Tanzania kupata bil 49/- kukabili athari mabadiliko tabianchi
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh bilioni 48.9) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko…
TANZANIA ni miongoni mwa nchi zinazotarajia kunufaika na Dola za Marekani milioni 20 (sawa na Sh bilioni 48.9) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko…
DODOMA: UAMUZI wa Rais Samia Suluhu Hassan kusamehe vijana waliofuata mkumbo na kushiriki vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu ni hatua inayostahili pongezi za dhati. Akizungumza…
DODOMA: MWENYEKITI wa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Maganya Rajab amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuleta maridhiano na kusamehe vijana walioshiriki vurugu na kusisitiza kuwa, hatua hiyo si…
DODOMA:WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezielekeza hospitali zote nchini kuhakikisha wajawazito wanaofika hospitalini kuhudumiwa kwanza na hatua za kiutawala zifuatwe baadaye ili kuokoa maisha ya mama na mtoto. Pia, aliagiza…
CONGO: TANZANIA imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa…
WABUNGE wamepongeza hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuzindua bunge, kwamba imeonesha matumaini mapya ya Tanzania ijayo tajiri na bora Afrika. Tanzania itafikia ubora huo kama Watanzania kwa umoja…
TANGA: CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa…
SERIKALI imepanga kutumia sh milioni 584 kwa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari Butengolumasa wilayani Chato mkoa wa Geita ili kusogeza huduma ya elimu. Mradi wa ujenzi wa…
MKOA wa Mara umeendelea kunufaika na uwekezaji wa Sekta ya Madini baada ya kutekeleza zaidi ya miradi 398 ya maendeleo yenye thamani ya Sh Bilioni 33.81 katika wilaya zote ndani…
TIMU ya Taifa ya Ngumi za Ridhaa inatarajia kushiriki mashindano ya ngumi ya dunia yatakayofanyika Dubai, Falme za Kiarabu mwezi ujao. Mashindano hayo makubwa yanaandaliwa na Chama cha Kimataifa cha…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuelekea mwaka 2030 mpango wa serikali ni kukuza sekta ya utalii lengo likiwa kufikisha watalii wa ndani na nje milioni 8. Amesema hayo wakati akifungua…
TETESI za usajili zinadai klabu ya Liverpool inamtafakari nyota wa Bayern Munich, Michael Olise (23), kama mbadala wa Mohamed Salah wa Misri (33), na ipo tayari kutumia kiasi kikubwa cha…
DODOMA: WIZARA ya Maliasili na Utalii inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya misitu na ufugaji nyuki ili kuboresha uhifadhi na uendelezaji wa rasilimali za misitu na nyuki. Pia wanalengo…
SERIKALI katika miaka mitano ijayo, inakusudia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye sekta za uzalishaji, ikianza kilimo lengo llikiwa kuongeza kasi ya ukuaji wa sekta hiyo kutoka asilimia 4 ya sasa hadi…
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14 amefungua rasmi Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Kwanza. The post Rais Samia afungua…
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaongeza bajeti na uwezo wa Wakala ya Barabara za Mijini (TARURA) kuboresha Barabara za ndani na vijijini ili kuhakikisha barabara za vijijini zinapitika mwaka…
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita imepanga kuanzisha Wizara ya Vijana itakayoshughulikia kwa ukaribu mambo yote yanayowahusu vijana…
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali ya awamu ya sita imejipanga kabisa kutatua changamoto za ukosefu wa ajira kwa vijana kupitia uundaji…
DODOMA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya sita imepanga kuanzisha wizara ya vijana itakayoshughulikia kwa ukaribu mambo yote yanayowahusu vijana…
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana nchini kuacha tabia ya kufuata mkumbo, akisema kitendo hicho kimewaingiza baadhi yao katika matukio ya uvunjifu wa…
DODOMA: RAIS Samia ameviomba vyama vya siasa nchini kukaa pamoja na kuona wapi wamekosea ili kurekebisha kwa lengo la kuendeleza taifa lenye amani. Rais Samia ametoa kauli hiyo wakati akitoa…
DODOMA: RAIS, Dk 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 amesema Serikali imeunda tume ya kuchunguza vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 wakati wa Uchaguzi Mkuu, ili kujua kiini cha tatizo hilo, akieleza kuwa taarifa…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza viongozi serikali kwa ngazi zote nchini kuanzia mawaziri hadi maafisa tarafa kuwa karibu na wananchi ili waweze kufahamu changamoto zao na kuwajibika kwao. Ametoa agizo…
DAR ES SALAAM: KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema mamlaka hiyo itashirikiana na wafanyabiashara kulinda biashara zao binafsi ili ziendelee kukua. Akizungumza jijini Dar es…
