Askofu Shao: Watu wamekaa kimya siyo kwamba wana amani mioyoni
Askofu Mkuu wa Kanisa la Zanzibar International Church Center (ZICC) Kariakoo Zanzibar, Dickson...
Mogadishu yapiga kura ya moja kwa moja ya serikali za mitaa
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, unaendesha zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa Alhamisi ukiwa wa kwanza wa upigaji kura ya moja kwa moja kwa wananchi wote katika muda wa…
Januari hiyo imekaribia, umejipangaje kifedha
Ni wakati wa kufurahi lakini pia ni wakati muhimu wa kutafakari na kujiandaa kwa mwaka mpya...
Malipo ya kielektroniki yalivyo muhimu kwa uchumi wa nchi
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua katika matumizi ya malipo ya...
Wakazi wa maeneo ya Goba – Kinzudi, Dar es Salaam wameishukuru na kuipongeza kampuni ya Said Salim Bakhresa kwa kufungua duka ji…
Wakazi wa maeneo ya Goba - Kinzudi, Dar es Salaam wameishukuru na kuipongeza kampuni ya Said Salim Bakhresa kwa kufungua duka jipya la bidhaa za Ice Cream ikiwa ni sehemu…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uong…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia mitandao ya kijamii akisema umekuwa ukiongezeka kutokana…
Bethlehem walivyosherehekea Krismasi ya amani tangu kuzuka vita Gaza
Sauti za ngoma na filimbi nyimbo maarufu za Krismasi zilisikika katika anga la Bethlehem, huku...
Bunge la Algeria latunga sheria waliotawala ukoloni walipe fidia
Wabunge wa Algeria walipokutana bungeni Jumatano, walifungua kikao kwa kuimba wimbo wa taifa.
Askofu Chakupewa: Siasa za udini zinachochea migogoro, hazifai
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao amewahakikishia ulinzi na usalama wananchi...
Watu wenye ulemavu wilayani Mbulu wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele kwenye kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmas…
Watu wenye ulemavu wilayani Mbulu wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele kwenye kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili kuwawezesha kufanya shughuli mbalimbali za kuwainua kiuchumi. Katika utaratibu huo, asilimia…
Sh milioni 90 kuleta neema ya maji Sinonik
LONGIDO: Fedha Sh milioni 90 zimechangwa ili kuvuta maji kutoka chanzo cha maji kilichopo kata ya Sinonik, Wilaya ya Longido kwa lengo la kuwahakikishia wananchi wa kata hiyo maji safi…
Diddy aomba rufaa kupinga kifungo chake gerezani
MSANII maarufu wa muziki wa rap, Sean “Diddy” Combs, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Marekani imwachilie huru na kutengua hukumu yake ya kifungo cha miezi 50 gerezani alichohukumiwa kutokana na…
Askofu Mollel: Sherehekeeni Krismasi, mkumbuke ada za watoto Januari
Amesema leo ni sikukuu ya kufurahia na familia pamoja na kuwakumbuka watu wenye mahitaji...
DPP awafutia kesi ya uhaini vijana saba, washukuru kwa staili yao
Vijana hao ni waliokuwa wanakabiliwa mashtaka mawili ikiwemo kula njama na kutenda kosa la uhaini.
Krismasi itukumbushe upendo, unyenyekevu na kusaidiana
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakristo na Watanzania wote kuitumia Sikukuu ya Krismasi kama fursa ya kuimarisha upendo, unyenyekevu na kusaidiana, ili kuendeleza…
Wanne wafariki kwa kuangukiwa na ukuta kanisani, 12 walazwa Dodoma
Watu wanne wamepoteza maisha na wengine 17 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Kanisa.
Bangladesh: Tarique Rahman, arejea nyumbani baada ya miaka 17 uhamishoni
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, Tarique Rahman, mgombea wa nafasi ya Waziri Mkuu wa Bangladesh, aewasili Dhaka, mji mkuu wa nchi hiyo, siku ya Alhamisi, Desemba 25, 2025, baada…
Clerics call for morality, love on Christmas
KIGOMA: CHRISTIANS in Tanzania today join the rest of the world to celebrate Christmas, marking the birth of Jesus Christ over 2,000 years ago in Bethlehem. Several religious leaders have…
Heri ya msimu wa sikukuu na asante kwa kuipa macho na masikio yako The Spark ya Clouds TV kila siku ya wiki kuanzia kumi na moja…
Heri ya msimu wa sikukuu na asante kwa kuipa macho na masikio yako The Spark ya Clouds TV kila siku ya wiki kuanzia kumi na moja jioni. #Clouds26Nyoosha
Papa Leo XIV ahimiza Krismasi ya 2025 kuzingatia amani
Papa Leo XIV katika salamu zake kwa Sherehe za mkesha wa Krismasi, amesema Sikukuu ya Noeli ni...
