Iran yaonya: Israel inalenga kudhoofisha uthabiti kwa kutambua ‘Somaliland’ kama nchi huru
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepinga kwa mara nyingine hatua ya utawala wa Kizayuni kutangaza kutambua eneo la Somaliland la Somalia kama nchi huru, ikieleza kuwa sehemu ya mkakati mpana…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakemea Israel kwa kutambua ‘Somaliland’
Wengi wa wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wamekemea hatua ya utawala wa Israel ya kutambua eneo la Somalia la Somaliland kama nchi huru. Baadhi ya mataifa…
Khaleda Zia, Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh, afariki dunia akiwa na miaka 80
Begum Khaleda Zia, aliyekuwa waziri mkuu wa kwanza mwanamke wa Bangladesh na kiongozi mashuhuri katika siasa za taifa hilo, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 80.
Misri yaitisha kikao cha dharura cha Umoja wa Afrika kupinga hatua ya Israel kutambua “Somaliland”
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Badr Abdelatty, Jumatatu alitoa wito wa kufanyika kikao cha dharura cha Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika ili kupinga hatua…
Kazi ya S2kizzy 2025 ni ya kibabe zaidi
Asilimia kubwa ya nyimbo za Bongofleva zilizofanya vizuri mwaka huu na kukaa katika chati kwa...
Govt allays public fears over TAZARA revival deal
DODOMA: THE government has assured Tanzanians that the agreement signed by Tanzania and Zambia with China to rehabilitate the Tanzania–Zambia Railway Authority (TAZARA) will deliver far-reaching economic and social benefits…
Singida BS off to winning start in Mapinduzi Cup
ZANZIBAR: SINGIDA Black Stars Assistant Coach David Ouma has emphasised the importance of respecting every opponent as his side continues its campaign in the ongoing Mapinduzi Cup tournament in Zanzibar.…
Simba Queens derby win boosts title hope
DAR ES SALAAM: SIMBA Queens’ head coach, Mussa Mgosi, has hailed his team’s commanding 2–0 victory over rivals Yanga Princess as a crucial step in their quest for this season’s…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 30,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 30,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Zanzibar moves to strengthen protection of national archives
ZANZIBAR: ZANZIBAR is taking decisive steps to safeguard its history as the Revolutionary Government moves to overhaul the management of national archives and records, with reforms aimed at improving efficiency,…
Mariah Carey kulipwa fidia kesi ya All I Want For Christmas Is You
Mwimbaji wa Marekani, Mariah Carey, 56, ameibuka tena na ushindi katika kesi ya hakimiliki...
Stars ni kufa au kupona AFCON
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya...
Z’bar steps up drive for safe blood donations to save lives
ZANZIBAR: ZANZIBAR Ministry of Health has stepped up its campaign to promote voluntary and safe blood donation, a critical initiative aimed at strengthening healthcare services and saving patients in urgent…
Ila huyu Shakei chenga kweli
Ila huyu Shakei chenga kweli. Maige ametuma mjumbe kwa Maega. Mbote ni kama amebanwa anauma maneno. Ni jambo gani? Usikose leo #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
Govt: We’ve service to boost ID provision
DAR ES SALAAM: HOME Affairs Minister George Simbachawene has launched a new Short Message Service (SMS) platform that will enable citizens to track the status of their National Identification Cards…
Tuchukue tahadhari mvua zinazoendelea kunyesha nchini
MVUA kubwa zinaendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali nchini na kusababisha uharibifu katika miundombinu pamoja na kwenye makazi ya watu. Mikoa ya Tabora, Shinyanga, Mwanza, Morogoro, Kilimanjaro na Dar es Salaam,…
Marekani: Donald Trump na Benjamin Netanyahu wajadili makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza
Rais wa Marekani Donald Trump, akiwa ameazimia kuendelea na awamu ya pili ya mpango wake wa kusitisha mapigano Gaza, amekutana tena siku ya Jumatatu, Novemba 29, na Waziri Mkuu wa…
When falsehood travels faster than truth: Why digital responsibility matters for our peace and progress
DAR ES SALAAM: THERE was a time when rumours travelled slowly. They moved from one person to another, tested through conversation, and often faded before causing real harm. Today, a…
Je 2026 ina siri gani kwenye muziki?
Karibu kila redio nchini kwa sasa ina kipindi cha muziki wa zamani, majina ya vipindi hivyo...
