Putin: Ukraine inaweza kujiunga na Umoja wa Ulaya
Akizungumza mjini Beijing wakati wa mazungumzo na Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico, Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema licha ya Urusi kutokupinga Ukraine kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya,…
Ahadi za wagombea Tanzania na uhalisia wa maisha ya raia
Kampeni za uchaguzi wa urais nchini Tanzania zimeingia katika hatua muhimu huku wagombea 17 kutoka vyama tofauti wakisambaa katika mikoa yote ya nchi hiyo wakitangaza ilani na sera zao. Ikiwa…
Kwanini afisa huyu wa Iran anasema Urusi iliisaidia Israel wakati wa vita na Iran?
Chanzo cha picha, Seenergy.ir Maelezo ya picha, Mohammad Sadr ni mwanadiplomasia mkongwe ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wakati wa enzi ya mageuzi. 1 Septemba 2025 Baada…
Tetemeko la ardhi Afghanistan: Sababu 7 zinazofanya matetemeko kuwa ya maafa
Chanzo cha picha, EPA Dakika 16 zilizopita Tetemeko baya la ardhi lililopiga mashariki mwa Afghanistan Jumapili jioni limeua mamia ya watu, kulingana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Taliban.…
Kim Jong Un aungana na Putin na Xi gwaride la kijeshi
Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amesafiri kuelekea Beijing kwa treni maalum kushiriki gwaride kubwa la kijeshi Jumatano, tukio litakalomweka jukwaa moja na Rais wa China Xi Jinping na…
Mkutano wa usalama wa China: Je, wiki hii ni mwanzo mpya wa muungano dhidi ya Marekani?
Chanzo cha picha, EPA Maelezo kuhusu taarifa Author, Alexey Kalmykov Nafasi, BBC News Russian 1 Septemba 2025 Mwezi ni muda mrefu sana katika siasa za ulimwengu. Vladimir Putin yuko China…
Burkina Faso yapitisha sheria ya kupiga marufuku ushoga
Bunge la mpito la Burkina Faso, linaloongozwa na wanajeshi, limepitisha rasmi sheria mpya inayopiga marufuku ushoga, hatua inayoliweka taifa hilo la Afrika Magharibi kwenye orodha ya zaidi ya nusu ya…
Uokoaji waendelea Sudan baada ya maporomoko ya udongo
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea Jumapili ya Agosti 31 katika kijiji cha Tarasin katika milima ya Marrah baada ya siku kadhaa za mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Darfur,…
Watu 31 wauawa Gaza kufuatia mashambulizi ya Israel
Miongoni mwa waliouawa ni watu 10 katika mji wa Gaza ambapo jengo la makazi lililengwa kwa mashambulizi ya anga. Hayo yameelezwa na Mahmoud Bassal, msemaji wa shirika la kiraia katika…
Viongozi wa China, Urusi na Korea Kaskazini kukutana Beijing
Putin, ambaye kwa sasa yuko ziarani nchini China, anatarajiwa kuhudhuria gwaride la kijeshi hapo kesho na mwenyeji wake, Rais Xi Jinping , katika sherehe za kuadhimisha miaka 80 tangu vimalizike…
Ujumbe wa siri wa Vita Baridi ambao ulisababisha ugunduzi wa mabaki ya Titanic
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 24 zilizopita Meli ya Titanic labda ndiyo meli maarufu zaidi katika historia, ambayo bado ina msukumo zaidi ya karne moja baada ya kuzama. Meli…
UN: Ukiukwaji wa haki za binaadamu wakithiri nchini Burundi
Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wamesema kati ya Januari 2024 na Mei 2025, mashirika ya kiraia ya Burundi yameorodhesha karibu matukio 200 ya unyanyasaji wa kijinsia, ikiwa ni pamoja…
Tetemeko la ardhi Afghanistan: Waliokufa wapindukia 1,400
Watu wengine zaidi ya 3,000 wamejeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililopiga katika miji kwenye jimbo la Kunar na mji wa Jalalabad. Tetemeko hilo lenye ukubwa wa 6.0 katika kipimo cha…
Wafghanistani walio hatarini waisihi Ujerumani kuwapa visa
Kundi la takriban Wafghanistani 200 walioko hatarini kutokana na vitisho vya Taliban limeandika barua kwa Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, wakiomba waruhusiwe kuhamia Ujerumani. Barua hiyo, ambayo shirika la habari…
Mashambulizi ya Israel yawauwa zaidi ya watu 30 Gaza
Msemaji wa Shirika la Kuwatetea raia Ukanda wa Gaza Mahmud Bassal, amesema shambulio moja lililenga jengo linalotumiwa kama makazi ya watu na kuwauwa watu 10 kwenye jiji la Gaza. Shambulio…
Maporomoko ya udongo yaua watu 1,000 Darfur Sudan
Janga hilo lilitokea Jumapili baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa na kuathiri vibaya Kijiji cha Tarasin kilichoko eneo la Jebel Marra. Kundi la wanamgambo wa Sudan Liberation Movement…
