Mfungwa aomba Rais Samia awaonee huruma magerezani
Baadhi ya wafungwa wenye ujuzi mbalimbali wanaokaribia kumaliza vifungo vyao wamemuomba Rais...
Chelsea yajitutumua ugenini ikiilazimisha sare Liverpool
Sare hiyo imezidi kuiweka Chelsea katika uwezekano mgumu wa kupata tiketi ya kushiriki ama...
Kurudi Nyumbani Wakati wa Vita vya Siku 40 Wairan Waliokuwa Wameihajiri Nchi Kunafikisha Ujumbe Gani?
Takwimu zilizorekodiwa katika mipaka ya Iran zinaonyesha kuwa wakati wa vita vya siku 40 vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wairani 630,000…
Serikali kujenga laini ya umeme Kagera kuingia Gridi ya Taifa
Ndejembi amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati ya nishati ili...
Vifo ajali ya basi la Shabiby, lori Iringa vyafikia sita
Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali iliyohusisha basi la Shabiby na lori mkoani...
Sera ya US ya Mwiko wa Kutosema Chochote Kuhusu Silaha za Nyuklia ya Israel Inamomonyoka
Katika hali isiyo ya kawaida na ya nadra kuwahi kushuhudiwa, wajumbe 29 wa Baraza la Wawakilishi la Marekani wamemwandikia barua Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio wakiitaka Washington ifichue…
Wakulima 200 wa mwani Zanzibar wanufaika na Kilimo Mkataba
Dar es Salaam. Wakulima wa mwani wapatao 200 kutoka Shehia za Uzi na Muungoni, Zanzibar...
Polisi Jamii walivyofungua uchumi wa saa 24 Kinondoni
Dar es Salaam. Manispaa ya Kinondoni, Wilaya ya Kaskazini mwa jiji la Dar es Salaam...
Lupita nyongo na rekodi zakie ulaya
Kazi yake ya kwanza maarufu kuifanya ilikuwa ‘12 Years of Slave’ humo alicheza kama Patsey...
Ni Samatta vs Greenwood Ufaransa leo
SAMAGOAL. Nahodha wa timu ya taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta anayeichezea Le Havre ya Ligi Kuu Ufaransa (Ligue 1), leo anatarajiwa kuwa uwanjani kukabiliana na Marseille ya nyota wa kimataifa…
Askari wanawake wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wao katika mbinu za kudhibiti ghasia pamoja na kumlinda kiongozi wao dhi…
Askari wanawake wa Jeshi la Magereza wakionesha umahiri wao katika mbinu za kudhibiti ghasia pamoja na kumlinda kiongozi wao dhidi ya hatari mbalimbali, katika maonesho yanayofanyika, Ukonga jijini Dar es…
Wanawake 2,519 Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wachunguzwa saratani
Wanawake hao wamefikiwa kuanzia Mei 4, 2026 katika kampeni ya uchunguzi huo kupitia mradi...
Madiwani Njombe wahoji ununuzi wa gari la halmashauri
Maelezo ya madiwani hao yanaonyesha kuwa gari hilo linatajwa kuwa jipya lakini baada ya...
Wawakilishi wachachamaa fedha kiduchu ofisi ya Makamu wa Kwanza
Fedha kiduchu zinazotengwa na kutolewa kwa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Taasisi zake...
Wakuu wa Taasisi wanolewa utatuzi wa migogoro
Morogoro. Wakuu wa Taasisi za mafunzo na utafiti kwenye sekta ya kilimo na mifugo wametakiwa...
Dodoma Jiji inasaka alama 35 Ligi Kuu
USHINDI wa bao 1-0 uliyoipata Dodoma Jiji dhidi ya Mtibwa Sugar Mei 6, 2026, umemfanya kocha wa timu hiyo, Aman Josiah kusema umewaongezea morali ya kupambana zaidi na kuendelea kujiondoa…
Mkude awaingiza ‘Wanajeshi’ vitani
MAKAMANDA wa Mashujaa na JKT Tanzania, wamejikuta wakipiga hesabu moja msimu ujao za kuwania saini ya kiungo mkabaji Jonas Mkude.
Mkude aziingiza vitani JKT, Mashujaa
MAKAMANDA wa Mashujaa na JKT Tanzania, wamejikuta wakipiga hesabu moja msimu ujao za kuwania saini ya kiungo mkabaji Jonas Mkude.
Chapisho katika mtandao wa kijamii linaweza kusababisha kufungwa jela au kupokonywa uraia katika mataifa ya Ghuba
Mamlaka za mataifa hayo, zimezuia kukata rufaa kwa yeyote atakayepatikana na hatia, na hata kuwanyanganya uraia wao.
WHO yawahakikishia wakazi wa Tenerife kuhusu hatari ndogo ya Hantavirus
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO, limewahakikishia wakazi wa kisiwa cha Tenerife kuwa hatari ya maambukizi ya virusi ya hanta kwa jamii bado ni ndogo, huku likisisitiza…
UN yakaribisha usitishaji mapigano na kubadilishana wafungwa kati ya Ukraine na Urusi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amekaribisha tangazo la usitishaji wa mapigano kwa muda wa siku tatu kati ya Ukraine na Urusi pamoja na mpango wa kubadilishana wafungwa…
Mara yaiwekea mkakati mpya Biashara United
Musoma. Mkoa wa Mara umeunda bodi ya wadhamini kwa ajili ya kufufua timu ya Soka ya Biashara...
Dunia yahimizwa kuunganisha nguvu kulinda ndege wanaohama kwa manufaa ya watu na sayari
Leo ni siku ya kimataifa ya ndege wanaohama na mwaka huu maadhimisho yanakuja na wito kwa watu duniani kote kushiriki katika kulinda ndege wanaohama kwa kurekodi na kushirikisha taarifa kuhusu…
2,848 women attend cervical and breast cancer screening in Arusha
ARUSHA: 2,848 women have benefited from cervical and breast cancer screening services during a five-day outreach campaign conducted in Arusha District Council. The campaign was jointly coordinated by the Arusha…
Tanzania holds talks with dry port operators in efforts to reduce congestion at Dar Port
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has begun discussions with dry port operators and various public institutions on ways to expand and improve the capacity of inland container depots following…
Singapore yaruhusu viboko shuleni kwa wanafunzi watukutu
Waziri wa Elimu wa Singapore, Desmond Lee amesema viboko vinaendelea kutumika kama hatua ya...
Iranian Cultural Centre launches painting competition in protest against bombing school children
DAR ES SALAAM:THE Iranian Cultural Centre in Tanzania has launched a painting competition aimed at encouraging the community, particularly children and youth, to express their feelings through art following an…
Biashara, miundombinu kuondolewa hifadhi ya barabara Arusha Bypass
Hatua hiyo inafanyika sambamba na maandalizi ya utekelezaji wa mradi wa barabara ya...
Je, Trump amesitisha mpango wa kupeleka makombora nchini Ujerumani?
Bado haijajulikana ni wanajeshi wangapi kati ya takriban 40,000 wa Marekani walioko Ujerumani ambao Trump atawaondoa, au kama ataachana kabisa na mpango wa kupeleka makombora ya masafa marefu nchini Ujerumani.
Inquiry report and the lesson of protecting peace
DAR ES SALAAM: FOR more than six decades, Tanzania has built a reputation as one of Africa’s most peaceful and politically stable nations. While many countries across the continent have…
Maraga amvaa Ruto, adai kuna ufisadi mradi wa Barabara ya Mau Summit-Rironi: “Extra KSh 33.3B”
Jaji Mkuu mstaafu David Maraga anaishutumu serikali ya Rais Ruto kwa kuongeza gharama za Barabara ya Rironi-Mau Summit, akidai ufisadi katika mikataba mikubwa.
Saa 10 bila maji Dar, Pwani
Mamlaka hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo inalenga kuruhusu matengenezo ya miundombinu ya umeme...
Waziri Kombo kumwakilisha Rais Samia uapisho Rais wa Djibouti
Mwakilishi huyo wa Rais Samia anatarajiwa kushiriki katika sherehe hizo zinazotarajiwa...
Mama wa kambo wa Diamond Platnumz afungwa jela Hong Kong kwa zaidi ya miaka 10, dada atoa maelezo
Mwanamuziki Malkia Darlene amefichua kwamba mama yake amefungwa jela Hong Kong kwa miaka 10 sasa, akifunguka maumivu aliyonayo. Mashabiki wanamhurumia kihisia
Vita vya Iran vilichangiaje kukamatwa mmoja wa wahalifu wakubwa wanaotafutwa Ulaya
Historia ya familia ya Kinahan na uhusiano wao na biashara ya dawa za kulevya inaanza katika miaka ya 1980, wakati Christopher Kinahan, baba yake Daniel, alihusika kwa kiasi kikubwa katika…
CIA yakiri: Iran inaweza kuhimili mzingiro wa baharini wa Marekani
Shirika la Ujasusi la Marekani limekiri kuwa Iran ina uwezo wa kuhimili athari za mzingiro wa nchi hiyo kwa miezi kadhaa, na pia ina hifadhi kubwa ya makombora na ndege…
Wapinzani Afrika Kusini waapa kumuondoa madarakani Ramaphosa
Julius Malema, kiongozi wa chama cha upinzani cha Economic Freedom Fighters (EFF) nchini Afrika Kusini, amemtaka Rais Cyril Ramaphosa wa nchi hiyo ajiuzulu haraka iwezekanavyo na taratibu za kumfungulia mashtaka…
New York Times: Gharama ya vita vya Marekani dhidi ya Iran ni trilioni kadhaa
Justin Wolfers, profesa wa uchumi katika Chuo Kikuu cha Michigan, katika makala ya New York Times, amekadiria gharama ya vita vya Marekani dhidi ya Iran kuwa trilioni kadhaa za dola.
Burundi kufanya uchaguzi wa rais Mei 3 mwaka ujao
Burundi itafanya uchaguzi wa rais Mei 3 mwaka ujao. Habari hiyo ilitangazwa Ijumaa na Tume ya Uchaguzi, wakati wa mkutano uliosusiwa na upinzani.
Kitui: Washukiwa wa ulanguzi wa mihadarati wabwaga begi lao na kutokomea, wawaacha polisi mataani
Washukiwa wawili wa ulanguzi wa bangi walikimbilia vichakani baada ya kufukuzwa na polisi kwenye barabara ya Kitui-Machakos. Waliacha begi polisi walipowakaribia.
Mbunge Ulaya atoa wito wa uchunguzi kuhusu mauaji ya wanafunzi wa shule ya Minab
Mwakilishi wa Bunge la Ulaya ametoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji yaliyofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wasichana wa Shule ya Msingi ya Minab kusini mwa Iran, akisema…
WHO: Virusi vya Hanta si sawa na vya COVID-19
Kufuatia mlipuko wa virusi vya Hanta au kwa kiingereza Hantavirus kuzua taharuki miongoni mwa umma kufuatia vifo vya watu watatu na wengine kadhaa wanapata matibabu, Shirika la Umoja wa Mataifa…
Tanzania’s global standing strengthens
DODOMA: TANZANIA has continued to strengthen its global influence and secure strategic leadership positions across regional and international organisations, reaffirming its rising profile in global diplomacy. Deputy Minister for Foreign…
Araghchi: Wairani hawapigi magoti mbele ya mashinikizo
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameonya kuwa Marekani hukimbilia hatua za kijeshi za kiholela hasa pale suluhisho la kidiplomasia linapoonekana kuwa karibu, huku akisisitiza kwamba…