This content isn’t available right now
#HABARI: “Nataka niwahakikishie mkinichagua tutaongeza wodi na zahanati, tunataka watu wa Namonge na Busonzo waishi kama Watanzania wa daraja la juu, Tutahakisha tunaongeza shule, kuna vijiji havikuwa na shule na…
#HABARI: Mtiania wa Urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwe…
#HABARI: Mtiania wa Urais Zanzibar kupitia chama cha AAFP, Said Soud Said (kushoto), akikabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi,…
Kundi la Boko Haram lazidi kuimarika nchini Nigeria
Hivi karibuni wanamgambo wa Boko Haram waliongeza mashambulizi yao nchini Nigeria na kuwaua zaidi ya watu 500 katika robo ya kwanza ya mwaka 2025. Wachambuzi wanasema serikali ya Nigeria inahitaji…
#HABARI: Mtiania wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA, Hussein Juma Salum (kushoto), akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa k…
#HABARI: Mtiania wa Urais wa Zanzibar kupitia chama cha NRA, Hussein Juma Salum (kushoto), akikabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph…
Qatar yalaani “ugaidi wa serikali” ya Israel, Trump ‘akerwa’
Qatar imesema shambulizi hilo lilihusisha makombora yaliyopenya bila kutambuliwa na mifumo yake ya ulinzi. Miongoni mwa waliouawa ni mtoto wa kiongozi wa mazungumzo wa Hamas, Khalil al-Hayya, pamoja na walinzi…
Trump achukizwa na mashambulizi ya Israel huko Qatar
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hajafurahishwa na hatua ya Israel ya kuwashambulia maafisa wa Hamas nchini Qatar jana Jumanne. Kama ilivyo kwa Israel, Qatarnayo ni mshirika wa karibu wa…
Von Leyen kuhutubia Bunge la EU baada ya misururu ya vikwazo
Rais wa Tume ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen anahutubia hii leo Jumatano kuhutubia Bunge la Ulaya mjini Strasbourg, Ufaransa katika hotuba yake kuu ya kwanza ya muhula…
Poland yazidungua droni za Urusi zilizokiuka anga yake
Jeshi nchini Poland limesema mapema hivi leo kwamba limezidungua droni za Urusi zilizokiuka anga yake wakati wa mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine. Droni hizo zilizodunguliwa zililenga kulishambulia eneo la…
Poland yadungua droni za Urusi
Mapema Jumatano Poland ilitangaza kuwa pamoja na washirika wake wa Jumuiya ya NATO wamedungua droni za Urusi zilizovamia anga yake, na kulitaja tukio hilo kama “kitendo cha uchokozi”, wakati Urusi…
HRW: Wanamgambo wamewaua zaidi ya watu 127 Niger
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa ripoti leo inayoonyesha kwamba kundi la wanamgambo wanaohusishwa na kundi la kiislam lenye itikadi kali la Islamic State wamezidisha…
Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wafunguliwa
Katika kikao hicho ambacho kitagubikwa na mzozo wa mashariki ya Kati kufuatia hali mbaya ya kibinaadamu inayoshuhudia Gaza, mataifa kama Ufaransa, Canada, Australia, Uhispania, Norway, Ubelgiji na mengineyo yanatarajia kuitambua…
#HABARI: Mtiania Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mfaume Khamis Hassan, akikabidhi fomu …
#HABARI: Mtiania Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Mfaume Khamis Hassan, akikabidhi fomu za kuomba uteuzi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji…
Kongo yataka dunia itambue mauaji ya halaiki mashariki
Zaidi ya miongo mitatu imeisha huku eneo la mashariki ya Congo lonalopakana na Rwanda na lenye utajiri wa raslimali ya madini likikumbwa na mapigano mabaya kuwahi kutokea tangu kumalizika vita…
Jinsi vijidudu hivi vidogo vinavyoweza kudhibiti usingizi wako
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Picha ya vijidudu kwenye hadubini 9 Septemba 2025 Bakteria wanaoishi kwenye matumbo na midomo yetu huenda wanadhibiti jinsi tunavyolala usiku. Sasa, wanasayansi…
#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa
#MEZAHURU: Kichaa cha Mbwa. Kwa sasa kuna matukio mengi ya uwepo wa mbwa wenye kichaa. Je unamtambuaje mbwa mwenye kichaa? Madhara yake ni yapi kwa binadamu akikung’ata? Kwa nini kimeitwa…
Aina 10 ya nyoka wenye sumu na hatari zaidi duniani
