Skip to content
  • Sun. Oct 19th, 2025

LTV TANZANIA

  • CONTACT US
  • TERMS AND CONDITIONS
  • PRIVACY POLICY

Latest Post

#SerieA Kimewang’ang’ania…!!! NBC Premier League Jumapili hii 55′ | #LaLigaEASports Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi Ibenge awakomalia mastaa Azam FC
SPORTVTV

#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!

October 18, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

NBC Premier League Jumapili hii

October 18, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

55′ | #LaLigaEASports

October 18, 2025 mjombazecoder
MICHEZO

Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi

October 18, 2025 mjombazecoder
MICHEZO

Ibenge awakomalia mastaa Azam FC

October 18, 2025 mjombazecoder
  • Latest
  • Popular
  • Trending
#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!
SPORTVTV
#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!
NBC Premier League Jumapili hii
SPORTVTV
NBC Premier League Jumapili hii
55′ | #LaLigaEASports
SPORTVTV
55′ | #LaLigaEASports
Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
MICHEZO
Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
aarifa Kuu Za App
Uncategorized
aarifa Kuu Za App
Yanga yamtimua Romain Folz, Mabedi apewa Mikoba
MWANANCHI
Yanga yamtimua Romain Folz, Mabedi apewa Mikoba
MICHEZO
Muhammad Ali kuzikwa Ijumaa ya wiki hii
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
Uncategorized
Kesi ya Kabila nchini DRC: Vyama vya kiraia ninadai makumi ya mabilioni ya dola kama didia
#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!
SPORTVTV
#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!
NBC Premier League Jumapili hii
SPORTVTV
NBC Premier League Jumapili hii
55′ | #LaLigaEASports
SPORTVTV
55′ | #LaLigaEASports
Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
MICHEZO
Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
VIDEOS NEWS TV

#HABARI: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kenya (KCAA) imewatangazia wananchi kuwa shughuli za ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimatai…

October 16, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kenya (KCAA) imewatangazia wananchi kuwa shughuli za ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) zimesitishwa kwa muda kufuatia tukio la…

VIDEOS NEWS TV

#HABARI: Watanzania wametakiwa kuhakikisha kuwa hali ya amani na utulivu, inaimarishwa siku ya uchaguzi, kujitokeza kupiga kura …

October 16, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Watanzania wametakiwa kuhakikisha kuwa hali ya amani na utulivu, inaimarishwa siku ya uchaguzi, kujitokeza kupiga kura kisha kurudi nyumbani, ili kuvipunguzia kazi Vyombo vya Ulinzi na Usalama, kukabiliana na…

MWANANCHI

Sam Allardyce: Liverpool itajuta kutomsajili Marc Guehi

October 16, 2025 mjombazecoder

Aliyekuwa kocha Crystal Palace, Sam Allardyce, anaamini kuwa Liverpool watakuja kujutia...

VIDEOS NEWS TV

Mamia ya wananchi wamekusanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi kwa ajili ya kuupokea mwili wa Waz…

October 16, 2025 mjombazecoder

Mamia ya wananchi wamekusanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi kwa ajili ya kuupokea mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Odinga aliyefariki dunia jana…

MWANANCHI

Eric Garcia afichua siri ya kubadilisha nafasi

October 16, 2025 mjombazecoder

Nyota wa Barcelona, Eric Garcia, amemwagia sifu kocha wa Girona, Miguel Sánchez, kwa kumsaidia...

MICHEZO

Ahmed Ally atamba Airpot: Natamani Yanga na wenzake watolewe CAF, aitangazia vita Nsingizini Hotspurs

October 16, 2025 mjombazecoder

Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…

MWANANCHI

Wawili Simba kuikosa Nsingizini, meneja Pantev aleleza sababu

October 16, 2025 mjombazecoder

‎Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa...

