Mafuta: Libya yafungua milango yake kwa makampuni ya kigeni
Kwa mara ya kwanza katika miaka 17, Libya ilitoa vitalu vya mafuta kwa makampuni ya kigeni Jumatano, Februari 11, 2026. Kampuni ya Marekani Chevron, kampuni ya Uingereza BP, kampuni ya…
Jamii imetakiwa kuongeza uelewa na kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ulemavu, kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya unyanya…
Jamii imetakiwa kuongeza uelewa na kubadili mtazamo kuhusu watu wenye ulemavu, kufuatia kuendelea kuwepo kwa vitendo vya unyanyapaa na ubaguzi vinavyotokana na elimu duni ya kuwajali na kuwaheshimu kama sehemu…
Madhehebu ya Dini ya Kiislamu yanayofanya kazi chini ya taasisi mbalimbali yameaswa kuendelea kuishi kwa kuzingatia misingi na m…
Madhehebu ya Dini ya Kiislamu yanayofanya kazi chini ya taasisi mbalimbali yameaswa kuendelea kuishi kwa kuzingatia misingi na malengo ya kuanzishwa kwake, sambamba na kudumisha umoja na mshikamano ili kulinda…
Niger: Jenerali Abdourahamane Tiani azidisha mashambulozi yake ya maneneo kwa Ufaransa
Kiongozi wa utawala wa kijeshi wa Niger, Jenerali Abdourahamane Tiani, amehutubia taifa kwa zaidi ya saa tatu katika ujumbe uliofuatwa na mahojiano marefu yaliyorushwa kwenye RTN – redio na televisheni…
Nsajigwa akwepa mtego wa uwanja
KOCHA wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa, amesema matokeo mabaya ya timu hiyo raundi ya pili hayatokani na kuhamishia mechi za nyumbani kwenye Uwanja wa Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani, tofauti…
Mwenyekiti wa Kamati ya AU: ‘Kuangamizwa’ kwa watu wa Palestina ‘lazima kukome’
Mkutano wa 39 wa kila mwaka wa Umoja wa Afrika (AU) umefunguliwa Jumamosi, Februari 14, huko Addis Ababa, Ethiopia. Katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Tume ya AU, Mahamoud Ali Youssouf,…
Tanzanite down Kenya, advance to last round
DAR ES SALAAM: TANZANIA ’ S U-20 girls’ team yesterday advanced to the fourth and final round of the FIFA World Cup qualifiers after defeating Kenya 3–1 on penalties at…
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasis…
#HABARI: Kupitia mitandao ya kijamii kulisambazwa picha mjongeo akionekana mtoto mdogo wa kiume na zikisikika sauti zikimhamasisha kuvuta sigara, Jeshi la Polisi limesema, kitendo hicho ni kinyume cha sheria, kanuni…
SERIE A leo Jumapili
SERIE A leo Jumapili Big Game, saa 4:45 usiku, Napoli watakuwa nyumbani wakiwakaribisha AS Roma. Katika msimamo wa Serie A, Napoli yupo nafasi ya tatu na alama 49 huku Roma…
Straika Mbeya Kwanza ajipanga upya
MSHAMBULIAJI mpya wa Mbeya Kwanza, Lucas Sendama, amesema kwa sasa ameamua kujipanga upya ili kurejesha kiwango chake, baada ya kukosa nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza mara kwa mara akiwa…
Jamii, hususan wazazi, imehimizwa kuwa na utaratibu wa kuwachunguza watoto wao mara kwa mara ili kubaini mapema viashiria vya sa…
Jamii, hususan wazazi, imehimizwa kuwa na utaratibu wa kuwachunguza watoto wao mara kwa mara ili kubaini mapema viashiria vya saratani, ugonjwa ambao si wa watu wazima pekee bali huweza hata…
Beki Bigman matumaini kibao Championship
BEKI wa kati wa Bigman FC, Better Abdallah Mnyamisi, amesema licha ya kukitumikia kikosi hicho kwa muda wa mwezi mmoja tangu ajiunge nacho akitokea, IAA ya jijini Arusha inayoshiriki Ligi…
Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico
KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayar…
YANGA vs JS KABYLIE: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Shaban Kamwe anasema katika orodha ya timu saba ambazo tayari zimefuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…
Mido Barberian aona mwanga Championship
KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya mwenendo usioridhisha kwa timu hiyo katika Ligi ya Championship hadi sasa msimu huu, ila bado wana nafasi ya kurekebisha changamoto mbalimbali,…
Rais Samia ataja mbinu za kutokomeza Malaria Afrika
ETHIOPIA: RAIS Samia Suluhu Hassan amesema mapambano dhidi ya malaria barani Afrika yanahitaji uongozi na usimamizi thabiti wa Waafrika wenyewe, umiliki wa kweli wa programu zake na dhamira ya kisiasa…
Tanzania clubs CAF fate on edge
DAR ES SALAAM: CAF Champions League and CAF Confederation Cup group stages draw to a close, as Tanzania’s representatives Young Africans SC, Simba SC, Azam FC and Singida Black Stars…
Ronaldo arejea uwanjani, akitupia
Cristiano Ronaldo jana alifunga bao dakika ya 18 tu katika mechi yake ya kurejea akiwa na...
