Takriban watu saba wauawa kwenye mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za RSF nchini Sudan
Angalau watu saba wmeuawa Jumanne kutokana na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo wa RSF, nchini Sudan, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo na…
Afrika Kusini yafuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuifunga Rwanda
Afrika Kusini imekuwa taifa la hivi karibuni kutoka Afrika kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 baada ya kuichapa Rwanda mabao 3-0 siku ya Jumanne na kuongoza kundi C.
Uturuki yaingilia kati: Jinsi diplomasia ya Erdogan ilivyosaidia kufanikisha usitishaji vita Gaza
Kuwepo kwa mashaka na makubaliano yaliyoshindikana, hatua ya Uturuki kujiunga katika mazungumzo, ikiungwa mkono na diplomasia ya kibinafsi na wa kiintelijensia, iligeuza pendekezo lililoonekana kuwa dhaifu kuwa makubaliano yanayotekelezeka.
Uturuki imetuma “Meli ya Ukarimu” ya 17 yenye msaada wa tani 900 kuelekea Gaza
Uturuki imetuma “Meli ya Ukarimu” ya 17 ikiwa na tani 900 za misaada ya kibinadamu kuelekea Gaza, ikiwa ni sehemu ya juhudi endelevu za misaada baada ya kusitishwa kwa mapigano.
Taifa Stars yachapwa tena, yamaliza dakika 540 bila ushindi
MABAO mawili yaliyofungwa Iran katika dakika 26 za kwanza, yametosha kuifanya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kuambulia ushindi kwenye mechi sita mfululizo ilizocheza sawa na dakika 540.
Afrika Kusini yafuzu Kombe la Dunia, Nigeria ikiichapa Benin
Usemi wa ‘anayecheka mwisho ndio anacheka sana’ umetimia leo Jumanne, Oktoba 14, 2025 katika...
Taifa Stars yalala kwa Iran, ikiendeleza ukame wa ushindi
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya...
Madrid yadhamiria kumuuza Vinicius Jr Saudi Arabia
Real Madrid imedhamiria kumuuza winga wao wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Junior, 25, dirisha...
Isak, Gyokeres waiponza Sweden
Straika, Alexander Isak ameonyesha hasira zaidi baada ya Sweden kushindwa kufanya vizuri kwenye...
Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi hiyo kwa muhula ya pili ameahidi kuwalipa fidia wananchi wa jimbo la Dimani watakaothibiti…
Rais wa Zanzibar na mgombea wa nafasi hiyo kwa muhula ya pili ameahidi kuwalipa fidia wananchi wa jimbo la Dimani watakaothibitika kuwa walipokea kiwango kidogo cha stahiki zao kupisha miradi…
Watanzania wametakiwa kutoandamana tarehe 29 Oktoba na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu ili kuw…
Watanzania wametakiwa kutoandamana tarehe 29 Oktoba na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu ili kuwachagua viongozi wapya na kuiondoa CCM kwenye hatamu za uongozi. Wito huo…
Mgombea urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Manyara amesema ikiwa atachaguliwa kuwa rais ataboresha sekta ya a…
Mgombea urais wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akiwa mkoani Manyara amesema ikiwa atachaguliwa kuwa rais ataboresha sekta ya afya kama anavyoeleza Hellen Kawiche. #AzamTVUpdates Mhariri | @moseskwindi
Ahadi za wagombea uchaguzi Tanzania zinatekelezeka
Sera na ahadi zinazohusiana na maboresho ya sekta ya afya ni miongoni mwa ajenda muhimu zinazobebwa na wagombea wa Urais Tanzania lakini swali linaloulizwa na baadhi ya raia wa nchi…
#HABARI: Idara ya Uhamiaji inapenda kuutarifu Umma kuwa tarehe 13 Oktoba, 2025 imewaondosha
#HABARI: Idara ya Uhamiaji inapenda kuutarifu Umma kuwa tarehe 13 Oktoba, 2025 imewaondosha nchini raia wawili wa kigeni ambao ni Dkt. Brinkel Stefanie mwenye hati ya kusafiria ya Ujerumani namba…
Historia ya ukombozi wa Tanganyika kupitia kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwl
Historia ya ukombozi wa Tanganyika kupitia kwa Hayati Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere imehifadhiwa katika maeneo mbalimbali nchini na nje ya nchi. Miongoni mwa maeneo yaliyohifadhi historia na harakati za…
Mgombea Urais kupitia chama cha ADC, Wilson Mulumbe ameahidi kuweka sawa mgawanyo wa rasilimali za taifa bila upendeleo ili kila…
Mgombea Urais kupitia chama cha ADC, Wilson Mulumbe ameahidi kuweka sawa mgawanyo wa rasilimali za taifa bila upendeleo ili kila mwananchi aweze kunufaika. Mulumbe ametoa ahadi hiyo mkoani Tabora katika…
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salim Mwalimu amesema iwapo ridhaa ya Watanzania kupitia sanduku la kura …
Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salim Mwalimu amesema iwapo ridhaa ya Watanzania kupitia sanduku la kura itampa mamlaka ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anafuata nyayo…
Katika kuadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 26 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Mwl
Katika kuadhimisha Kumbukumbu ya Miaka 26 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii na kuheshimu sheria…
Jeshi la Madagascar laweka pembeni katiba, limetangaza kipindi cha mpito cha miaka miwili
Kikosi maalum cha kijeshi cha CAPSAT, kilitangaza Jumanne kusimamisha utekelezwaji wa Katiba na kuchukua mamlaka baada ya Bunge kumuondoa madarakani Rais Andry Rajoelina.
