Eslami: Shambulio dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran lilikuwa shambulio dhidi ya itibari ya IAEA
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza katika Mkutano Mkuu wa 69 wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwamba: Mashambulio ya Marekani na utawala…
Rwanda-DRC: Mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda kuanza kufanya kazi
Tarehe 1 Agosti, DRC na Rwanda zilitia saini, chini ya mwamvuli wa Marekani, taarifa ya kanuni za mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda. Mfumo huu utasimamia ushirikiano wa kiuchumi…
DRC: AFC/M23 yazindua kikosi kipya cha wanajeshi 7,000 licha ya mazungumzo yanayoendelea Doha
Kundi la waasi wa AFC/M23 limezindua kikosi kipya cha zaidi ya wanajeshi 7,000 tarehe 14 Septemba Mashariki mwa DRC, wakati wa hafla iliyofanyika katika kituo chake cha mafunzo huko Rumangabo,…
Sudan: Jeshi laendelea kusonga mbele Kordofan wakati RSF ikiongeza mashambulizi ya Drone
Nchini Sudan, Jimbo la Kordofan Magharibi limekuwa likikumbwa na mapigano makali kwa wiki kadhaa kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF). Katika kukabiliana na kusonga mbele kwa…
Mauaji ya Charlie Kirk: Tunachojua kuhusu Tyler Robinson, mshukiwa aliyetajwa
Chanzo cha picha, Handout Maelezo ya picha, Tyler Robinson mwenye umri wa miaka 22 yuko kizuizini na hivi karibuni atashtakiwa, kulingana na Gavana wa Utah Spencer Cox Dakika 5 zilizopita…
Chad: Wabunge waongeza muda wa rais kukaa madarakani
Wabunge nchini Chad, Jumatatu ya wiki hii walipitisha marekebisho ya katiba yanayoongeza muda wa rais kukaa madarakani kutoka miaka 5 hadi 7 na kwa kipindi kisichokuwa na ukomo. Imechapishwa: 16/09/2025…
Haiti: Zaidi ya hamsini wauawa katika shambulio la magenge
Zaidi ya watu 50 waliuawa wiki iliyopita katika mfululizo wa mashambulizi ya magenge nchini Haiti, kulingana na ripoti iliyotolewa siku ya Jumatatu na Mtandao wa Kitaifa wa Kutetea Haki za…
Rubio aelekea Qatar ´kutuliza joto´ msuguano na Israel
Ziara hiyo inanuwia kupunguza mvutano baada ya Israel kuushambulia mkutano wa viongozi wa kundi la Hamas uliokuwa ukifanyika kwenye mji mkuu wa taifa hilo la Ghuba Jumanne iliyopita. Ofisi ya…
Nchi za kiarabu na kiislamu zataka ´kuisusa´ Israel
Mwito huo umetolewa kupitia tamko la pamoja la viongozi wa karibu mataifa 60 wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na ile ya nchi za kiislamu baada ya kumalizika kwa…
Malawi inafanya uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani
Kadhia ya mfumuko wa bei na upungufu mkubwa wa nishati ya mafuta vinatajwa kuwa masuala muhimu yanayowashughulisha zaidi wapigakura. Wagombea wengine 15 akiwemo rais wa zamani Joyce Banda pia wanawania…
WMO: Tabaka la Ozoni linarejea kwenye hali ya asili
Tabaka hilo hutoa kinga kwa uso wa dunia dhidi ya miale ya jua na kutengamaa kwake kunatokana na miongo minne ya juhudi za kimataifa za kupunguza utoaji gesi chafuzi. Ripoti…
Zaidi ya watu 50 wameuawa na magenge ya wahalifu Haiti
Hayo yameelezwa na shirika moja la kiraia nchini humo ambalo limearifu kwamba mashambulizi hayo yalitokea kati ya Septemba 11 na 12 kwenye maeneo ya kaskazini mwa mji mkuu, Port-au-Prince. Shirika…
Trump asema hakufahamishwa na Netanyahu kabla ya Israel kushambulia Qatar
Chanzo cha picha, Reuters Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatatu kuwa hakujulishwa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mapema kuhusu shambulizi la Israel nchini Qatar wiki…
Sudan Kusini: Upinzani wataka kufanyika kwa mabadiliko ya uongozi wa sasa
Upinzani nchini Sudan Kusini, umetoa wito wa uhamasishaji kwa wafuasi na vikosi vyake kujitayarisha kufanya mabadiliko ya uongozi wa serkali, ili kujibu mpango wa serikali wa kutaka kumfungulia kiongozi wake…
Israel yaanza operesheni ya ardhini Gaza City
Mtandao wa habari wa Axios umeripoti taarifa hizo ukiwanukuu maafisa kadhaa wa Israeli. Serikali mjini Tel Aviv ilitangaza mpango wa kuukamata mji wa Gaza zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Kwa…
Rwanda: Bunge lapinga maazimio ya EU kuhusu kuachiwa kwa Victoire Ingabire
Wabunge wa Rwanda, Jumatatu ya wiki hii walipitisha azimio kulaani wito wa hivi karibuni wa bunge la umoja wa Ulaya lililoitaka serikali ya Kigali, kumuachia huru bila masharti, mwanasiasa Victoire…
Namna Ghaza inavyowabebesha jinamizi la kiafya wanajeshi wa Israel
Makumi ya wanajeshi wa utawala wa wa Kizayuni wa Israel waliovamia Ghaza wameambukizwa magonjwa ya ngozi ya kuambukiza. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Burkina Faso: Karibia watu 50 wameuawa katika mashambulio ya kigaidi tangu Mei
Mashambulio matatu yaliyotekelezwa na makundi ya kijihadi nchini Burkina Faso, tangu mwezi Mei, yamesababisha vifo vya watu karibu 50, kwa mujibu wa ripoti za Shirika la Human Rights Watch.
