“Kama unatarajia kuingia chuo kikuu ukiwa na mawazo haya, itakuchukua muda mrefu sana ‘kutoboa’.

Msikilize Dkt. Caroline Fumbuka, Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, akieleza njia na mbinu zinazoweza kukusaidia kufanikisha maisha yako ukiwa chuoni na baada ya kuhitimu.”

#AzamTVUpdates
✍Juliana James
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *