Wasichana wawili Arusha watoweka mazingira ya kutatanisha
“Wako wapi?” Ndilo swali linaloendelea kuumiza vichwa vya ndugu na jamaa wa Kareen Marc Didas...
Respect defines Dar derby clash
DAR ES SALAAM: THE Dar Derby takes place today at Major General Isamuhyo Stadium, with both Simba and Young Africans coaches stressing the respect they have for each other ahead…
Mwenge kukagua miradi ya Sh bilioni 2 Mikindani
MTWARA: MIRADI ya maendeleo 7 yenye thamani ya Sh bilioni 2 iliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani inatarajiwa kupitiwa na Mwenge wa Uhuru 2026. Mwenge huo umepokelewa leo Mei 3, 2026…
WHO: Chanjo ya Malaria yaonyesha matumaini kwa watoto wa Cameroon
Baadhi ya akina mama nchini Cameroon wamesema kuwa wameshuhudia maboresho makubwa katika afya za watoto wao baada ya kutolewa chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa malaria.
Mtanzania mbaroni Kenya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto
Raia wa Tanzania, Anthony Juma maarufu Kipara, anashikiliwa na vyombo vya dola nchini Kenya...
Kagame jets in Dar to further cement the Rwanda-Tanzania historic ties
DAR ES SALAAM: THE President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame, has arrived in the country for a one-day working visit aimed at strengthening bilateral relations between Tanzania and…
Why Tanzanian muziki wa dansi not in Paris (yet) and what must change
DAR ES SALAAM: THE other morning, at a perfectly respectable hour when one ought to be minding one’s tea and pretending to be productive, I received a music video clip…
Muda wa Kuondolewa Vituo vya Kijeshi vya Marekani Barani Ulaya Umeshaanza Rasmi?
Wizara ya vita ya Marekani Pentagon imetangaza rasmi kuwa, itawaondoa wanajeshi 5,000 wa nchi hiyo walioko Ujerumani; uamuzi ambao utatekelezwa ndani ya muda wa miezi sita hadi kumi na mbili…
Why we should protect peace
DAR ES SALAAM: PEACE is often seen as a mere absence of conflict, but its true essence goes much deeper. It is the foundation upon which all aspects of a…
Maka Mwalwisi na hesabu za kimya kimya Mbeya Kwanza
KOCHA Mkuu wa Mbeya Kwanza, Maka Mwalwisi amesema hadi sasa msimu huu timu hiyo iko katika uelekeo mzuri Championship, licha ya ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wao wakubwa, ambao kila…
Adeyum arejea Bigman FC, asisitiza kupamabana Championship
BAADA ya beki wa kushoto wa Bigman FC, Adeyum Saleh kukosekana kwa wiki mbili kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu, nyota huyo ameanza mazoezi rasmi na kikosi hicho, huku…
Ally Bai afichua siri ya kuichukua african sports
LICHA ya mwenendo usioridhisha wa African Sports 'Wanakimanumanu' msimu huu katika Ligi ya Championship, kocha mkuu wa timu hiyo, Ally Salimu Mdoe 'Bai' amesema moja ya rekodi asiyoitaka itokee ni…
Hamza Shabani: Barberian FC Itapambana kukwepa kushuka daraja
BEKI wa kushoto wa Barberian FC, Hamza Shabani amesema licha ya mwenendo mbaya wa timu hiyo msimu huu hadi sasa katika Ligi ya Championship, bado hawajakata tamaa kwa sababu tofauti…
Kocha Songea United akiri ugumu wa ‘Top Four’ Championship
KOCHA Mkuu wa Songea United ya mkoani Ruvuma, Juma Masoud amesema katika mechi sita za timu hiyo zilizobaki kumalizia msimu huu, ni za kuweka pia heshima kwa sababu ni ngumu…
Morality key to achieving Dira 2050 goals
DODOMA: As Tanzania aspires to become a one-trillion-dollar economy within the next 25 years under the ambitious Vision 2050, morality has been identified as a key pillar in achieving that…
“Nimechagua kutokuwa na watoto”- Wanawake Nigeria wapinga nadharia kuwa lazima uwe mama
Katika jamii nyingi za Nigeria,thamani ya mwanamke bado inahusishwa na uwezo wake wa kuoleka na kuzaa, ila kwa sasa wanawake wengi nchini Nigeria wanachagua kutokuwa na watoto, si kwa sababu…
Wanaume waoga wanavyozitesa ndoa, familia zao
Katika karne hii ya 21, kumekuwapo na mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.