Matukio ya moto kuteketeza masoko na mitaji ya wafanyabiashara
Matukio ya moto kuteketeza masoko na mitaji ya wafanyabiashara. Je, wanaelimishwa ili kushiriki kuweka mazingira na mifumo ya kudhibiti majanga haya? ##Swalilakipimajoto #16Septemba2025
Raia wa Malawi wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa urais
Raia wa Malawi, hivi leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa rais, Wabunge na madiwani, uchaguzi ambao unatarajiwa kuamua mustakabali wa taifa hilo kuhusu uchumi na vita dhidi ya rushwa.…
Ripoti: Mossad yaahirisha mpango wa hujuma ya nchi kavu dhidi ya Hamas Nchini Qatar
IQNA – Shirika la ujasusi la Israel, Mossad, limeahirisha mpango wa uvamizi wa nchi kavu uliolenga kuwaua viongozi wa Hamas walioko Qatar, mpango uliokuwa ukifanyiwa kazi katika wiki za hivi…
Save the Children: Zaidi ya nusu ya waathiriwa wa tetemeko la ardhi mashariki mwa Afghanistan ni watoto
Shirika la Kimataifa la Save the Children limetangaza kuwa, karibu watoto 1,200 wamepoteza maisha na maelfu ya wengine kuachwa bila makao katika tetemeko la ardhi la hivi majuzi mashariki mwa…
Familia za mateka: Netanyahu ndiye kikwazo cha kuwarudisha mateka nyumbani
Familia za mateka wa Israel wanaoshikiliwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS kwa mara nyingine tena zimemtuhumu Benjamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala ghasibu wa Israel kuwa…
16.09.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S16.09.202516 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Jeshi la Israel limesema vikosi vyake vimeanza operesheni ya ardhini katika Jiji la Gaza / Malawi inafanya uchaguzi mkuu utakaowapambanisha…
Uhaba wa mafuta Malawi wasababishaa foleni ndefu vituoni na kuathiri maisha ya watu
Uhaba wa mafuta ya Petroli nchini Malawi uliodumu kwa muda mrefu umesababisha matatizo makubwa na kuwa na taathira hasi kwa maiasha ya wananchi wa nchi hiyo. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI…
Waasi wa RSF washambulia maeneo muhimu ya kijeshi Sudan
Afisa mmoja wa jeshi la Sudan ameziambia duru za habari kwamba droni kadhaa za wanamgambo wa RSF zimeshambulia vituo muhimu vya kijeshi na miundo mbinu ya raia nchini Sudan. BONYEZA…
New Zealand yatikiswa kwa maandamano makubwa ya historia ya kuunga mkono Gaza
Maandamano makubwa ya kihistyoria ya kuunga mkono wananchi wa Palestina hususan wa Ukanda wa Gaza yamefanyika nchini New Zealand. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
WHO: Vifo vilivyosababishwa na kipindupindu duniani kote katika mwaka 2024 viliongezeka kwa 50%
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa vifo vilivyosababishwa na ugonjwa wa kipindupindu viliongezeka kwa asilimia 50 duniani kote katika mwaka uliopita wa 2024 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.…
#HABARI: Mkaguzi Kata ya Kisangura Serengeti katika Mkoani Mara, Mkaguzii wa Polisi (INSP) Genuine Kimario, amewataka wananchi k…
#HABARI: Mkaguzi Kata ya Kisangura Serengeti katika Mkoani Mara, Mkaguzii wa Polisi (INSP) Genuine Kimario, amewataka wananchi kuendelea kukemea na kutoa taarifa kwa Polisi Juu ya vitendo vya ukatili. (INSP)…
UNRWA: Sambamba na mauaji ya kimbari, Israel imeifanya Ghaza 'ardhi ya nyika' isiyofaa kuishi binadamu
Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umesema una wasi wasi mkubwa juu ya hali mbaya sana ya maisha katika Ukanda wa Ghaza sambamba na kushadidi mashambulizi ya mabomu na…
Kwa nini maandamano ya kupinga kuungwa mkono Israel yameongezeka barani Ulaya?