Iran kujadili maafikiano ili kufikia makubaliano ya nyuklia, waziri aiambia BBC mjini Tehran
Iran iko tayari kufikiria maafikiano ili kufikia makubaliano ya nyuklia na Marekani ikiwa Wamarekani watakuwa tayari kujadili kuondoa vikwazo, waziri wa Iran ameiambia BBC.
Mafundi kunufaika teknolojia, fursa kidigitali
Chama Cha Mafundi Tanzania (CMT), Joseph Kusaga Foundation na Unicx AI Data Limited zimeingia ubia mpya wa kimkakati unaolenga kubadilisha sekta ya mafundi Tanzania kupitia teknolojia, huduma za kifedha na…
Kutoka Kongamano la Usalama hadi “Sarakasi ya Munich”; Msimamo wa Iran Kuhusu Matukio ya Ulaya
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ni jambo la kusikitisha kuona kwamba Kongamano la Usalama la Munich ambalo kwa kawaida huzingatiwa kuwa tukio…
Why Miracle Experience Balloon Safaris got great recognition
ARUSHA: MIRACLE Experience Balloon Safaris has been recognised as Tanzania’s Best Hot Air Balloon Tour Operator at the Serengeti Awards, in a ceremony that highlighted operators shaping the country’s tourism…
Araqchi: Sarakasi ya Munich dhidi ya Iran imedhihirisha namna Ulaya ilivyopoteza ushawishi wake wa kijiopolitiki
Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Mkutano wa Usalama wa Munich uliokua na mtazamo dhidi ya Iran umegeuka na kuwa kongamano la sakarakasi na hivyo…
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki ya Iran ya kurutubisha urani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
Baqaei: Mashinikizo ya kisiasa hayawezi kudhoofisha haki isiyoweza kubatilishwa ya Iran ya kurutubisha urani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa haki "isiyoweza kubatilishwa" ya Iran ya kurutubisha madini ya urani haiwezi kudhoofishwa na mashinikizo ya kisiasa.
Waasi wenye silaha wauwa watu wasiopungua 32 kaskazini mwa Nigeria
Watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki wamevamia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria, na kuua takriban watu 32 na kuwateka nyara wengine kadhaa.
Watu wenye silaha wauwa watu wasiopungua 32 kaskazini mwa Nigeria
Watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki wamevamia vijiji vitatu kaskazini mwa Nigeria, na kuua takriban watu 32 na kuwateka nyara wengine kadhaa.
Madagascar yatangaza kimbunga Gezani janga la kitaifa
Serikali ya Madagascar jana ilitangaza kwa kimbunga cha Gezani kilichoiathiri nchi hiyo ni janga la kitaifa. Kimbunga hicho cha kitropiki kmesasabisha vifo vya 43, majeruhi kadhaa, uharibifu wa miundombinu na…
Waziri Mkuu wa Ethiopia ahimiza kuwepo uhusiano wa heshima kati ya Afrika na Italia
Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia amehimiza kuhusu ushirikiano mpya kati ya Afrika na Ulaya unaozingatia utu na ustawi wa pamoja. Waziri Mkuu wa Ethiopia ameeleza haya alipokuwa mwenyeji wa…
Tofauti ya wenza kuishi pamoja na kwa pamoja
Kuna ndoa nyingi ambapo wanandoa wanaishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja lakini hawaishi...
DRC: Wanamgambo wa Erik Prince wapelekwa Uvira kusaidia jeshi katika kulinda mji
Erik Prince, mfuasi wa Rais wa Marekani Donald Trump, amewatuma wanamgambo wa kampuni yake binafsi ya kijeshi kusaidia kulinda mji wa Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),…
Mawasiliano na maelewano yanavyojenga ndoa imara
Maelewano ya kweli yanapatikana pale kila mmoja anapoacha kutafuta ushindi katika mabishano na...