Rwanda: Kagame apongeza vyombo vya usalama kwa kulinda utulivu katika ujumbe wa mwisho wa mwaka
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewapongeza Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) na vyombo vingine vya usalama kwa taaluma yao, kujitolea, na huduma isiyoyumba katika kulinda amani, uhuru, na utulivu…
Analysts call for dialogue, rule of law
DAR ES SALAAM: COMMUNITY leaders and socio-political analysts have called on Tanzanians to prioritise dialogue, lawful political engagement and respect for national institutions in order to prevent a recurrence of…
Namba ya NIDA sasa kupatikana kwa ujumbe mfupi
MAMLAKA ya Vitambulisho ya Taifa (NIDA) imezindua namba ya kutuma ujumbe mfupi wa kufahamu namba ya utambulisho ya mwombaji wa kitambulisho itakayowezesha wananchi kufahamu namba zao za vitambulisho bila kufika…
Govt commits to digital public service delivery
DAR ES SALAAM: THE government is committed to strengthening public service delivery through digitalisation, as part of implementing the National Development Vision 2050. Speaking recently to journalists in Dar es…
Uchaguzi wa urais Guinea: Upinzani wafutilia mbali kiwango cha ushiriki kinachokadiriwa kwa 85%
Uhesabuji wa kura unaendelea nchini Guinea kufuatia uchaguzi wa rais uliofanyika Desemba 28. Wapiga kura chini ya milioni saba waliitwa kuchagua kiongozi wao wa baadaye, huku Jenerali Mamadi Doumbouya, ambaye…
EACLC: From vision to reality, promise fulfilled
DAR ES SALAAM: IN 2025, the bustling commercial capital of the country, Dar es Salaam saw the launch of the state-of-the-art East Africa Commercial and Logistics Centre (EACLC), aimed at…
Rungu, pongezi kutoka Basata na bodi ya filamu 2025
Rungu la Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) na Bodi ya Filamu nchini limeendelea kuwaponda...
Miundombinu iliyoathiriwa kwa mvua yaanza kurekebishwa
SERIKALI imeanza kurekebisha miundombinu iliyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ili kuhakikisha usalama wa wananchi na miundombinu inarejea katika hali yake ya awali. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Uchukuzi iliwataka wananchi…
Libya: Mkuu wa majeshi ya Pakistan ziarani Benghazi kwa Mauzo ya silaha kwa vikosi vya Haftar
Nchini Libya, mwishoni mwa mwaka wa 2025 kuliibuka mshirika mpya wa Khalifa Haftar, kiongozi wa mashariki na kusini mwa Libya. Mkataba wa kijeshi ulisainiwa mnamo Desemba 21 huko Benghazi kati…
DRC: Utata unaongezeka kuhusu madai ya uvumilivuwa matamshi ya chuki dhidi ya Watutsi
Utata unaongezeka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuhusu madai ya uvumilivu wa serikali kwa matamshi ya chuki dhidi ya Watutsi. Rais Félix Tshisekedi alikutana mnamo Desemba 22 na Wakongo…
Hali ya wasiwasi bado inashuhudiwa karibu na Uvira mashariki ya DRC
Nchini DRC, hali bado ni ya wasiwasi katika maeneo kadhaa karibu na mji wa Uvira, ambapo mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Kongo na waasi AFC/M23 wanaosaidiwa Rwanda, yamesababisha watu…
Kibano wamiliki wa nyumba, hoteli
SERIKALI imewataka wenye nyumba na wamiliki wa hoteli kufuatilia wapangaji wao mara kwa mara ili kujiridhisha kuwa wanaoishi katika nyumba hizo ni wapangaji halali waliosaini mkataba wa upangaji na wenye…
Mauritania: Idadi ya wakimbizi wa Mali yaaongezeka, kulingana na Umoja wa Mataifa
Wakimbizi wa Mali wanaendelea kuwasili kusini-mashariki mwa Mauritania. Kulingana na Shirika la Umoja a Mataifa linalohudumia Wakimbizi, UNHCR, zaidi ya watu 1,100 walivuka mpaka wiki iliyopita, na hivyo kuongeza idadi…
‘Tapeli’ naye alitapeliwa!
'Tapeli' naye alitapeliwa! @pengo_makeke aeleza mkasa wa kutapeliwa simu na pesa maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam. #SentroYaCloudstv #LainiYawana #CloudsTvNyoosha
‘Tapeli’ naye alitapeliwa!
'Tapeli' naye alitapeliwa! @pengo_makeke aeleza mkasa wa kutapeliwa simu na pesa maeneo ya Mikocheni jijini Dar es Salaam. #SentroYaCloudstv #LainiYawana #CloudsTvNyoosha
@pengo_makeke akieleza ugumu anaokutana nao mtaani kutokana na kuigiza kuwa yeye ni tapeli
@pengo_makeke akieleza ugumu anaokutana nao mtaani kutokana na kuigiza kuwa yeye ni tapeli. #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
DRC: Jeshi laliita kundi la Mobondo kuwa la waasi, baadhi ya watafiti wapinga
Tangu mwaka 2022, magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kumekuwa na mzozo ambao tayari umesababisha vifo vya zaidi ya watu 5,000 na kusababisha watu 280,000 kutoroka makazi yao, kulingana…
RIPOTI MAALUM: Simulizi ngumu ya madereva mpakani Tunduma
Sio jambo la ajabu kwa dereva wa lori kutumia wiki au zaidi kuvuka katika mpaka wa Tanzania na...
Wahamiaji zaidi ya Elfu 3 walifariki mwaka huu wakijaribu kuingia Uhispania
Zaidi ya wahamiaji elfu 3 walipoteza maisha mwaka huu wakati wakijaribu kuingia Uhispania,hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika linalotetea haki za wahamiaji la Hispania, idadi hii ikiwa ni…
Ulishawahi kutapeliwa
Ulishawahi kutapeliwa Sikiliza neno @pengo_makeke anakwambia Mjini shule, epuka matapeli! #sentrocloudstv #LainiYawana #CloudsTvNyoosha
Morocco yafuzu hatua ya 16 bora Afcon 2025
Wenyeji wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka huu, timu ya taifa ya Morocco, imejikatia tiketi ya kucheza hatua ya kumi na sita bora baada ya kupata ushindi…
Uchaguzi wa wabunge Côte d’Ivoire: Chama tawala chapata wingi kamili, PDCI yapata pigo kubwa
Chini Côte d’Ivoire chama tawala cha RHDP kimeimarisha wingi wake kamili katika uchaguzi wa wabunge uliofanyika siku ya Jumamosi, Desemba 27. Chama cha Rais Alassane Ouattara, kilichochaguliwa tena miezi miwili…
Majanga ya moto yatikisa nchini
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limesema kati ya Januari na Desemba 2025, matukio ya moto 3,091...
Uchangiaji wa damu katika hospitali nchini
Uchangiaji wa damu katika hospitali nchini. Je, jamii ihamasishane kufanya muda wote siyo kipindi cha Sikukuu pekee?
🔴 #MAGAZETI:KIBANO WAMILIKI WA NYUMBA, HOTELI…DISEMBA 30, 2025
🔴 #MAGAZETI:KIBANO WAMILIKI WA NYUMBA, HOTELI...DISEMBA 30, 2025
Iran yajibu vitisho vya Trump, yaapa kwamba ‘jibu kali’ litatolewa kwa uchokozi wowote
Admirali Ali Shamkhani, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelaani vikali vitisho vipya vilivyotolewa na Marekani vya kushambulia kijeshi Jamhuri ya Kiislamu, akiapa kuwa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DISEMBA 30, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 30, 2025
Mahabusu 100 wa Kipalestina wameuawa katika jela za Israel ndani ya miaka miwili
Wataalamu wa Palestina wamefichua ukatili na ukandamizaji unaowakabili mahabusu na mateka wa Palestina katika magereza ya utawala wa Israel na mienendo isiyo ya kibinadamu na ukatili wa Waziri wa Usalama…
Ripoti: Hasara ya majanga ya hali ya hewa mwaka 2025 imezidi dola bilioni 120
Ripoti mpya inaonyesha kwamba mawimbi ya joto yaliyovunja rekodi, vimbunga vya kitropiki na mvua zilizosababisha mafuriko makubwa kote duniani, vimeufanya mwaka unaomalizika wa 2025 kuwa moja ya miaka yenye hasara…
Chuo Kikuu cha Georgetown, US chamfukuza Ripota wa UN aliyeanika jinai za Gaza
Francesca Albanese, Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu amesema hatua ya Chuo Kikuu cha Georgetown cha Marekani ya kukata uhusiano naye ni sehemu…