Maelfu ya watu wamemiminika barabarani mjini Berlin kupinga sera za Ujerumani katika eneo la Asia Magharibi hususan za kuunga mkono jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel. BONYEZA HAPA KUSOMA…
Russia yaionya vikali Ulaya dhidi ya kuchukua mali yake
Serikali ya Russia imezionya vikali nchi za Ulaya kwamba itachukua hatua kali dhidi ya taifa lolote litakalochukua mali yake. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
China na Marekani wakaribia kuafikiana kuhusu TikTok
Waziri wa Fedha wa Marekani Scott Bessent amesema kumefikiwa makubaliano ya mfumo kuhusu umiliki wa jukwaa maarufu la kijamii la video la TikTok baada ya mazungumzo ya biashara kati ya…
Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni ‘tangazo la vita’
Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya NATO kuzidungua droni za Urusi kunamaanisha kwamba muungano huo…
Qatar yaishutumu Israel kutowajali mateka wake Gaza
Hata hivyo Israel imeendelea kusema operesheni zake za kijeshi huko Gaza zinalenga kuwaokoa mateka wote wanaozuiliwa na Hamas na kuliangamiza kabisa kundi hilo. Matamshi ya Hamad Al-Thani yamekuja leo wakati…
Waisraeli wazuiwa kujiunga na chuo cha ulinzi Uingereza
Hii inamaanisha kuanzia mwaka ujao wanafunzi kutoka Israel hawatokubaliwa kujiunga na chuo hicho kinachotoa mafunzo ya kimataifa ya kimkakati kwa wanafunzi wa Uingereza na maeneo mengine ya dunia. Israel imekasirishwa…
Makubaliano dhidi ya uvuvi wa kupindukia yaanza kutekelezwa
Mkataba huo unakataza ruzuku kwa ajili ya meli zinazochangia uvuvi haramu, usioripotiwa na usiodhibitiwa lakini pia uvuvi kwenye bahari kuu. Utafiti wa mwaka 2019 uliochapishwa kwenye jarida la Marine Policy…
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela aonya askari wa US: Msiwe wapumbavu
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amelaani kitendo cha Marekani cha kupeleka vikosi vyake vya majini kwenye visiwa vya Caribbean kwa kisingizio kupambana na ulanguzi wa dawa za…
China: Marekani iwe makini na matendo yake
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China, Lin Jian, amesema matakwa ya China yakiathirika kwa namna yoyote ile, itachukua hatua sawa kulinda usalama na maslahi yake. Jian amesema…
Upinzani Sudan Kusini wahamasisha vikosi kubadilisha utawala
Machar, ambaye alikuwa makamu wa kwanza wa rais chini ya mkataba wa kugawana madaraka wa mwaka 2018, aliondolewa madarakani wiki iliyopita baada ya hapo awali kuwekwa chini ya kifungo cha…
Merz: CDU imeibuka kuwa imara katika uchaguzi wa NRW
Ushindi huo unatokea wakati chama kinachofuata siasa kali za mrengo wa kulia, AfD, kikiongeza umaarufu wake kwa asilimia 5 ikilinganishwa na uchaguzi uliopita wa mwaka 2020. Merz aliyeigia madarakani mwezi…
Marekani na Israel zasema kundi la Hamas lazima liangamizwe
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekutana na kufanya mazungumzo hii leo Jumatatu mjini Jerusalem na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio. Viongozi hao wametoa kauli inayosisitiza…
Rais wa Iran afanya mazungumzo na Amir wa Qatar
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha. BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Mrengo wa kulia wazidi kuimarika magharibi mwa Ujerumani
Vyama vya mrengo wa kushoto, Social Democrats (SPD) na Greens, vimeshindwa kulingana na matokeo ya awali. CDU imepata takribani asilimia 33.3 ya kura zote, huku SPD ikishika nafasi ya pili…
Watafiti wamegundua aina mpya ya ‘tembo wa maji’ huko Sabah
Kundi la wanasayansi wa baharini kutoka Chuo Kikuu cha Malaysia Sabah (UMS) limeandika historia kwa kugundua spishi mpya ya tardigrada wa baharini, waliyoipa jina Batillipes Malaysianus kwa heshima ya nchi…
Ulimwengu wa Spoti, Sep 15
Natumai u mzima wa afya mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbali mbali za dunia.…
Rubio kutafuta majibu ya shambulizi la Qatar na Netanyahu
Israel iliishambulia Qatar ikiwalenga viongozi wa Hamas. Hatua hiyo inahofiwa huenda ikaathiri juhudi za usitishwaji mapigano Gaza. Rubio amesema Marekani imekasirishwa na uamuzi wa Israel kuishambulia Qatar lakini sasa ni…
Jeshi la Pakistan limesema limeua watuhumiwa kadhaa wa ugaidi ndani siku mbili
Jeshi la Pakistan limesema limeua watuhumiwa kadhaa wa ugaidi ndani siku mbili Jeshi la Pakistan limesema Jumatatu kuwa katika mashambulio mawili ya usalama yaliyofanyika katika sehemu ya kaskazini magharibi ya…
UNRWA: Hakuna sehemu salama katika Ukanda wa Gaza
Philippe Lazzarini, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) amesema kuwa, hivi sasa hakuna sehemu salama huko Gaza na kwamba mashambulizi ya anga yanaendelea…