Ukweli kuhusu chakula cha usiku kwa wanandoa
Katika pitapita yetu mitandaoni, tumeona clips nyingi zinazopotosha hasa kwa wanandoa.
MWALIMU WA MAISHA: Mapenzi pekee yatosha kudumisha ndoa yenu?
Katika ulimwengu wa sasa, wengi huingia kwenye ndoa au uhusiano, wakiamini kuwa mapenzi ya...
Elimu ya mapenzi inavyowachenga wengi
Katika miaka ya hivi karibuni, dhana ya elimu ya mapenzi imekuwa ikitajwa sana katika magazeti,...
AFCON yachochea uwekezaji Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewahimiza wawekezaji kujitokeza kuwekeza...
Man United, Liverpool kuwasha moto Old Trafford leo
Patakuwa hapatoshi Old Trafford pale ambapo vigogo wawili wa soka la England, Manchester United...
Ipswich ya Ed Sheeran yarudi Ligi Kuu England
Klabu ya Ipswich Town imerejea rasmi katika Ligi Kuu England baada ya kupata ushindi hapo jana...
Ujerumani yasema kuondolewa kwa wanajeshi wa Marekani ni jambo lililotabirika, Trump aonya kuhusu kupunguza zaidi vikosi vyake
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani amesema kuwa uamuzi wa Marekani kuondoa wanajeshi 5,000 kutoka nchini humo ulikuwa “unatabirika,” huku muungano wa kijeshi wa NATO ukisema kuwa unatafuta ufafanuzi kutoka Washington.
Watani wa Jadi na vita ya uamuzi Jeshini
Mechi ya Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye...
Watani wa Jadi na vita ya maamuzi jeshini
Mechi ya Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye...
Anko Kitime: Zama za uhusiano wa siasa na muziki zinapotea
Katika zama hizi mwanamuziki au kundi la muziki kujikita kushirikiana na chama cha siasa...
Dakika 180 za Profesa Jay jukwaani
Mkongwe katika Bongo Fleva nchini Joseph Haule ‘Profesa Jay’ amerudi katika majukumu yake, hii...
Majeruhi wamtesa Arteta Arsenal
Wakati takwimu zikionesha wachezaji wa Arsenal wamekosa jumla ya mechi 262 kwa klabu na timu za...
Jiongeze: Prof Jay na rekodi ya singo tano kwa mpigo
Baada ya kupindua ardhi juu chini na Chemsha Bongo. Hapo akiwa na kundi la Hard Blasters, ikiwa...
Tetesi za soka Jumapili: Liverpool yamuwania Beukema wa Napoli
Liverpool wametoa ofa ya kumnunua mlinzi wa kati wa Uholanzi, Sam Beukema.
Kuishi kwa ajili ya Mungu tunapata amani ya kweli, furaha
Ninakukaribisha msomaji wangu katika tafakari ya leo inayotukumbusha namna ya kuishi katika...
Government develops Kiswahili AI model
DODOMA: THE government, through the Information and Communication Technologies Commission (ICTC), is in the final stages of developing a major Swahili Large Language Model aimed at advancing the use of…
Dar, Nairobi set to seal trade deals
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Kenya are set to seal major trade and investment deals at a high-level business forum during President William Ruto’s State visit. The Tanzania-Kenya Business Forum…
PM urges unity, protection of peace
MAKAMBAKO: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has warned against attempts to incite unrest, urging citizens to safeguard peace while taking decisive steps to address citizens’ grievances during his visit to…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 3, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Tanzania tops Africa in perceived media freedom – Report
DAR ES SALAAM: MAJORITY of Tanzanians believe the country’s media operate freely, according to a new survey by Afrobarometer, which ranks Tanzania as the top performer in Africa on perceived…
KAGAME, RUTO’S VISIT TO TZ: Integration in top gear
DAR ES SALAAM: ANALYSTS have said visits by President Paul Kagame and President William Ruto signal a renewed commitment to regional economic integration, with Tanzania increasingly emerging as a strategic…
DJ’S wapata ufadhili kushiriki tukio la kimataifa Nigeria
Jukwaa la AfroExchange Aprili 30,2026 liliwakutanisha wadau mbalimbali wa tasnia ya muziki...