MWANANCHI

Yanga yaifuata Silver Strikers Malawi

October 16, 2025 mjombazecoder

Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

VIDEOS NEWS TV

“Nilimwambia mke wangu anishike shingoni tujitahidi kutoka…lakini ghafla mkondo mkali wa maji ulimchukua…nilijitosa kumtafuta, s…

October 16, 2025 mjombazecoder

“Nilimwambia mke wangu anishike shingoni tujitahidi kutoka…lakini ghafla mkondo mkali wa maji ulimchukua…nilijitosa kumtafuta, sikumpata.” 😢 - Hilario Reynosa Valderas akisimulia namna yeye na mkewe Elodia Reyes Azuara walivyonusurika katika…

VIDEOS NEWS TV

🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

VIDEOS NEWS TV

#HABARI: Ulinzi mkali umeimarishwa leo Oktoba 16, 2025 wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu L…

October 16, 2025 mjombazecoder

#HABARI: Ulinzi mkali umeimarishwa leo Oktoba 16, 2025 wakati Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwenye kesi…

VIDEOS NEWS TV

🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

VIDEOS NEWS TV

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais …

October 16, 2025 mjombazecoder

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia…

VIDEOS NEWS TV

Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa ya Oktoba 17, 2025 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu ms…

October 16, 2025 mjombazecoder

Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa ya Oktoba 17, 2025 kuwa siku ya mapumziko ya kitaifa kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, Raila Amolo Odinga, aliyefariki dunia jana…

MICHEZO

Camara, Bajaber kuikosa Nsingizini, meneja Pantev afichua sababu

October 16, 2025 mjombazecoder

‎Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa Camara wataikosa mechi dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokana na majeraha.

HABARI ZA KIPEKEE

Kamanda Asadi: Kusitisha mapigano Ghaza kunatokana na kukata tamaa Marekani na Israel

October 16, 2025 mjombazecoder

Naibu Mkaguzi wa Kituo cha Kijeshi cha Khatam al-Anbiya amezungumzia makubaliano ya usitishaji vita kati ya HAMAS na utawala wa Kizayuni na kusisitiza kuwa, makubaliano hayo yanatokana na Marekani na…

HABARI ZA KIPEKEE

AU yaisimamishia uanachama Madagascar kufuatia mapinduzi ya kijeshi

October 16, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Afrika umetengaza kuisimamishia unachama Madagascar "hadi utaratibu wa kikatiba utakaporejeshwa" baada ya mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Rais Andry Rajoelina.

VIDEOS NEWS TV

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg

October 16, 2025 mjombazecoder

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Ndg. Mussa Peter Mwakitinya, amesema nia ya mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt.…

MICHEZO

Simba yasepa kwa kishindo, mastaa wawili kuikosa Nsingizini, meneja Pantev azungumzia dozi alivyoiandaa!

October 16, 2025 mjombazecoder

Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…

VIDEOS NEWS TV

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI….OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UJASIRIAMALI....OKTOBA 16, 2025

VIDEOS NEWS TV

#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Ken…

October 16, 2025 mjombazecoder

#VIDEO: Mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Hayati Raila Odinga, ukiingizwa kwenye ndege tayari kurejeshwa nyumbani nchini Kenya, kwa ajili ya Mazishi ya Kitaifa, mwili wa Odinga utapumzishwa Jumapili…

VIDEOS NEWS TV

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 16, 2025

HABARI ZA KIPEKEE

Shirika la Mashad: Watu 146 wameuawa El-Fasher, Sudan

October 16, 2025 mjombazecoder

Shirika la kutetea haki za binadamu la Mashad limerekodi vifo vya raia 146, wakiwemo watoto 41 katika siku za hivi karibuni katika mji El-Fasher magharibi mwa Sudan.

Tanzania: Kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi wakati uchaguzi ukikaribia

October 16, 2025 mjombazecoder

Nchini Tanzania, kampeni za uchaguzi zinafanyika katika hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka. Wiki mbili kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29, visa vya watu kukamatwa na kutoweka vinaongezeka. Imechapishwa: 16/10/2025 –…

HABARI ZA KIPEKEE

Waziri: Mamilioni ya watalii wameitebelea Iran ndani ya miezi 6

October 16, 2025 mjombazecoder

Zaidi ya watalii milioni 3.5 wa kigeni wameitembelea Iran katika miezi sita ya kwanza ya mwaka huu, Waziri wa Turathi za Utamaduni, Utalii na Sanaa, Reza Salehi Amiri alisema hayo…

HABARI ZA KIPEKEE

Malori ya misaada yasubiri ‘idhini ya Israel’ Rafah ili yaingie Gaza

October 16, 2025 mjombazecoder

Gavana wa Sinai Kaskazini nchini Misri amesema mamia ya malori ya misaada yapo tayari kuingia katika Ukanda wa Gaza kupitia kivuko cha Rafah, lakini yanasubiri kibali cha utawala wa Israel…