GEITA: SERIKALI imetoa uhakika wa amani, ulinzi na usalama kwa wawekezaji wote ambao tayari wanafanya shughuli zao na wale wenye dhamira ya kufanya uwekezaji katika mkoa wa Geita. Kamati ya…
DODOMA: RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki hafla ya uapisho wa Waziri Mkuu mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu…
MKOA wa Mara umeweka rekodi mpya katika uzalishaji wa madini baada ya kuzalisha dhahabu yenye uzito wa tani 67.41, ikiwa na thamani ya Sh Trilioni 8.881 katika kipindi cha miaka…
DAR ES SALAAM; Ngozi ni kiungo muhimu cha mwili kinachohitaji utunzaji wa mara kwa mara, ili kubaki na afya na kuonekana vizuri. Urembo wa asili ni njia nzuri ya kutunza…
BENKI ya NMB imekabidhi Kompyuta tano kwa shule ya msingi Vikaye iliyopo kata ya Igava Wilaya ya Mbarali mkoa wa Mbeya. Akizungumza katika makabidhiano hayo, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa…
DODOMA: RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 14, amemuapisha Waziri Mkuu mteule, Dk. Mwigulu Nchemba, kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa…
ARUSHA: SERIKALI za Afrika ikiwemo Tanzania, hospitali binafsi na wataalamu wa teknolojia wamehimizwa kushirikiana katika kuunda mikakati ya kitaifa ya huduma za afya zinazotumia akili mnemba, ili kuongeza ufanisi na…
MAMIA ya wakazi wa Dodoma wameitikia wito wa Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Dk Frederick Sagamiko kufika kwenye matibabu bila malipo yanayotolewa kwa ushirikiano wa Wizara ya Afya na watalaamu…
WANANCHI mkoani Dodoma wamehimizwa kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wale wanaopata dharura ya kuhitaji huduma ya kuongezewa damu. The post Wananchi wahimizwa kuchangia damu first appeared on HabariLeo.
DODOMA: MBUNGE wa Isimani, William Lukuvi amesema Rais Samia Suluhu Hassan hakukosea kumteua Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akiunga hoja ya serikali ya…
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dk…
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba anatajwa kuwa ni mtu mwenye maono ya kujua taifa linataka kwenda wapi. Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema hayo…
WABUNGE wa vyama vya upinzani wameeleza matarajio yao kwa Waziri Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ukiwemo usimamizi wa rasilimali za taifa ili ziwaletee wananchi maendeleo The post Upinzani wapongeza uteuzi…
KATIKA kutatua migororo ya wakulima na wafugaji katika Wilaya ya Chamwino mkoani hapa Halmashauri ya Wilala ya Chamwino imepima zaidi ya ekari 6,600 kwa ajili ya matumizi bora ya ardhi…
UTEUZI wa Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania ameandika ukurasa mpya katika historia ya nchi, akiwa ni wa 12 tangu uhuru. The post Tunamtakia…
WAZAZI inawapasa wajitahidi kuwapatia watoto makundi ya vyakula, angalau yanayopatikana kwa urahisi kwenye maeneo yao ili kuweza kuwaepusha na utapiamlo. Pia, mzazi anapokuwa anauguza mtoto mwenye utapiamlo, hulazimika kukaa hospitalini…
BUNGE la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limempitisha kwa asilimia 100 Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo awe Naibu Spika. Sillo alikuwa ni mgombea pekee wa nafasi hiyo…
WAZIRI Mkuu mteule, Dk Mwigulu Nchemba ameonya watumishi wa umma wavivu, wazembe na wala rushwa. Dk Mwigulu ameagiza waache mara moja kwa sababu anakuja na fyekeo na rato kusafisha uovu…
BUNGE limethibitisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba awe Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. The post Bunge lamthibitisha Mwigulu first appeared on HabariLeo.
RAIS Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kumuapisha Mbunge wa Iramba Magharibi, Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. The post Kuapishwa Leo Ikulu Chamwino first…
JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesisitiza kuwa litaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya Usalama na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuwabaini na kuwachukulia hatua za kisheria wote wanaojihusisha…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza Baraza jipya la Mawaziri lenye sura ya mabadiliko na uwiano wa kisiasa, huku akiongeza wizara kutoka…
Dk Mwigulu apokelewa Ofisi ya Waziri Mkuu – HabariLeo Waziri Mkuu Mteule Dk Mwigulu Nchemba akipokelewa na watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mlimwa jijini…
RAIS Samia Suluhu Hassan atamuapisha Dk Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dk Moses Kusiluka imesema hafla…
DK. MWIGULU Lameck Nchemba ni miongoni mwa viongozi wa kisasa wa Tanzania wanaotambulika kwa umahiri katika taaluma ya uchumi na uongozi wa umma. Alizaliwa Januari 7, 1975 katika kijiji cha…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kutangaza Baraza jipya la Mawaziri kesho, Novemba 13, 2025, katika hafla fupi itakayofanyika Ikulu Zanzibar. The…