Chanzo cha picha, getty 9 Septemba 2025 Kila mwaka duniani kote kuna vifo 138,000 kutokana na kuumwa na nyoka. Nchini India kila mwaka zaidi ya vifo elfu 60 hutokea kutokana…
Rwanda kubadilisha sheria ya matumizi ya barabara
Serikali ya Rwanda imewasilisha rasimu ya sheria mpya inayosimamia usalama wa barabarani mbele ya Bunge ili kurekebisha sheria ya sasa ya barabarani nchini, ambayo haijabadilishwa kwa takriban miongo minne. Sheria…
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan …
#HABARI: Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa…
#HABARI: Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa ris…
#HABARI: Polisi jijini Nairobi wanachunguza kisa ambapo Wakili maarufu katika Kaunti ya Nairobi Mathew Kyalo Mbobu, alipigwa risasi na kuuawa na watu wasiojulikana Jumanne jioni. Mbobu alimiminiwa risasi na kuuawa…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
‘Nilikataliwa na mume wangu kwa sababu ya kujifungua pacha’
Maelezo kuhusu taarifa Author, Asha Juma Nafasi, BBC, Nairobi Akiripoti kutoka Nairobi Saa 4 zilizopita Leo tunaangazia simulizi ya Catherine Mugure anayetuelezea changamoto za maisha alizokumbana nazo kutoka kwa mwenza…
Kwa nini tafiti mpya za WHO zinasisitiza kuepuka mateso ili kuokoa mtoto
Michael Otieno bado anakumbuka uchungu wa fimbo. Si tu mikononi mwake, bali pia kwenye hisia zake za utu. Katika shule yake ya msingi magharibi mwa Kenya, fimbo ilikuwa ya kawaida…
Marekani: Mahakama yazuia kwa muda hauta ya kumfukuza kazi mkuu wa Fed Lisa Cook
Mahakama ya Marekani siku ya Jumanne, Septemba 9, imezuia kwa muda hatua ya kufutwa kazi Gavana wa Hifadhi ya Shirikisho (Fed) Lisa Cook, agizo lililochukuliwa na Rais Donald Trump. Imechapishwa:…
DRC: Felix Tshisekedi atoa wito wa ‘kutambuliwa kwa mauaji ya halaiki Kongo’
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametoa wito wa “kutambuliwa kimataifa kwa mauaji ya halaiki yanayofanywa katika ardhi ya Kongo, Septemba 8, 2025, mjini Geneva, wakati wa mkutano…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
DRC: Takriban watu 72 wauawa katika shambulio jipya kubwa linalohusishwa na ADF/MTM
Shambulio jipya kubwa limehusishwa na ADF/MTM mashariki mwa DRC usiku wa Jumatatu kuamkia Jumanne, Septemba 9. Mashirika ya kiraia yanaripoti kuwa watu wasiopunguwa 72 waliuawa na nyumba kumi na nne…
Niger: HRW yaonya juu ya kuongezeka kwa mashambulizi ya ISIS katika eneo la Tillaberi
Nchini Niger, mashambulizi ya kundi la Islamic State katika Sahel (ISIS) dhidi ya raia katika eneo la Tillaberi yameongezeka katika miezi ya hivi karibuni. Hii ni hitimisho la ripoti iliyochapishwa…
Uchambuzi: Diplomasia imesambaratika baada ya Israel kuwashambulia viongozi wa Hamas nchini Qatar
Huwezi kusikiliza tena Play video, “CCTV captures moment of Israeli attack on Hamas leaders in Doha”, Muda 0,2300:23 Maelezo ya video, CCTV yanawa wakati Israel ilipowashambulia viongozi wa Hamas mjini…
Nyuklia: Iran imesema mekubali mfumo mpya wa ushirikiano na IAEA
Iran na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) wametia saini makubaliano mjini Cairo siku ya Jumanne, Septemba 9, na kufungua njia ya kuanza tena ushirikiano, ikiwa ni pamoja…
Donald Trump: uamuzi wa kushambulia Qatar ulifanywa na Netanyahu na sio na rais wa Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump amesema siku ya Jumanne uamuzi wa Israel wa kushambulia Qatar ulifanywa na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na sio na rais wa Marekani kutoka chama cha…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Tetesi za Soka Ulaya Jumatano: Mainoo, Micky van de Ven, Jesus, Trossard,
Real Madrid ina nia ya kumsajili beki wa Tottenham Micky van de Ven, 24, lakini Spurs watafikiria kumuuza beki huyo wa Uholanzi kwa takriban £70m. (Fichajes – kwa Kihispania,) Kiungo…
Hamas yadai viongozi wake wamenusurika na shambulio lake mjini Doha, huku Trump akisema hajafurahi
Chanzo cha picha, Reuters Hamas imedai imesema kuwa viongozi wake waliolengwa na shambulizi la anga la Israel wamenusurika , lakini watu sita wameuawa katika shambulio hilo. Wakati huo huo Rais…
Trump amkaripia Netanyahu kwa shambulizi la Qatar