MICHEZO

Yanga yaifuata Silver Strikers, Ali Kamwe azungumzia yatakayomkuta Mabedi

October 16, 2025 mjombazecoder

Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi…

DRC: Mazungumzo yanaendelea kati ya Kinshasa na AFC/M23 kuhusu kubadilishana wafungwa

October 16, 2025 mjombazecoder

Kufuatia kutiwa saini siku ya Jumanne, Oktoba 14, huko Doha kwa mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano kati ya serikali ya Kongo na kundi la waasi la AFC/M23, majadiliano yanaendelea katika…

VIDEOS NEWS TV

Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 16,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108

October 16, 2025 mjombazecoder

Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 16,2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates

MICHEZO

Patrick Mabedi aiongoza Yanga kuisaka Malawi | Hersi, Ngai na Ali Kamwe wafunguka mpango mzima CAF!

October 16, 2025 mjombazecoder

Kifo cha Raila Odinga, mechi saba Ligi Kuu ya Kenya za ahirishwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF), limeahirisha mechi saba zilizokuwa zimepangwa kuchezwa wikiendi hii ikiwa ni kwa heshima…

VIDEOS NEWS TV

🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ….OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA MICHEZO: ....OKTOBA 16, 2025

Madagascar: Kanali Randrianirina kuapishwa kama rais Ijumaa

October 16, 2025 mjombazecoder

Nchini Madagascar, jeshi linaimarisha mamlaka yake mpya siku mbili baada ya tangazo lake mbele ya ikulu ya rais huko Ambohitsorohitra. Kanali Randrianirina ataapishwa siku ya Ijumaa Oktoba 17 kuwa rais…

BBC NEWS TANZANIA

Tetesi za soka Ulaya Alhamisi: Man City na Chelsea zampigania Elliot Anderson wa Nottingham Forest

October 16, 2025 mjombazecoder

Manchester City na Chelsea kupigania saini ya Elliot Anderson, Tottenham waandaa dau la kushtukiza kwa Harry Kane, Manchester United wanamtaka Mateo Retegui, Roma waongoza kinyang'anyiro cha kumnasa Joshua Zirkzee.

Umoja wa Afrika waisitisha Madagascar kwenye taasisi zake na shughuli zote

October 16, 2025 mjombazecoder

Umoja wa Afrika umechukua hatua haraka kufuatia hatua ya jeshi kuchukuwa madaraka nchini Madagascar. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano, Oktoba 15, Umoja wa Afrika umeisitisha Madagascar kwenye taasisi zake…

MWANANCHI

Maarifa ya asili katika ukuzaji uchumi wa Taifa

October 16, 2025 mjombazecoder

Kila kizazi kina wazo, ndoto na azma yake ya kuweka alama mpya katika ukuaji wa taifa. Miaka...

Joseph Kabila ateuliwa kuongoza jukwaa jipya la kisiasa DRC

October 16, 2025 mjombazecoder

Mkutano mkubwa wa kisiasa na kijamii juu ya mustakabali wa nchi, ulioitishwa Nairobi, nchini Kenya, na rais wa zamani Joseph Kabila, umezindua jukwaa jipya la kisiasa siku ya Jumatano, Oktoba…

VIDEOS NEWS TV

🔴KUMEKUCHA: NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KWENYE UCHAGUZI….OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴KUMEKUCHA: NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KWENYE UCHAGUZI....OKTOBA 16, 2025

MWANANCHI

Urais wa Mpina ndio basi tena!

October 16, 2025 mjombazecoder

Ni mwisho wa safari ya Luhaga Mpina kusaka urais? Ni swali linalogonga vichwa vya wengi kwa...

MWANANCHI

Kishindo kampeni za lala salama

October 16, 2025 mjombazecoder

Safari ya kunadi sera na kuomba ridhaa kwa Watanzania ili watoe nafasi kwa mgombea mmoja kati...

MWANANCHI

Umuhimu wa bajeti katika mipango binafsi

October 16, 2025 mjombazecoder

Katika mazingira ya sasa yenye hali ya kiuchumi isiyo tulivu, kupanga bajeti na mipango ya...

MWANANCHI

Uwezekano wa kulipa nauli kidijitali kwenye daladala

October 16, 2025 mjombazecoder

Fikiria unapanda daladala bila kuhangaika kutafuta chenji, bila wasiwasi kama konda...

