MSHIKEMSHIKE: Mechi ya kirafiki: IRAN 2-0 TANZANIA
MSHIKEMSHIKE: Mechi ya kirafiki: IRAN 2-0 TANZANIA. Wachezaji gani wa Taifa Stars wamekuvutia zaidi? Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD…
Wazazi, ndugu watajwa chanzo unyanyasaji wa watoto
Wazazi, walezi na ndugu wa karibu wametajwa kuwa chanzo kikuu cha matukio ya ubakaji, ulawiti...
#MechiYaKirafiki: Mechi imemalizika pale Dubai
#MechiYaKirafiki: Mechi imemalizika pale Dubai FT: Iran 2-0 Tanzania (Amirhossein Hosseinzadeh 17’ P, Mohammad Mohebbi 26’) Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD #MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN
#MechiYaKirafiki: Mechi ipo kwenye dakika za majeruhi
#MechiYaKirafiki: Mechi ipo kwenye dakika za majeruhi 85’: Iran 2-0 Tanzania (Amirhossein Hosseinzadeh 17’ P, Mohammad Mohebbi 26’) LIVE #AzamSports1HD #MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN
DRC na waasi wa M23 wasaini makubaliano ya kutekeleza usitishaji mapigano
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na makundi ya waasi, yakiwemo waasi wa M23, wamesaini makubaliano mjini Doha ya kuanzisha utaratibu wa kufuatilia utekelezaji wa usitishaji mapigano, serikali ya Kongo…
Askofu Sosthenes akataa kitabu cha Sepeku kilichoandikwa na Jaji Ramadhani
Askofu wa Kanisa Anglikana, Dayosisi ya Dar es Salaam, Jackson Sosthenes (48), amekataa...
Mpango: Misingi ya Nyerere isimamiwe kuepusha Taifa kusambaratika
Watanzania wameaswa kuenzi maisha na mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, kwa...
#MechiYaKirafiki: Kipindi cha pili bado hakijazaa goli kwa timu zote mbili
#MechiYaKirafiki: Kipindi cha pili bado hakijazaa goli kwa timu zote mbili 60’: Iran 2-0 Tanzania (Amirhossein Hosseinzadeh 17’ P, Mohammad Mohebbi 26’) LIVE #AzamSports1HD #MechiYaKirafiki #IranVsTanzania #Iran #Tanzania #IRNTAN
MUCE yageuka kitovu cha elimu bunifu
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, inaendelea kutekeleza Mradi wa Elimu...
Mwinyi apokewa kwa kilio cha fidia, aahidi kuunda tume
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi, amepokewa...