Wataalum wa Mazingira kutoka nchini Finland wanawajengea uwezo wakufunzi kutoka Chuo Cha Viwanda vya Misitu (FITI) na Chuo Cha M…
Wataalum wa Mazingira kutoka nchini Finland wanawajengea uwezo wakufunzi kutoka Chuo Cha Viwanda vya Misitu (FITI) na Chuo Cha Misitu Olmotonyi pamoja na Chuo Cha Misitu Zambia juu ya maendeleo…
UJENZI WA DARAJA LA 6 KWA UREFU TANZANIA LA PANGANI WAFIKIA ASILIMIA 74.3
UJENZI WA DARAJA LA 6 KWA UREFU TANZANIA LA PANGANI WAFIKIA ASILIMIA 74.3 Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 na Barabara unganishi na mchepuko zenye urefu…
Takriban watu saba wauawa kwenye mashambulizi ya ndege zisizo na rubani za RSF nchini Sudan
Angalau watu saba wmeuawa Jumanne kutokana na mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yaliyotekelezwa na Kikosi cha Wanamgambo wa RSF, nchini Sudan, kwa mujibu wa mamlaka za eneo hilo na…
Afrika Kusini yafuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kuifunga Rwanda
Afrika Kusini imekuwa taifa la hivi karibuni kutoka Afrika kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026 baada ya kuichapa Rwanda mabao 3-0 siku ya Jumanne na kuongoza kundi C.
LIGI YA MABINGWA AFRIKA: Wachambuzi wa soka na watangazaji Farhan Kihamu na Gharib Mzinga, wamewachambua wapinzani wa Simba na Y…
LIGI YA MABINGWA AFRIKA: Wachambuzi wa soka na watangazaji Farhan Kihamu na Gharib Mzinga, wamewachambua wapinzani wa Simba na Yanga kwenye mechi zao zinazofuata za Ligi ya Mabingwa Afrika. Timu…
Uturuki yaingilia kati: Jinsi diplomasia ya Erdogan ilivyosaidia kufanikisha usitishaji vita Gaza
Kuwepo kwa mashaka na makubaliano yaliyoshindikana, hatua ya Uturuki kujiunga katika mazungumzo, ikiungwa mkono na diplomasia ya kibinafsi na wa kiintelijensia, iligeuza pendekezo lililoonekana kuwa dhaifu kuwa makubaliano yanayotekelezeka.
KMKM vs AZAM FC: “Kila mtu ana hamu ya kupeperusha bendera ya timu yetu”
KMKM vs AZAM FC: “Kila mtu ana hamu ya kupeperusha bendera ya timu yetu” Afisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amewataja wachezaji ambao bado hawajaungana na wenzao waliopo Zanzibar…
MASHAKA AWAPA USHINDI SIMBA DHIDI YA NSINGIZINI: “Watakapokwenda ugenini watapata matokeo mazuri”
MASHAKA AWAPA USHINDI SIMBA DHIDI YA NSINGIZINI: “Watakapokwenda ugenini watapata matokeo mazuri” Nyota wa zamani wa Simba SC, Mashaka Mashaka amesema bado vijana hao wa Msimbazi hawana muunganiko mzuri, lakini…
NGASA AWAPA USHINDI YANGA DHIDI YA SILVER STRIKERS: “Yanga wanajua utamu wa haya mashindano”
NGASA AWAPA USHINDI YANGA DHIDI YA SILVER STRIKERS: “Yanga wanajua utamu wa haya mashindano” Mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mrisho Ngasa amesema anaamini mechi kati ya Silver Strikers ya…
Uturuki imetuma “Meli ya Ukarimu” ya 17 yenye msaada wa tani 900 kuelekea Gaza
Uturuki imetuma “Meli ya Ukarimu” ya 17 ikiwa na tani 900 za misaada ya kibinadamu kuelekea Gaza, ikiwa ni sehemu ya juhudi endelevu za misaada baada ya kusitishwa kwa mapigano.