DRC: Wanajeshi wa juu waliouawa na M23 wapewa heshima ya kitaifa
Maofisa wawili wa juu katika jeshi la Congo ambao waliuawa katika shambulio la waasi wa M23, hapo jana walipewa heshima ya mazishi ya kitaifa jijini Kinshasa, wakati huu hali ya…
Maafa Afghanistan: Vifo vya tetemeko vyapindukia 1,200
Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko kubwa la ardhi lililotikisa Afghanistan imeongezeka hadi 1,411, kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Msalaba Mwekundu la Afghanistan (Afghan Red Crescent Society). Shirika…
Namna biashara ya viungo vya binadamu inavyotumika vibaya
Dakika 13 zilizopita Harold Dillard alikuwa na umri wa miaka 56 alipogunduliwa kuwa na saratani mbaya ya tumbo mnamo Novemba 2009. Ndani ya wiki chache, fundi huyo wa zamani “Bwana…
WHO: Kujitoa uhai husababisha kifo kimoja kati ya vifo 100
Zaidi ya kifo kimoja kati ya vifo 100 duniani husababishwa na kujitoa uhai, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Jumanne, likitoa wito wa kuchukuliwa hatua za dharura kukabiliana na ongezeko…
Ibada ya njaa Kenya: Mama anayesubiri matokeo ya DNA ya mabaki yaliyogunduliwa
Chanzo cha picha, Carolyne Odour Maelezo ya picha, Elijah, mwenye umri wa miaka tisa, na Daniel, mwenye umri wa miaka 12, walitoweka baada ya kuondoka kwa basi mnamo 28 Juni…
Dira Ya Dunia
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki Source link
Tetesi za soka Jumanne: Martinez, Sterling wabaki, Liverpool wamzuia Gomez
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Emiliano Martinez Saa 5 zilizopita Aston Villa hawakupokea ofa kutoka Manchester United kwa ajili ya kipa wa Argentina Emiliano Martinez licha ya…
Uchaguzi Tanzania 2025: Ahadi za CCM, CHAUMMA na matumaini ya wananchi
Saa 4 zilizopita Huku kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025 zikianza kwa wagombea wa nafasi zote. Wagombea wa nafasi za urais wamejikita kuzinadi ahadi za kitaifa za…
Korea Kusini: Wanajeshi 2,000 wa Korea Kaskazini wameuawa nchini Ukraine
Takriban wanajeshi 2,000 wa Korea Kaskazini wameuawa katika mzozo wa kijeshi kati ya Urusi na Ukraine, mbunge wa Korea Kusini amesema Jumanne, Septemba 2, akinukuu takwimu za idara ya ujasusi…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Somalia yatangaza jimbo jipya kwa gharama ya sehemu ya Somaliland
Kufikia Jumatatu, Septemba 1, Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia ina jimbo jipya, Jimbo la Kaskazini-Mashariki, lililoundwa kutoka kwa maeneo yaliyojitenga ya Somaliland ambayo yalipendelea kujiunga na serikali ya Mogadishu. Somaliland…
Ubelgiji yatangaza kulitambua taifa la Palestina kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa
Ubelgiji italitambua taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje wa Ubelgiji Maxime Prévot ametangaza leo Jumanne, Septemba 2, akiungana na nchi zingine…
Ndege ya kivita ya Vita vya Pili vya Dunia ambayo ni ghali zaidi ya bomu la nyuklia
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 33 zilizopita Ndege aina ya Boeing B-29 ilikuwa mshambuliaji mahiri zaidi wa Vita vya Pili vya Dunia, na ilikuwa ghali zaidi kuiunda kuliko mabomu…
DRC: Hatma ya waziri wa zamani Constant Mutamba kujulikana
Nchini DRC, hatima ya kisheria ya waziri wa azamani wa sheria wa DRC Constant Mutamba itajulikana Jumanne, Septemba 2. Waziri huyo wa zamani wa Sheria, ambaye alilazimika kujiuzulu mwezi Juni,…
Burkina Faso imepitisha sheria inayoharamisha mapenzi ya jinsia moja
“Matendo ya wapenzi wa jinsi moja” sasa yamepigwa marufuku na kuharamishwa nchini Burkina Faso. Sheria inayoruhusu vifungo vya hadi miaka mitano jela imepitishwa siku ya Jumatatu, Septemba 1, na Bunge…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Ghana yamfukuza kazi Jaji Mkuu Gertrude Araba Esaaba Torkornoo
Jaji wa ngazi ya juu zaidi wa Ghana, Gertrude Araba Esaaba Torkornoo, ameachishwa kazi Jumatatu, Septemba 1 na Rais wa Jamhuri. Kufukuzwa kazi kwa Jaji Mkuu, jambo ambalo halijawahi kutokea…
Congo: Mapitio ya orodha ya uchaguzi yazinduliwa katika maandalizi ya uchaguzi wa rais
Zaidi ya miezi sita kabla ya uchaguzi wa rais nchini Congo-Brazzaville, mchakato wa mapitio ya orodha ya wapiga kura umeanza siku ya Jumatatu, Septemba 1. Utaendelea kwa miezi miwili. Imechapishwa:…
Vilabu vyamwaga mabilioni, dirisha la usajili EPL likivunja rekodi ya £3bn
