#HABARI: Miss Grand Tanzania 2025, Betrice Alex, ameibuka na fursa mpya baada ya kusaini mkataba wa kuwa Balozi mkubwa wa kampuni ya mchezo wa kubashiri nchini Bang Bet.
Akizungumza mara baada ya kutambulishwa, Betrice amesema nafasi hiyo ni hatua muhimu katika safari yake na hatosita kuitumia ipasavyo na kwamba licha ya yeye kutoshiriki moja kwa moja kwenye michezo hiyo, atajaribu kucheza kupitia watu wengine ili kujipatia kipato kwani anathamini fursa zinazotokana na ubunifu na biashara za Kidigitali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)