Senegal: Watu wasiopungua kumi na wawili wafariki baada ya boti yao kuzama
Angalau watu kumi na wawili wamefariki wakati boti yao ilipozama siku ya Jumatano, Desemba 24, nje ya pwani ya Senegal, katika janga lingine linalohusisha uhamiaji wa siri kwenda Ulaya. Taarifa…
TEMESA top brass axed
DAR ES SALAAM: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has ordered the immediate dismissal of the entire management team of the Technical and Electrical Services Agency (TEMESA) following allegations of embezzling…
Erdogan: Israel haiheshimu ahadi zake, kamwe Uturuki haitaiacha Gaza
Rais wa Uturuki amesema: "Utawala wa Israel hauheshimu wala kufungamana na ahadi zake na unazuia misaada ya kibinadamu kuingia Gaza kila mara kwa kutumia visingizio mbalimbali."
Kutoka makao makuu ya burudani, Clouds E ya Clouds TV tunakutakia heri ya msimu wa sikukuu
Kutoka makao makuu ya burudani, Clouds E ya Clouds TV tunakutakia heri ya msimu wa sikukuu. Minyoosho iendelee 2026 #Clouds26Nyoosha
Ujenzi wa vitongoji haramu Ukingo wa Magharibi walaaniwa kimataifa
Mataifa ya Ulaya sambamba na Canada na Japan yametoa taarifa ya pamoja na kulaani uamuzi wa Israel wa kuanzisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa…
Late drama sees Burkina Faso edge past Equatorial Guinea
CASABLANCA: IN a match brimming with tension and twists, Burkina Faso secured a 2-1 victory over Equatorial Guinea in their Group E Africa Cup of Nations (AFCON) clash at Mohamed…
Kesi ya Epstein: Wizara ya Sheria yatangaza kugunduliwa kwa nyaraka mpya ‘zaidi ya milioni moja’
Wizara ya Sheria ya Marekani imetangaza siku ya Jumatano, Desemba 24, 2025, ugunduzi wa “nyaraka zaidi ya milioni moja” zinazoweza kuhusiana na kesi ya Epstein, kwa uwezekano wa kuchapishwa. Hii…
TMA Stars yawapa ‘thank you’ kocha na wasaidizi wake
Klabu ya TMA Stars FC kupitia kwa Katibu wake Mkuu, Mbwana Hamad Mbwana umetangaza kusitisha mkataba na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Habibu Kondo pamoja na wasaidizi wake.
Asante Mcloudsania kwa kuipa Siz Kitaa ya Clouds TV dhamana ya kuipa tafuu mitaa na kuendelea kuwafungulia dunia wana
Asante Mcloudsania kwa kuipa Siz Kitaa ya Clouds TV dhamana ya kuipa tafuu mitaa na kuendelea kuwafungulia dunia wana. Tunasema heri ya msimu wa sikukuu, minyoosho na iendelee 2026 #Clouds26Nyoosha
Makonda demands same fire after Nigeria test
MOROCCO: DEPUTY Minister for Information, Culture, Arts and Sports Paul Makonda has challenged Taifa Stars players to turn belief into results, declaring the remaining Group C matches at the Africa…
Papa Leo aadhimisha mkesha wa Krismasi kwa mara ya kwanza kama Baba Mtakatifu
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani alitumia fursa hiyo kukemea ubatili.