Bodi ya Utalii nchini (TTB) imesema imeanzisha rasmi utaratibu wa mashindano ya kukimbia kila ifikapo Mei kwa ajili ya kulitanga…
Bodi ya Utalii nchini (TTB) imesema imeanzisha rasmi utaratibu wa mashindano ya kukimbia kila ifikapo Mei kwa ajili ya kulitangaza eneo la Kitulo ambalo lilishinda Tuzo ya Hifadhi Bora ya…
Rais Samia afanya uhamisho wa viongozi
DAR ES SALAAM; RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Bakari Machumu, ikinukuu taarifa ya…
Ndani ya maji ya Ziwa Victoria, mapinduzi ya ufugaji wa samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba yanaendelea kushika kasi, yakich…
Ndani ya maji ya Ziwa Victoria, mapinduzi ya ufugaji wa samaki aina ya Sato kwa njia ya vizimba yanaendelea kushika kasi, yakichochewa na mikopo inayotolewa na Serikali chini ya uongozi…
Kajuna mabingwa RCL 2026, ikiichapa Kahama Madini
Kajuna FC ya Kigoma imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) 2026, baada ya leo Jumamosi, Aprili 2, 2026, kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kahama…
Samaki aina ya jodari, maarufu kama tuna, ni kitoweo chenye thamani kubwa kiuchumi na kiafya katika maeneo mengi duniani, huku b…
Samaki aina ya jodari, maarufu kama tuna, ni kitoweo chenye thamani kubwa kiuchumi na kiafya katika maeneo mengi duniani, huku biashara yake ikiendelea kuwa tegemeo muhimu kwa wavuvi, wachuuzi na…
Namna Marekani Ilivyokosa Kuwa na Mkakati Unaoeleweka Katika Kuamiliana na Iran
Naibu waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Marekani, Wendy Sherman, amekosoa namna serikali ya Donald Trump inavyosimamia suala la vita dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa, Washington haina…
Dabi hii! Lazima kieleweke ‘goma’ litapigwa sana hapa
ILE Dabi ya Kariakoo katika duru la pili la Ligi Kuu Bara, inapigwa leo Jumapili kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam, ambapo Simba itakuwa mwenyeji
Iran imesema kuna uwezekano wa vita kati yake na Marekani na Israel kuanza tena, huku ikisisitiza kuwa iko tayari kikamilifu kwa…
Iran imesema kuna uwezekano wa vita kati yake na Marekani na Israel kuanza tena, huku ikisisitiza kuwa iko tayari kikamilifu kwa mapambano na kuchukua hatua mpya. Wakati Iran ikitoa kauli…
Tani 4.8 za bidhaa za maziwa ya watoto aina ya SMA namba 1 zimeteketezwa Zanzibar baada ya kubainika kuwa si salama kwa matumizi…
Tani 4.8 za bidhaa za maziwa ya watoto aina ya SMA namba 1 zimeteketezwa Zanzibar baada ya kubainika kuwa si salama kwa matumizi ya binadamu kutokana na kuathiriwa na bakteria.…
Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki Kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani Imedhamiria kuwatumia wat…
Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika mashariki Kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani Imedhamiria kuwatumia watanzania wanao ishi ughaibuni hususani nchini Ujerumani kama kete Muhimu ya kujenga…
Kampuni ya Azam Ice Cream imefungua duka jipya katika eneo la Tabata Kimanga, Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kusogeza hudu…
Kampuni ya Azam Ice Cream imefungua duka jipya katika eneo la Tabata Kimanga, Dar es Salaam ikiwa ni muendelezo wa kusogeza huduma zake karibu na wateja wake. Duka hilo lenye…