[ad_1]
Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesisitiza katika Mkutano Mkuu wa 69 wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kwamba: Mashambulio ya Marekani na utawala wa Israel dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran si tu kuwa ni jinai na uoga, bali pia ni shambulio la moja kwa moja dhidi ya itibari ya Wakala huo na mfumo wake wa ulinzi.
[ad_2]
BONYEZA HAPA KUSOMA HABARI KAMILI
Eslami: Shambulio dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran lilikuwa shambulio dhidi ya itibari ya IAEA