Katika tukio la nadra, Rais wa Marekani Donald Trump amemkaripia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas nchini Qatar, huku akisisitiza kuwa hakuhusika katika…
Rais Macron ametua Waziri Ulinzi Sebastien Lecornu, kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amemtua Waziri wake wa Ulinzi Sebastien Lecornu, kuwa Waziri wake Mkuu, baada ya bunge kupiga kura ya kukosa imani na mtangulizi wake François Bayrou. Imechapishwa:…
ICC: Ushahidi waanza kuwasilishwa dhidi ya Joseph Kony
Waendesha mashtaka katika mahakama ya Kimataifa ya ICC, siku ya Jumanne, walianza kuwasilisha ushahidi dhidi ya kiongozi wa kundi la LRA Joseph Kony asiyefahamika alipo, ambaye wapiganaji wake walisababisha mauaji…
Trump amkaripia Netanyahu kuhusu mashambulizi ya Qatar
Rais Donald Trump wa Marekani amemkemea waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu katika hatua ya nadra kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas, huku akisisitiza hakuwa na jukumu lolote katika…
Macron amteua Lecornu kuwa waziri mkuu wa Ufaransa
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amemteua waziri wake wa ulinzi na mshirika wake wa karibu Sebastien Lecornu kama waziri mkuu mpya ili kutatua mzozo wa kisiasa unaozidi kuongezeka huku maandamano…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Wagombea wanaotafuta baraka za wazee wa mila na matambiko kupata ushindi.Je, wana ajenda ya dhati ya maendele…
#SWALILAKIPIMAJOTO:Wagombea wanaotafuta baraka za wazee wa mila na matambiko kupata ushindi.Je, wana ajenda ya dhati ya maendeleo kwa wananchi?
Kongo yashawishi mauaji ya halaiki yatambuliwe mashariki
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imezindua kampeni katika Umoja wa Mataifa siku ya Jumanne ikitaka kutambuliwa kimataifa kwa “mauaji ya halaiki” dhidi ya watu wa mashariki mwa Kongo. Waziri anayeshughulikia…
Iran yakubali mfumo mpya wa ushirikiano na IAEA
Iran imekubali mfumo mpya wa ushirikiano na shirika la Umoja wa Mataifa la kudhibiti usambazaji wa silaha za nyuklia IAEA siku ya Jumanne, baada ya kusimamisha ushirikiano kufuatia vita na…
Trump atangaza kuachiwa mateka aliyezuiwa na kundi la Iraq
Trump aliandika katika ukurasa wake wa kijamii wa Truth Social hapo jana Jumanne kwamba Tsurkov ameachiwa na kundi la wanamgambo la Kataeb Hezbollah baada ya kuteswa kwa miezi mingi na…
Jaji wa mahakama ya juu ya Brazil amtia hatiani Bolsonaro
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
Jaji wa makama ya juu ya Brazil amtia hatiani Bolsonaro
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
Jaji wa makama y ajuu ya Brazil amtia hatiani Bolsonaro
Jaji wa mahakama ya juu kabisa ya Brazil Flavio Dino amepiga kura jana Jumanne kumtia hatiani rais wa zamani wa nchi hiyo Jair Bolsonaro kwa jaribio la mapinduzi ili aendelee…
Uchawi na ushirikina katika siasa barani Afrika
10.09.202510 Septemba 2025 Uchawi na ushirikina ni hali inayoendelea kuathiri siasa barani Afrika. Baadhi ya wanasiasa hutuhumiwa kutumia waganga wa kienyeji kutafuta nguvu za kisiasa. Wanasiasa hao huamini kwamba uchawi…
Athari za madawa ya kuua wadudu kwa nyuki
10.09.202510 Septemba 2025 Madawa ya kuua wadudu hasa yale yanayotumika kwenye kilimo yanaendelea kuwa tishio kubwa kwa uzalishaji wa asali nchini Rwanda. Ingawa lengo la madawa hayo ni kulinda mazao…
10.09.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S10.09.202510 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimefunguliwa Jumanne (09.09.2025) mjini New York, Marekani / Qatar imelaani…
Hofu ya kujifungua yawakumba wanawake Tanzania
Veronica Natalis 10.09.202510 Septemba 2025 Hofu ya kujifungua ni hali inayowakumba wanawake wengi nchini Tanzania hasa wale wanaojifungua kwa mara ya kwanza. Wanawake hupata mchanganyiko wa wasiwasi wa kimwili, kihisia…
10.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ10.09.202510 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa Marekani Donald Trump amemkaripia waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kwa shambulizi dhidi ya maafisa wa Hamas nchini Qatar /…