Mtoto wa Mjini – 1
NDOTO za Muddy Manyara zilishafanikiwa. Tayari kila kitu kilishakaa kwenye mstari. Maisha alishayapatia baada ya kufika Ulaya na kuangukia katika mapenzi na mwanamke wa kizungu, Linnie, lakini akaleta utoto wa…
Baada ya kusimama kupisha kalenda ya FIFA, NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa michezo miwili
Baada ya kusimama kupisha kalenda ya FIFA, NBC Premier League inarejea Ijumaa hii kwa michezo miwili Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC. Saa…
Uchaguzi wa urais Cameroon: Mashirika ya kiraia yakaribisha ‘maandalizi mazuri
Siku tatu baada ya uchaguzi wa urais wa Jumapili, Cameroon bado inasubiri matokeo rasmi. Mashirika manane ya kiraia, ikiwa ni pamoja na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Kibinadamu wa…
Michael Jackson alipitia haya baada ya kesi ya unyanyasaji wa kingono
Baada ya kupitia moja ya kesi kubwa zaidi katika maisha yake, mwaka 2005 marehemu staa wa...
DRC: Baadhi ya wapinzani wa Félix Tshisekedi wakutana Kenya
Kongamano hilo la siku mbili lililoitishwa na rais wa zamani wa Kongo, Joseph Kabila aliyehukumiwa kifo nchini mwake hivi majuzi, mjini Nairobi, linawaleta pamoja wapinzani kadhaa wa Félix Tshisekedi pamoja…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 15,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 15,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
DRC: Kinshasa na AFC/M23 wakubaliana kuhusu mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano
Kundi la waasi la AFC/M23 na serikali ya Kongo wametia saini mfumo wa kusimamia usitishwaji mapigano mjini Doha siku ya Jumanne, Oktoba 14, 2025. Hii inachukuliwa kuwa hatua muhimu katika…
Rasmi Ivory Coast, Senegal na Afrika Kusini zimekamilisha orodha ya timu 9 kutoka Afrika zitakazocheza Kombe la Dunia 2026 huk…
Rasmi Ivory Coast, Senegal na Afrika Kusini zimekamilisha orodha ya timu 9 kutoka Afrika zitakazocheza Kombe la Dunia 2026 huko Marekani Canada na Mexico. Nchi Zilizofuzu ni: 1️⃣Morocco 2️⃣Tunisia 3️⃣Algeria…
Takwimu za kushangaza kutoka kwa UM zinazohusiana na uharibifu uliofanywa na Israel Gaza
Dola bilioni sabini. Hivyo ndivyo Umoja wa Mataifa unakadiria ujenzi mpya wa Gaza unaweza kugharimu. Kiasi kikubwa sana, kinacholingana na uharibifu. Kwa kuwa sasa usitishwaji wa mapigano umeshafikiwa, mashirika ya…