MWANANCHI

Hifadhi ya dhahabu yaipiku Euro ikizidi kuteteresha Dola

October 16, 2025 mjombazecoder

Mwamko mkubwa wa Benki Kuu duniani kununua dhahabu kumeyafanya madini hayo kuwa ya pili...

BBC NEWS TANZANIA

Kifo cha Raila Odinga: Ratiba ya mazishi kuanzia leo hadi Jumapili

October 16, 2025 mjombazecoder

Rais William Ruto anatarajiwa kuongoza maafisa wa serikali katika kupokea mwili huo ambao utapelekwa hadi chumba cha kuhifadhia maiti cha Lee kuandaliwa.

Mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga kufanyika Jumapili

October 16, 2025 mjombazecoder

Kamati ya kitaifa ya mazishi ya kitaifa ya Raila Odinga, ikiongozwa na Makamu wa Rais Kithure Kindiki, imebainisha kwamba Waziri Mkuu huyo wa zamani atazikwa Jumapili, Oktoba 19, kulingana na…

VIDEOS NEWS TV

#KIPIMAJOTO: Wanaotumia mitandao kusambaza hofu na uchochezi

October 16, 2025 mjombazecoder

#KIPIMAJOTO: Wanaotumia mitandao kusambaza hofu na uchochezi. Je, wanadhibitiwa kwa wakati kuepusha madhara kwa jamii?

VIDEOS NEWS TV

🔴MAGAZETI: VIGOGO CHADEMA WANA SIKU 8 KUJITETEA WASIENDE GEREZANI / PANTEV ABANWA….OKTOBA 15, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴MAGAZETI: VIGOGO CHADEMA WANA SIKU 8 KUJITETEA WASIENDE GEREZANI / PANTEV ABANWA....OKTOBA 15, 2025

HABARI ZA KIPEKEE

Pezeshkian: Maadui wanafurahi wanapoona nchi za Kiislamu zinagombana

October 16, 2025 mjombazecoder

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia madhara ya mizozo, ugomvi, vita na uadui baina ya nchi za Kiislamu na kusema kuwa, hivyo ndivyo anavyotaka adui bali hayo ndiyo…

VIDEOS NEWS TV

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI …OKTOBA 16, 2025

October 16, 2025 mjombazecoder

🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 16, 2025

BBC NEWS TANZANIA

Uchaguzi Tanzania 2025: Jinsi wagombea wa upinzani ‘walivyo hoi’ katika kampeni

October 16, 2025 mjombazecoder

Zimesalia wiki mbili pekee kabla ya uchaguzi mkuu wa Tanzania kufanyika Oktoba 29, 2025.

BBC NEWS TANZANIA

Ifahamu mikataba iliyomuweka Raila Odinga ‘madarakani’ licha ya urais kumponyoka

October 16, 2025 mjombazecoder

Hatua ya karibu zaidi ya Raila kuchukua urais ilikuja mwaka wa 2007, alipowania urais chini ya chama cha Orange Democratic Movement (ODM). Matokeo ya awali yalionyesha anaongoza, lakini Tume ya…

Posts pagination

1 … 11 12 13 … 176

Recent Posts

  • #SerieA Kimewang’ang’ania…!!!
  • NBC Premier League Jumapili hii
  • 55′ | #LaLigaEASports
  • Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi
  • Ibenge awakomalia mastaa Azam FC

Recent Comments

  1. A WordPress Commenter on aarifa Kuu Za App

Archives

  • October 2025
  • September 2025
  • August 2025
  • July 2025
  • August 2024
  • June 2016

Categories

  • BBC LIVE SOMA
  • BBC NEWS TANZANIA
  • HABARI ZA KIPEKEE
  • LTV LIVE TV
  • LTV TV
  • MAGAZETI
  • MICHEZO
  • MWANANCHI
  • ONLINETV
  • SPORTVTV
  • Uncategorized
  • VIDEOS NEWS TV

You missed

SPORTVTV

#SerieA Kimewang’ang’ania…!!!

October 18, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

NBC Premier League Jumapili hii

October 18, 2025 mjombazecoder
SPORTVTV

55′ | #LaLigaEASports

October 18, 2025 mjombazecoder
MICHEZO

Kocha KMKM ajipa matumaini Chamazi

October 18, 2025 mjombazecoder

LTV TANZANIA

Proudly powered by WordPress | Theme: Newsup by Themeansar.

  • Home
  • CONTACT US
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS