Kwa upande wake mchezaji wa klabu hiyo…
KUTOKA ANGOLA: Mtangaza @mangasore_ akutana na mshangao jijini Luanda Angola hasa kwa upande wa usalama. Jana ilikuwa ni sikukuu ya mapanga nchini Angola. Simba SC ipo Angola kucheza dhidi ya…
PAMBA JIJI vs COASTAL UNION: Kocha wa Pamba Jiji Francis Baraza amesema maandalizi kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Coastal Union yamekamilika. Kocha huyo amesema anatarajia wachezaji kuonesha kile alichowaelekeza…
ZANZIBAR KASKAZI CUP 2026: “Ni mchezo ambao umekuwa ukivutia sana soko la utalii hapa Zanzibar” Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii Zanzibar, Aboud Suleiman Jumbe amesema mchezo wa vishada umekuwa…
VIWANJANI: “Wakati mwingine ni kuwa na wakati mbaya kazini” Mchambuzi wa soka mwenye taaluma ya ukocha Michael Hyera amesema kupanda kwa viwango vya uchezaji miongoni mwa mabeki wa Yanga SC…
VIWANJANI: “Baada ya kuaminiwa inaonekana ule muarobaini umepatikana katika eneo la kiungo” Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema Mohammed Damaro ni suluhisho la kiungo katika klabu ya Yanga. Rashidy amesema uwezo…
MSHIKEMSHIKE: CAFCL: Petro De Luanda Vs Simba SC, AS FAR Vs Yanga SC, Jumamosi hii. Mechi gani unaisubiri kwa hamu na kwa nini? Tuandikie maoni yako na sisi tutayasoma kwenye…
#CarabaoCup Game over... City wanaifuata Arsenal fainali...patamu hapo .!!! FT: Man City 3-1 Newcastle United (Agg: 5-1) Burudani zinaendelea LIVE #AzamSportsHD #EFL #KombeLaCarabao #ManCityNewcastle
MAPUMZIKO | #CarabaoCup HT: Man City 3-0 Newcastle United (Agg: 5-0) LIVE #AzamSports1HD #EFL #KombeLaCarabao #ManCityNewcastle
#DFBPokal Kipindi cha pili kimeanza...bado hakuna bao...Je, nani anakwenda nusu fainali!!? 47': Holstiel Kiel 0-0 Stuttgart LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #KielStuttgart #KSVVfB
CAFCC: Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema kikosi chao kimeanza mazoezi visiwani Zanzibar wakijiandaa kuikaribisha CR Belouizdad Jumapili ya Februari 8, 2026. #CAFCC #KombeLaShirikishoAfrika
CAFCC: “Morali yetu imekuwa juu sana” Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amebainisha namna walivyojipanga kuchukua alama zote sita kutoka kwa Nairobi United ambapo jambo hilo limetimia kikamilifu. Ibwe…
KUTOKA ANGOLA: “Wenyeji wetu Petro wamefanya maandalizi yote yanayohitajika kikanuni” Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally anasema safari yao ya kwenda Luanda Angola, haikuwa na changamoto yoyote…
NBA New York Knick watakuwa Madison Square Garden wakiwakaribisha Nikola Jovic akiwa na chama lake la Denver Nuggets Knicks wameshinda mechi Saba mfululizo, je wataongeza ushindi wa Nane? San Antonio…
MAKALA MAALUMU: Jumatatu ya Februari 9, 2026 itakujia makala maalumu kuhusu asili na mapito ya Mbeya City. Unafahamu kuna mtu alitakiwa apelike chura mwenye mabaka…? Unafahamu kuna watu waliwapa watoto…
#SportPesaLeague: Hizi hapa ‘chuma’ zote tatu zilizofungwa kwenye mchezo kati ya Nairobi United dhidi ya APS Bomet FC. Magoli ya APS Bomet yamefungwa na Antony Naibei na Dickson Mwangi. Goli…
MSHIKEMSHIKE: Azam FC, Yanga, Singida BS, kimahesabu zinaweza kufuzu robo fainali ya mashindano ya CAF msimu huu, unaiona Tanzania ikipeleka timu ngapi robo fainali ya michuano hiyo? Tuandikie maoni yako…
MSIMAMO: Mambo yalivyo baada ya mechi moja ya leo. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable
#NBCPL: Shuti la mbali la Kassim Haruna Shaban likaitanguliza Fountain Gate na baadae Fabrice Wa Ngoy kuisawazishia. FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo…
#NBCPL: Wamegawana alama FT: Fountain Gate 1-1 Namungo Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
#NBCPL: Fountain Gate yaendelea kushika usukani. 60’: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
#NBCPL: Fountain Gate wanakwenda Mapumziko wakiwa kifua mbele. HT: Fountain Gate 1-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #FountainGateVsNamungo #FountainGate #Namungo
VIWANJANI: “Mtanda ni mtu wa mpira ndio maana Pamba pale ilipo inafanya vizuri kwa sababu yake…” Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa…
VIWANJANI: “Yale mahitaji amabayo Wydad wanataka kwa Aziz imekuwa ngumu sana kwake…” Mchambuzi wa soka Iddy Nonga amesema ujio wa nyota wakubwa katika soka kwenye klabu ya Wydad Casablanca kumeweka…
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: Tazama vikosi vya timu zote mbili vikiwasili katika dimba la Tanzanite Kwaraa tayari kwa mchezo wa NBC Premier League. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD…
MASHABIKI WA SIMBA SC: “Tushapoteza matumaini ya kuendelea mbele kutokana na matokeo tuliyopata nyumbani” Mashabiki wa klabu ya Simba wamesema kuelekea mchezo wao dhidi ya Atletico De Luanda ya nchini…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Tazama shangwe la KMC FC baada ya kuzinyakua alama zote tatu mbele ya Mashujaa FC, katika mchezo wa NBC Premier League uliopigwa jana katika dimba la Majaliwa Ruangwa…
VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana...” Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa wa Mara Augustine Mgendi, amesema changamoto kubwa…
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: “Wao kwa sababu wapo nyumbani naona wanaweza kupata matokeo mazuri…” Mchambuzi wa soka @akingamkono amesema faida ya kuwa nyumbani kwa timu ya Fountain Gate FC pamoja…
Robo Fainali DFB Pokal kuendelea leo Jumatano Je, timu gani kuifata Leverkusen kwenye hatua ya nusu fainali? Mchezo huu kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD. #DFBPokal #Azamtvsports
VIWANJANI: Mchambuzi wa soka @rashidy_hamis amesema KMC FC inatakiwa kushinda michezo yake miwili iliyosalia kwenye mzunguko wa kwanza wa NBC Premier League ili kufufua matumaini ya kusogea nafasi za juu.…
VIWANJANI: “Unajua kuna changamoto ya muunganiko vilevile....” Meneja wa klabu ya Simba Patrick Rweyemamu, amesema wanaelekea Angola wakiwa na kikosi cha wachezaji 23 huku wakiwa na maingizo ya wachezaji wapya…
#SerieA Wameua ugenini...!!! FT: Bologna 0-3 Milan (Loftus-Cheek 20', Nkunku 39'p, Rabiot 48') #LigiKuuItalia #SerieAUpdates #BolognaMilan
#DFBPokal Leverkusen wanatangulia nusu fainali kwa kishindo.... FT: Leverkusen 3-0 St. Pauli Robo fainali nyingine ni kesho Feb 4, LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
70' | #CarabaoCup Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
80' | #DFBPokal Leverkusen 2-0 St. Pauli LIVE #AzamSports2HD #GermanyCup #BayerLeverkusen #StPauli
#CarabaoCup KICK-OFF.. Goma limeanza, na hawa ndiyo waamuzi wanaoisimamia... Arsenal 0-0 Chelsea (Agg: 3-2). Iko LIVE #AzamSports1HD #EFL #ArsenalChelsea
CAFCL: Nyota wa zamani wa Simba SC, Duwa Said anasema vijana hao wa Msimbazi hawatocheza kama walivyocheza kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Petro Atletico katika dimba la Benjamin Mkapa.…
CAFCC: “Tunarudi Zanzibar kwenda kukabiliana na CR Belouizdad” Afisa Habari wa Singida BS, Hussein Massanza anasema mechi yao dhidi ya CR Belouizdad ni mchezo wa kisasi kutokana na matokeo waliyoyapata…
CAFCL: Mashabiki Yanga wauchambua mchezo wao Jumamosi dhidi ya AS FAR kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL). Mechi itakuwa saa 4:00 kwa saa za Tanzania. #Yanga #CAFCL
SAFARI YA YANGA: “Sare haitokuwa mbaya kwetu” Kocha wa Yanga SC, Pedro Goncalves anasema mechi yao dhidi ya AS FAR ni mchezo ambao kama wakishinda watakuwa wafuzu robo fainali, kama…
Wikiendi iliyopita kwenye usiku wa tuzo za Utalii za Serengeti zilizofanyika mkoani Arusha, shabiki maarufu wa klabu ya #ManchesterCity ya Uingereza, @braydonbentpage alipewa tuzo maalum ya heshima kufuatia juhudi zake…
#NBCPL: Mpira wa kutenga ukapigwa na Daruweshi Saliboko na kwenda moja kwa moja nyavuni FT: KMC 1-0 Mashujaa FC Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #KMCvsMashujaa #KMC #Mashujaa