Wachunguzi wapekua eneo la ajali ya ndege iliyomuua Mkuu wa Jeshi la Libya
Libya imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya makamanda wake wakuu wa jeshi katika ajali ya ndege iliokuwa inasafiri kutoka mji mkuu wa Uturuki, Ankara siku ya…
#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt
#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, ametoa rai wa wananchi kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka kwa amani na utulivu. Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma…
Cécile Kohler na Jacques Paris washerehekea Krismasi katika ubalozi wa Ufaransa Tehran
Cécile Kohler na Jacques Paris wanasherehekea Krismasi na Mwaka Mpya katika Ubalozi wa Ufaransa mjini Tehran, bila uhakika ni lini hatimaye wataweza kurudi nyumbani. Raia hao wawili wa Ufaransa waliachiliwa…
Utawala wa Trump wataka kubadilisha Maghala kuwa vituo vya kuzuiliwa kwa wahamiaji
Utawala wa Trump unapanga kununua maghala ya kuwahifadhi wahamiaji wasio na vibali. Mpango unaojadiliwa unalenga kuharakisha kukamatwa na kufukuzwa kwa wahamiaji nchini, ambao umeongezeka tangu Donald Trump arejee madarakani. Imechapishwa:…
IRGC yanasa meli iliyobeba lita milioni 4 za mafuta ya magendo
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limekamata meli iliyokuwa imebeba shehena kubwa ya mafuta ya magendo katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
#HeriyaKrismasi S/O @owm_tz @mwigulunchemba
#HeriyaKrismasi S/O @owm_tz @mwigulunchemba
‘Vurugu baada ya uchaguzi mkuu ziwe funzo’
Wamesema hawataki kusikia tena yaliyotokea wakati huo yakijirudia kwani madhara yake ni makubwa...
Uchaguzi wa Rais Honduras: Nasry Asfura, anayeungwa mkono na Donald Trump, atangazwa mshindi
Baada ya siku kadhaa za uhesabuji na uchunguzi wa kura huku kukiwa na mvutano, tuhuma za udanganyifu, na uingiliaji kati wa Donald Trump, mshindi wa uchaguzi wa rais nchini Honduras…
Pokea salamu za heri ya msimu wa sikukuu toka kitivoni Sentro ya Clouds TV @ally__kashmiry #Clouds26Nyoosha
Pokea salamu za heri ya msimu wa sikukuu toka kitivoni Sentro ya Clouds TV @ally__kashmiry #Clouds26Nyoosha
Mlipuko msikitini waua kadhaa katika jimbo la Borno, Nigeria
Mlipuko ulitokea msikitini wakati wa sala ya jioni Jumatano katika eneo la Maiduguri, mji mkuu wa jimbo la Borno nchini Nigeria, kwa mujibu wa shahidi aliyeongea na Reuters.
Donald Trump awarejesha nyumbani wanadiplomasia thelathini waliokuwa wakifanya kazi Afrika
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea kubadilisha diplomasia ya Marekani. Tangu arudi Ikulu ya White House, rais amewaweka washirika wake katika nafasi za kimkakati ili kutetea vyema maono yake nje…
Iran yasuta ‘diplomasia ya mabomu’ ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amekejeli na kukosoa vikali tafsiri ya Marekani ya 'diplomasia' katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, akisisitiza kuwa, uwazi na…
Nchi 14 zikiwemo za EU zalaani mpango wa ujenzi haramu Ukingo wa Magharibi
Kundi la nchi 14 zikiwemo za Ulaya limetoa taarifa ya pamoja ya kulaani vikali uamuzi wa Israel wa kuanzisha ujenzi mpya wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika Ukingo wa…
Wakristo duniani washerehekea Sikukuu ya Krismasi
Shamrashamra za Krismasi zinaendelea kote duniani leo Jumatano, siku ambayo Wakiristo wanasherehekea sikukuu ya kuzaliwa kwa Mwokozi wao Yesu Kristo wakati dunia ikielekeza macho yake katika vita vinavyoendelea kati ya…
Mji wa Bethlehem waadhimisha sikukuu ya Krismasi kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili
Dunia inaadhimisha sikukuu ya Krismasi Alhamisi Desemba 25, siku ambayo Wakiristo wanakumbuka kuzaliwa kwa Mwokozi Yesu Kristo, ambapo ibada zinafanyika Makanisani, huku wengine wakisherehekea majumbani na katika maeneo mengine ya…
Misa ya kwanza ya Krismasi ya Papa Leo XIV miezi nane baada ya kuanza kwa upapa wake
Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro, kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ameongoza sherehe ya Ekaristi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Kristo. Krismasi hii inaambatana na mwisho wa Mwaka…
YEAR ENDER: JNHPP writes history in energy sector
DAR ES SALAAM: AS 2025 draws to a close, the year has marked a historic milestone in Tanzania’s energy sector with the completion and commissioning of the long-awaited Julius Nyerere…
Idadi ya watalii wanaoingia nchini imeongezeka kwa asilimia tisa huku idadi hiyo ikitarajiwa kupanda kufikia mwishoni mwa mwaka …
Idadi ya watalii wanaoingia nchini imeongezeka kwa asilimia tisa huku idadi hiyo ikitarajiwa kupanda kufikia mwishoni mwa mwaka 2025 kwa mujibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Hassan…