Kenya: Raila Odinga, aombolezwa duniani na Afrika
Viongozi mbalimbali duniani, wamekuwa wakitoa salamu zao za pole kwa wananchi wa Kenya, kufuatia kifo cha Raila Odinga. Imechapishwa: 15/10/2025 – 14:47Imehaririwa: 15/10/2025 – 14:49 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
85’| #SportPesaLeague
85’| #SportPesaLeague Shabana 0-2 Posta Rangers LIVE #AzamSports3HD #FKFPremierLeague #LigiKuuKenya #SportPesaLeague #ShabanaVsPostaRangers #Shabana #PostaRangers
Matumaini, mashaka wagombea kwa INEC kampeni zikielekea ukingoni
Mjadala kwa sasa ni iwapo Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) inaweza kuakisi imani ya wadau wa...
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma…
#HABARI: Wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari, eneo la Dongobesh Wilayani Mbulu mkoani Manyara wameanza kunufaika na huduma ya maji safi, ambapo awali walilazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma…
Rais Samia, wanasiasa duniani wamlilia Odinga
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwanasiasa mashuhuri na...
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuongeza uzalishaji wa miche ya kahawa na kutoa matrekta kwa wakulima wa Kagera kwa gharama…
Kenya yaomboleza kifo cha Raila Odinga, kinara wa demokrasia na siasa
Kenya imekumbwa na msiba mzito, kufuatia kifo cha kiongozi mashuhuru wa upinzani na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, aliyefariki dunia Jumatano asubuhi akiwa na umri 80 baada kupata mshtuko wa…
Tanzania yazindua mfuko wa kukabili magonjwa ya mlipuko Biteko aonya upigaji fedha
Naibu Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko amewataka watendaji wa Serikali wanaosimamia na kutekeleza...
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Yanga SC yampongeza Pacome Zouzoua baada ya Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast, Kufuzu Kombe la Dunia 202…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Yanga SC yampongeza Pacome Zouzoua baada ya Timu yake ya Taifa ya Ivory Coast, Kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mtangazaji @ngodaalwatan aijadili picha ya Pacome iliyopostiwa na mchambuzi…
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinata…
Shirika la Maendeleo ya Petrol Nchini (TPDC) limeendeleza utaratibu wa uchimbaji wa visima viwili vya gesi asilia ambavyo vinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa umeme. Visima hivyo vinatarajiwa kuongeza uwezo wa uchimbaji…