Israel yakasirishwa na kauli ya kumdhalilisha rais wake iliyotolewa na Trump
Duru zilizo karibu na rais wa utawala wa kizayuni wa Israel zimeyaelezea matamshi ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kumtusi na kumdhalilisha rais wa utawala huo Isaac Herzog kuwa…
Tanzania backs Nile Basin commission
ADDIS ABABA: TANZANIA has called for stronger institutional cooperation and sustainable management of the Nile River as countries within the basin seek to safeguard one of Africa’s most vital shared…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 15, 2026
Umoja wa Afrika: Mateso dhidi ya Wapalestina lazima yakomeshwe
Mahmoud Ali Youssouf Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amesema kuwa, mauaji dhidi ya wananchi wa Palestina ni lazima yakomeshwe. Mahmoud Ali Youssouf alisema hayo jana (Jumamosi) wakati…
China: Tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa China amesisitiza kuwa, tofauti kati ya Iran na Marekani zinapaswa kutatuliwa kupitia mazungumzo na upatanishi, na akaonya kwamba mvutano kati ya nchi hizo mbili…
Mbunge wa Kongresi: Marekani iliwezesha mauaji ya halaiki Ukanda wa Gaza
Mbunge wa chama cha Democratic katika Kongresi ya Marekani amesema kuwa, msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Israel "usio na masharti" uliwezesha mauaji ya halaiki huko Gaza," akibainisha kuwa maelfu…
Ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii
Uhusiano kati ya ubepari na ukosefu wa utulivu wa kijamii ni mojawapo ya mada muhimu katika uwanja wa sayansi za jamii.
Jumapili, 15 Februari, 2026
Leo ni Jumapili 26 Shaaban 1447 Hijria mwafaka na 15 Februari 2026 Miladia.
TFS resolves 96pc of forest conflicts
DODOMA: THE Tanzania Forest Services Agency (TFS) has resolved 423 out of 438 forest-related conflicts, marking a 96 per cent implementation of government directives aimed at ending long-standing land disputes…
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya…
#KIPIMAJOTO: Kushirikisha wananchi wanaopakana na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kwenye ujenzi wa miundombinu yake na vikundi vya ulinzi shirikishi. Je, kutauhakikishia usalama mradi huo?
Drone unit to strengthen customs
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority has launched a one-month drone operations training programme for customs officers as part of broader efforts to modernise surveillance and strengthen the fight…
SAMIA @100 DAYS: Results, stability, reform
DAR ES SALAAM: POLITICAL leaders, analysts and key stakeholders have commended President Samia Suluhu Hassan for her steady, results-driven leadership during her first 100 days in office, citing notable progress…
CCM’s Women wingsteps in to fasttrack universal health coverage
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Women’s Wing (UWT) has launched a nationwide mobilisation strategy aimed at accelerating enrolment in the Universal Health Insurance (UHI) scheme. The initiative marks a significant…
Kama mwanamke kweli, chukua hela ya dada mkubwa kwenye kamradi kake ka video koridoni 😂
Kama mwanamke kweli, chukua hela ya dada mkubwa kwenye kamradi kake ka video koridoni 😂 (Feed generated with FetchRSS)
Sanga launches National Strategy to promote Decent Work for Domestic Workers
DODOMA: MINISTER of State in the Prime Minister’s Office (Labour, Employment and Industrial Relations), Deus Sanga, has officially launched the National Strategy for Promoting Decent Work for Domestic Workers 2025/26–2029/2030…
FIGHT AGAINST MALARIA: Samia demands ownership
ADDIS ABABA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has called upon fellow African leaders to take full ownership of the fight against malaria, emphasising that sustainable domestic financing will be a crucial…
Bihari ya Dawa (MSD), imeshinda tuzo ya Huduma kwa Wateja katika sekta ya Dawa na Vifaa Tiba inayotolewa na taasisi ya kimataifa…
Bihari ya Dawa (MSD), imeshinda tuzo ya Huduma kwa Wateja katika sekta ya Dawa na Vifaa Tiba inayotolewa na taasisi ya kimataifa inayojishughulisha na kutoa mafunzo, vyeti na viwango vya…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga kufanya uchung…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Tanga kufanya uchunguzi ili kubaini thamani ya fedha iliyotumika katika ujenzi wa Hospitali…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia siku ya Valentine kwa kupeka tabasamu kwa wananachi wa mkoa wa Mwanza kw…
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia siku ya Valentine kwa kupeka tabasamu kwa wananachi wa mkoa wa Mwanza kwa kutoa Hatimiliki za Ardhi kwa watu ambao wamekamilisha…
Simba yapata ushindi wa kwanza nyumbani, ikilipa kisasi kwa Stade Malien
SIMBA imemaliza kibabe hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa kwa kupata ushindi wa hatua hiyo na wa kwanza pia nyumbani baada ya kuichapa Stade Malien kwa bao 1-0 nyumbani.
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU – 14/02/2026
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 14/02/2026 (Feed generated with FetchRSS)
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026:WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 14 , 2026:WAHUJUMU UJENZI KITUO CHA AFYA SINDENI KUCHUKULIWA HATUA
Mchakato ujenzi wa uwanja Yanga wafikia patamu
RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema mchakato wa ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo utakaojengwa Jangwani umefikia hatua nzuri baada ya kupokea mchoro wa kwanza wa mradi huo.