Aliyoahidi Samia kuchochea uchumi wa Kanda ya Ziwa
Katika kampeni zake Kanda ya Ziwa, mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt
Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zubeir Ally, amewataka Waislamu na Watanzania kwa ujumla kulinda amani na mshikamano wa taifa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 14, 2025 –
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 14, 2025 -
Wazazi, ndugu watajwa chanzo unyanyasaji wa watoto
Wazazi, walezi na ndugu wa karibu wametajwa kuwa chanzo kikuu cha matukio ya ubakaji, ulawiti...
DRC na waasi wa M23 wasaini makubaliano ya kutekeleza usitishaji mapigano
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na makundi ya waasi, yakiwemo waasi wa M23, wamesaini makubaliano mjini Doha ya kuanzisha utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano, serikali ya Kongo…
Askofu Sosthenes akataa kitabu cha Sepeku kilichoandikwa na Jaji Ramadhani
Askofu wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes (48), amekataa...
Mpango: Misingi ya Nyerere isimamiwe kuepusha Taifa kusambaratika
Watanzania wameaswa kuenzi maisha na mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kwa...
MUCE yageuka kitovu cha elimu bunifu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaendelea kutekeleza Mradi wa Elimu...
Mwinyi apokewa kwa kilio cha fidia, aahidi kuunda tume
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amepokewa...
Tchiroma ajitangaza mshindi uchaguzi wa Rais Cameroon
Kufuatia uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, 2025, mgombea wa upinzani kutoka chama cha...
Othman: Nitatekeleza ahadi zangu kabla sijaulizwa
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman amesema masuala...
‘Watanzania tujifunze uadilifu, uzalendo kwa Mwalimu Nyerere’
Wakati Tanzania inaadhimisha kumbukizi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Ruwa’ichi azungumzia uchaguzi, akemea utekaji
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Jude Thadeus Ruwa’ichi, amezungumzia uchaguzi wa...
Ahmed Ally aeleza mwarobaini kutokomeza jezi feki
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ameendelea na ziara yake mikoani yenye lengo la kutoa elimu kwa wanachama na mashabiki juu ya madhara ya kuvaa jezi…
Mgombea urais AAFP aahidi Taifa Stars kushinda Afcon
Mgombea urais kupitia chama cha AAFP, Kunje Ngombale Mwiru ameahidi timu ya mpira wa miguu ya...
Mr Manchester United afariki dunia
Shabiki wa damu kabisa wa mchezo wa soka aliyebadili jina lake na kuitwa Mr Manchester United...
Mgombea urais CUF aonya maandamano Oktoba 29
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo amewataka...
Ujenzi daraja la sita kwa urefu nchini wafikia asilimia 74.3
Ujenzi wa Daraja la Pangani mkoani Tanga lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi...
Kuondoka Wenje Chadema: Imepoteza au kimejisafisha
Uamuzi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, kujiunga na Chama...
Rais wa Madagascar athibitisha kujificha baada ya jaribio la kupinduliwa
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema alilazimika kuondoka nchini humo na kujificha...
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA: OKTOBA 14, 2025,
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA: OKTOBA 14, 2025,
Mama afichua Mbappé anaweza kupata tatizo la afya ya akili
Mama wa mchezaji supastaa, Mbappe amesema mwanaye huyo ambaye ni mchezaji wa Real Madrid “hana...
Kongo na M23 wasaini mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda leo wametia saini makubaliano ya kuanzisha mpango wa kufuatilia usitishwaji wa mapigano huko Doha.
Iran yawapa kifungo kirefu raia wa Ufaransa kwa upelelezi
Mahakama nchini Iran Jumanne imesema imewapa kifungo kirefu raia wawili wa Ufaransa baada ya kuwafungulia mashtaka kadhaa yakiwemo ya upelelezi kwa niaba ya Israel.
Lecornu asimamisha mpango wa pensheni Ufaransa
Waziri Mkuu wa Ufaransa Sebastian Lecornu leo ameusimamisha mpango wa Rais Emmanuel Macron wa mwaka 2023 wa kuongeza muda wa kustaafu hadi miaka 64, mpaka baada ya mwaka 2027.
UN yataka njia zote za kuingiza misaada Gaza zifunguliwe
Umoja wa Mataifa na Shirika la Msalaba Mwekundu wametoa wito wa kufunguliwa njia zote za kuingia Gaza, kutoa nafasi ya misaada kuingia katika eneo hilo.
Jeshi Madagscar latangaza kuchukua madaraka
Kanali mmoja wa jeshi nchini Madagascar aliyewaongoza wanajeshi kuungana na waandamanaji vijana wanaoipinga serikali, amesema kwamba jeshi limechukua uongozi wa taifa hilo.