Mpango wa Mattei: Giorgia Meloni azindua upya mkakati wake wa Afrika Addis Ababa
Miaka miwili baada ya uzinduzi wa “Mpango wa Mattei” huko Roma, Giorgia Meloni ametumia fursa ya ziara yake yake kwenda Addis Ababa siku ya Ijumaa, Februari 13, kando ya mkutano…
Atuhumiwa kuuza eneo la makaburi Pugu
DAR ES SALAAM: WANANCHI wa eneo la Kimani, Mtaa wa Kinyamwezi, Kata ya Pugu wilayani Ilala mkoani Dar es Salaam wamelalamika kwa serikali wakidai kuwa mwanamke mmoja amekuwa akifukua makaburi…
100 days of reinforcing public service, strengthening accountability
DODOMA: NEW schools have been constructed and district, regional and referral hospitals have been equipped to provide specialised and superspecialised healthcare services. This milestone underscores the growing need for human…
Sh bilioni 600 zatengwa ujenzi miundombinu Dar
DAR ES SALAAM: ZAIDI ya Sh bilioni 600 zimewekezwa katika ujenzi wa miundombi- nu ya Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) jijini Dar es Sa- laam, mradi unaotekelezwa kwa awamu sita kwa…
Hesabu bado ngumu kufuzu robo fainali CAF
Rekodi mbili zinaipa matumaini Yanga kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika leo wakati...
Je, ulikokulia kunaathiri vipi tabia yako?
Je, ungekuwa mtu tofauti iwapo ungekulia mahali pengine?
Kukata uhusiano na mpenzi wako wa zamani ama kusalia kuwa marafiki. Jinsi ya kutatua tatizo hili
Kuachana kimapenzi ni ngumu. Kutoka wakati mmoja hadi mwingine, unapoteza mtu ambaye ulishiriki naye kila kitu. Lakini kudumisha urafiki na mpenzi wako wa zamani kunaweza kuumiza vile vile.
Unataka maisha ya furaha na kuridhika
Katika ulimwengu wa sasa wenye kasi, presha za maisha, kazi na uhusiano vimekuwa chanzo kikubwa...
Kwanini watu wasio na wenza ‘waseja’ hunukia tofauti
Wanaume hunusa harufu ya mwili wa wanawake kuwa ya kuvutia zaidi wakati wa kipindi cha rutuba katika mzunguko wa hedhi, na isiyovutia sana wakati wa hedhi. Hali hii huenda iliwasaidia…
Mwigulu afichua ‘madudu’ ulaji fedha za miradi
TANGA: Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba amefichua namna baadhi ya watendaji wa serikali wanavyotumia ujanja kuhalalisha upotevu wa fedha katika miradi. Dk Mwigulu alieleza hayo jana baada ya kukagua na…
Tunachokifahamu kuhusu wanajeshi 200 wa Marekani waliotumwa Nigeria
Kundi la Boko Haram, wapiganaji wa Islamic State West Africa Province (ISWAP) na makundi mengine, yameongeza mashambulizi yao kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Valentine Day: How lovers picked Ngorongoro’s call, pour into the park to boost pairs’ love
NGORONGORO: IF you feel your love is fading and fading, it’s not too late, entice your lover, husband or wife to come to the Garden of Eden in the Ngorongoro…
Tetesi za soka Ulaya Jumapili: Liverpool, Arsenal na ManCity mbioni kumsajili Anthony Gordon
Anthony Gordon anaweza kurejea Merseyside huku Mohamed Salah akionekana kuwa tayari kuondoka Liverpool, Arsenal inamlenga Castello Lukeba, huku Manchester United wakiwachunguza wachezaji wawili kwenye mechi ya Serie A.
Usimkatie tamaa mtoto mtukutu, fanya haya
Katika safari ya malezi karibu kila mzazi hukutana na changamoto ya kulea mtoto anayejulikana...
Mkakati kazi za staha wazinduliwa
DODOMA: Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sanga amezindua Mkakati wa Kukuza Kazi za Staha kwa Wafanyakazi wa Nyumbani 2025/26 – 2029/2030 kwa lengo…
Gen Z wanavyotazama ndoa, uhusiano
Gen Z wanakubaliana na mila huku wakihakikisha uhusiano unaheshimu hisia na mipaka yao binafsi.
Hekaya za Mlevi: Madogo shtukeni, hela inatafuta pesa
Leo tuongee kidogo na GenZ wanaoota kama masupastaa lakini wanalala kama mbwa koko. Namaanisha...
ONGEA NA AUNT BETTIE: Mume wangu ‘amekata pumzi’ kitandani baada ya ndoa
Sijui alikuwa anajiunga na maungaunga ya kuongeza nguvu za kiume ama vipi. Maana alivyokuwa...