Chanzo cha picha, AFP via Getty Images Dakika 29 zilizopita Vilabu vya Ligi Kuu England vimetumia fedha nyingi kuliko wakati wowote ule kwenye dirisha moja la usajili, baada ya matumizi…
Israel inatekeleza rasmi ‘mauaji ya halaiki’ Gaza, kulingana na chama cha wataalam 500
Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Mauaji ya Kimbari, chombo kinachoongoza katika suala hili na wataalam wake wakuu, wamepitisha azimio siku ya Jumatatu, Septemba 1, na kuthibitisha kwamba hatua za…
DRC: Kutokana na mazungumzo yaliyokwama, mapigano yaongezeka kati ya Kinshasa na AFC/M23
Mchakato wa amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) umekwama. Wakati wajumbe bado wako Doha kwa karibu wiki mbili, lakini kwenye uwaja wa vita, mkwamo unasalia kati ya mapigano…
Xi Jinping na Vladimir Putin wakosoa nchi za Magharibi kwenye mkutano wa Tianjin
Shirika la Ushirikiano la Shanghai linafanyika huku kukiwa na migogoro mingi inayoathiri wanachama wake moja kwa moja: makabiliano ya kibiashara ya Marekani na China na India, vita vya Ukraine, na…
Maporomoko ya ardhi yaua takriban 1,000 nchini Sudan, kikundi cha waasi kinasema
Chanzo cha picha, Reuters Maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 1,000 katika milima ya Marra magharibi mwa Sudan, kulingana na kundi la waasi la Sudan Liberation Movement/Army. Mvua…
UN yaonya dhidi ya kuongezeka kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini Burundi
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa, juma hili walieleza wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Burundi, ikiwa ni pamoja na mashambulizi dhidi ya wapinzani…
Israel yakanusha tuhuma za mauaji ya kimbari ukanda wa Gaza
Wapalestina 31 wameuawa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israel katika ukanda wa Gaza huku jeshi la nchi hiyo likiendelea na operesheni kubwa katika mji mkuu wa eneo hilo. Kwa mujibu…
Xi na Putin waikosoa vikali mitazamo ya Magharibi
Xi Jinping amewahutubia viongozi akiwemo Rais wa Belarus Alexander Lukashenko na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi, akisema kuwa mfumo wa sasa wa uendeshaji wa dunia “unazidi kuwa wenye utata”…
Zaidi ya watu Elfu Moja wafariki katika maporomoko ya udongo Sudan
Maporomoko makubwa ya udongo kwenye eneo la Darfur Magharibi nchini Sudan, yamesababisha maafa makubwa ikiwemo kufunika kabisa vijiji na kuua watu zaidi ya elfu 1, imesema taarifa ya kundi la…
Watu 1,000 wafariki katika maporomoko ya ardhi Sudan
Takriban watu 1,000 wamefariki kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyotokea katika eneo la milima ya Marra, magharibi mwa Sudan na kumwacha mtu mmoja pekee aliyenusurika. Tukio hilo la kusikitisha lilitokea mnamo…
Kim Jong Un asafiri Beijing kuhudhuria gwaride la kijeshi
Kim Jong Un anatarajiwa kuungana na Rais wa China Xi Jinping, Rais wa Urusi Vladimir Putin na viongozi wengine wa dunia katika tukio hilo la kihistoria ambapo China itaonesha nguvu…
Uingereza yafadhili waathiriwa wa tetemeko Afghanistan
Tetemeko hilo ambalo limeikumba jimbo la Kunar, limesababisha vifo vya zaidi ya watu 800 na kuwajeruhi maelfu ya wengine, na kuacha mamia makaazi rasmi na huduma za msingi. Msaada huo…
ICRC inavyorejesha tabasamu kwa wakimbizi waliotenganishwa katika kambi ya Kakuma
Ulimwengu wote huungana kila Agosti 30 kuadhimisha siku ya kimataifa ya watu waliopotea.Kamati ya kimataifa ya msalaba mwekundu,ICRC inasema watu karibu laki tatu wameorodhesha kutoweka kote ulimwenguni,na wengine huenda wasiwahi…
Xi na Putin wakosoa vikali mitazamo ya Magharibi
Mkutano huo wa kilele uliofanyika katika mji wa bandari kaskazini mwa China Tianjin umewaleta pamoja viongozi wa Urusi, China, India, Kazakhstan, Pakistan, Iran, Belarus, Tajikistan, Uzbekistan na Kyrgyzstan. Jumuiya ya…
02.09.2025 Matangazo ya Mchana
SK2 / S02S02.09.20252 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Zaidi ya watu 1,000 wameangamia nchini Sudan, baada ya maporomoko ya udongo kutokea katika jimbo la Darfur / Kwa mara…
02.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ02.09.20252 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Rais wa China na mwenzake wa Urusi wameikosoa mitazamo ya nchi za Magharibi wakati wa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya SCO…