Serikali kuweka vituo kupoza umeme kila wilaya
TABORA: Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme (TANESCO) itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme katika kila wilaya. Amesema lengo kuhakikisha…
Prisons yafufuka baada ya dakika 720, Namungo yakalishwa Sokoine
Licha ya kwenda mapumziko ikiwa nyuma Kwa mabao 2-0, Tanzania Prisons imefanya 'comeback' kwa kuizamisha Namungo 3-2 na kujihakikishia pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Samia: Mapambano ya malaria Afrika yanahitaji uongozi na usimamizi thabiti
Amesema vita dhidi ya malaria si suala la afya pekee, bali ni ajenda ya maendeleo, uchumi na...
Sh45 bilioni zitakavyotumika 2026/27 Simanjiro
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wamepitisha Sh45 bilioni kwa...
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya handeni Mji mkoani Tanga,kuharakisha mchakato wa …
Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba ameagiza uongozi wa halmashauri ya wilaya ya handeni Mji mkoani Tanga,kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa vifaa tiba kwa ajili ya Jengo la ICU ili wananchi…
#HABARI: Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, limepitisha Bajeti ya zaidi ya Shilingi Bilioni 57…
#HABARI: Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, limepitisha Bajeti ya zaidi ya Shilingi Bilioni 57 kwa mwaka wa fedha ujao, huku shilingi Bilioni 12 za…
390 wakutwa na matatizo ya nyonga Mbeya, 14 wapandikizwa viungo bandia
Watu 600 waliofanyiwa uchunguzi wa matatizo ya nyonga, magoti na mgongo 390 wamekutwa na...
#HABARI: Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt
#HABARI: Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, katika nafasi zake za Mwenyekiti wa Bodi ya Global Partnership for Education (GPE) na Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern…
#HABARI: Maafisa 15 wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Mbeya, wametunukiwa sifa na zawadi kwa mafanikio yao katika kuwanasa waha…
#HABARI: Maafisa 15 wa Jeshi la Polisi Tanzania mkoani Mbeya, wametunukiwa sifa na zawadi kwa mafanikio yao katika kuwanasa wahalifu hatari waliotekeleza makosa mbalimbali yaliyoigusa jamii, ikiwemo mauaji, ubakaji, pamoja…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA, FEBRUARI 14, 2026 – SERIKALI YAOMBWA KUENDELEZA MRADI WA KUTOA MAJI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MTWARA, FEBRUARI 14, 2026 - SERIKALI YAOMBWA KUENDELEZA MRADI WA KUTOA MAJI
Dk Mwigulu ashtukia ‘kichaka cha gharama’, asema…
Dk Mwigulu amesema hatavumilia mbinu za kupandisha gharama za miradi kwa kisingizio cha ununuzi...
Bunifu za kibiashara zinavyochochea matumizi ya nishati safi ya kupikia
Wakati Tanzania ikiendelea kusukuma mbele lengo lake la kuhakikisha asilimia 80 ya Watanzania...
Serikali imesema Kiwango cha utumikishwaji wa watoto nchini kimepungua kwa asilimia 9.1 kutoka asilimia 33.8 mwaka 2014 hadi asi…
Serikali imesema Kiwango cha utumikishwaji wa watoto nchini kimepungua kwa asilimia 9.1 kutoka asilimia 33.8 mwaka 2014 hadi asilimia 25.8 mwaka 2024. Akizungumza kwenye Mkutano wa 6 wa Kimataifa wa…
Waziri Gwajima ataka wazazi kujiimarisha kiuchumi kulinda watoto
Amesema changamoto nyingi za malezi hujitokeza katika familia zenye hali duni kiuchumi.
VIDEO: Familia tano zabaki bila makazi baada ya ajali ya moto Moshi
Mwananchi Digital ilifika hadi eneo la tukio na kushuhudia wakazi wa mtaa huo wakifanya...
#NBCPL: Milango ya pande zote bado migumu…
#NBCPL: Milango ya pande zote bado migumu…. 15’: Tanzania Prisons 0-0 Namungo LIVE #AzamSports1HD #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdate #TanzaniaPrisonsNamungo #TanzaniaPrisons #Namungo (Feed generated with FetchRSS)
RC Mbeya amwagiza RPC kuongeza kasi kudhibiti ubakaji, ulawiti
Malisa amesema jamii inapaswa kuhakikisha watoto wanalindwa na kupata haki za msingi na kuwa...
Ujumbe, video iliyovuja yamuonyesha mwanamke akimkaripia Mrusi anayetrend kumrekodi kisiri
Mazungumzo yaliyovuja na video yenye msisimko yanaonyesha jinsi mwanamke alivyogundua anarekodiwa na kumkabili raia wa Urusi Yaytseslav anayevuma mitandaoni.
Samia azungumza na wanahabari juu ya kutokomeza malaria
RAIS Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanahabari juu ya ufadhili endelevu wa kutokomeza Malaria pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika, leo Februari 14, 2026 jijini…
Hemed ahimiza uanzishaji mabaraza ya Kiswahili EAC
Hemed ametoa wito kwa nchi wanachama kuhakikisha wanaweka mkazo katika kuanzisha mabaraza ya...
Katibu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji amewahimiza wanajamii kutowaficha watoto wenye u…
Katibu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji amewahimiza wanajamii kutowaficha watoto wenye ulemavu wa akili na badala yake wawasaidie kuwaunganisha na taasisi zinazowahudumia…
UWT kuibeba ajenda ya bima ya afya kwa wote
‎Dodoma. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda amesema...
Waziri Mkuu akagua mradi wa maji Kwamaligwa
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba leo Februari 14, 2026 amekagua mradi wa maji wa Kwamaligwa uliopo wilaya ya Kilindi mkoani Tanga ambao utagharimu sh bilioni 6.98 hadi kukamilika kwake. Mradi…