#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere
#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere. Je, watanzania wanatunza misingi ya amani aliyoiasisi?
#KIPIMAJOTO: Miaka 26 ya Kumbukizi ya Kifo cha Baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Nyerere. Je, watanzania wanatunza misingi ya amani aliyoiasisi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 15, 2025
Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi hiyo kwa muhula ya pili ameahidi kuwalipa fidia wananchi wa jimbo la Dimani watakaothibitika kuwa walipokea kiwango kidogo cha stahiki zao kupisha miradi…
Watanzania wametakiwa kutoandamana tarehe 29 Oktoba na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu ili kuwachagua viongozi wapya na kuiondoa CCM kwenye hatamu za uongozi. Wito huo…
Mgombea urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Manyara amesema ikiwa atachaguliwa kuwa rais ataboresha sekta ya afya kama anavyoeleza Hellen Kawiche. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi
#HABARI: Idara ya Uhamiaji inapenda kuutarifu Umma kuwa tarehe 13 Oktoba, 2025 imewaondosha nchini raia wawili wa kigeni ambao ni Dkt. Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya Ujerumani namba…
Historia ya ukombozi wa Tanganyika kupitia kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere imehifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi. Miongoni mwa maeneo yaliyohifadhi historia na harakati za…
Mgombea Urais kupitia chama cha ADC, Wilson Mulumbe ameahidi kuweka sawa mgawanyo wa rasilimali za taifa bila upendeleo ili kila mwananchi aweze kunufaika. Mulumbe ametoa ahadi hiyo mkoani Tabora katika…
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salim Mwalimu amesema iwapo ridhaa ya Watanzania kupitia sanduku la kura itampa mamlaka ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anafuata nyayo…
Katika kuadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 26 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu sheria…