Trump ampokea Netanyahu, ambaye anaomba shinikizo la juu la Marekani kwa Iran
Donald Trump anampokea Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo Jumatano Februari 11, ambaye anatataka kumshawishi atoe shinikizo la juu zaidi kwa Iran. Imechapishwa: 11/02/2026 – 07:17 Dakika 3 Wakati…
Nabii Owuor: Samira wa TV47 aeleza sababu iliyowachukua siku 9 kurejesha zawadi ya KSh 20k
Mwanahabari Samira Mohammed alieleza kwa nini timu yake ilirudisha KSh 20k walizotumiwa na Nabii David Owuor baada ya kupeperusha matangazo kuhusu madai ya uponyaji.
Mwanamume akamatwa Nyeri huku msichana mdogo aliyetoweka akipatikana amekufa ndani ya choo cha shimo
Maafisa wa upelelezi kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) wamemkamata mwanamume wa Nyeri anayeshukiwa kumuua msichana wa miaka tisa ambaye alikuwa amepotea.
Magazeti ya Kenya, Februari 11: Njama ya kumtimua Edwin Sifuna ODM yaiva, timu ya Oburu yakutana
Katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna huenda akapoteza kiti chake huku kundi linalomuunga mkono Oburu Oginga lenye njama hiyo likikutana Mombasa kufanya uamuzi.
Zimbabwe: Rasimu ya mageuzi ya Katiba inapanga kuongeza muhula wa rais hadi mwaka 2030
Nchini Zimbabwe, serikali ilmeidhinisha siku ya Jumanne, hati iliyosainiwa na Waziri wa Sheria Ziyambi Ziyambi, inayoelezea mapitio makubwa ya Katiba ya Zimbabwe kupitia marekebisho. Miongoni mwa hatua zilizopendekezwa, ambazo zilivuja…
Polisi yamsaka mwanamke aliyeiba mtoto wa siku moja
MTOTO mchanga mwenye umri wa siku moja ameibiwa katika Kata ya Buzuruga, Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa…
Watumishi wafundwa mishahara itoshe
WADAU wa uchumi wameshauri watumishi wazingatie mambo matatu ili mishahara yao ikidhi mahitaji na waweke akiba ya baadaye. Wameshauri watumishi wawe na nidhamu ya fedha, wawekeze kwenye mifuko ya uwekezaji…
Tisa wauawa kwa kupigwa risasi katika shule ya upili magharibi mwa Canada
Mkasa huo umetokea Tumbler Ridge, mji wenye watu 2,300 katika jimbo la British Columbia, zaidi ya kilomita 1,000 kaskazini mashariki mwa Vancouver. Mshukiwa wa mauaji hayo pia amepatikana amekufa, kufuatia…
Nabii Owuor: Hasira Jamaa Anayedaiwa Kuponywa Ukimwi Akipatikana na Rekodi Bandia za Kimatibabu
Madai ya Peter Oyan ya kuponywa Ukimwi na Nabii David Owuor yalichunguzwa huku upekuzi ukifichua madai ya rekodi za matibabu ghushi, na hivyo kuzua hasira za umma.
Mambo 5 yatajwa tija mikopo ya asilimia 10
WATAALAMU wa uchumi wameshauri mambo matano yazingatiwe ili kuongeza ufanisi wa mikopo ya asilimia 10 inayotengwa na halmashauri. Serikali inatoa mikopo ya asilimia 10 kupitia mgawanyo wa asilimia nne vijana,…
Ethiopia: Mvutano waongezeka kati ya Addis Ababa na TPLF, UM yatoa wito wa kupunguza uhasama
Siku kumi baada ya makabiliano makali kati ya jeshi la shirikisho la Ethiopia na Kikosi cha Ukombozi wa Watu wa Tigray (TPLF), pande hizo mbili zinashutumiana kwa kujiandaa kwa vita…
Sesko alivyoiokoa Man United dakika za jioni
Mshambuliaji Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga...
Kenya kujadili suala la Wakenya kadhaa walioajiriwa kwa nguvu katika jeshi la Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi ametangaza siku ya Jumanne, Februari 10, kwamba atasafiri kwenda Moscow mwezi Machi kujadili suala la Wakenya kadhaa walioajiriwa kwa nguvu katika…
Kenyatta anavyoujenga upya muungano wa Azimio kumkabili Ruto 2027
Hatua ya kushtukiza ya Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta ya kuanzisha mchakato wa kuufanyia...
Trump: Makubaliano na Iran lazima yajumuishe silaha za nyuklia, makombora na kila kitu kingine
Rais wa Marekani Donald Trump amesema katika mahojiano na Fox News kwamba makubaliano yoyote na Iran lazima yajumuishe mpango wa makombora wa Tehran pamoja na mpango wa nyuklia wa nchi…
MONUSCO yatangaza kutumwa kwa kikosi chake Uvira
Nchini DRC, ujumbe wa Umoja wa Mataifa unajiandaa kwa ajili ya kuanza tena shughuli zake hatu kwa hatua huko Kivu Kusini, ametangaza Jean-Pierre Lacroix siku ya Jumanne. Imechapishwa: 11/02/2026 –…
Marekani kutuma wanajeshi 200 nchini Nigeria kutoa mafunzo ya kijeshi
Marekani inapanga kutuma wanajeshi takriban 200 nchini Nigeria kutoa mafunzo kwa jeshi la nchi hiyo katika kupambana na wanamgambo wa Kiislamu, afisa mmoja wa Marekani amesema siku ya Jumanne, wiki…
#goodmorning
#goodmorning Wataalamu wa afya wanasema mood yako ya asubuhi ina mchango mkubwa kwenye jinsi siku yako itakavyokwenda. Ukianza na hali nzuri, unakuwa na nguvu, umakini na mawazo chanya — lakini…
Pande mbili siku 100 za Rais Samia
Muhula wa pili wa urais wa Samia Suluhu Hassan unatimiza siku 100 leo. Kwa tathmini ya wadau...
Iran yaonya kuhusu njama za Israel huku ikiendeleza mazungumzo ya kidiplomasia na Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametoa tahadhari kuhusu azma ya utawala wa Israel ya kuishawishi Marekani iingie katika vita vingine dhidi ya Iran, wakati mazungumzo mapya…
Kwanini Liverpool inaruhusu mabao ya jioni?
Mojawapo ya sababu kubwa zilizomfanya Arne Slot kuletwa baada ya Jurgen Klopp ni uwezo wake wa kuvutia wa kuwaweka wachezaji wake katika hali nzuri.
Kutana na wanawake wanaolinda chui porini
Wanawake mashujaa wanakabiliana na baridi kali ili kuhesabu na kuhifadhi mnyama wa porini ambaye awali alikuwa unachukuliwa kama tishio katika vijiji vyao.
Tetesi za soka Ulaya Jumatano: United na Chelsea zamtaka Mgambia
Mohamed Salah wa Liverpool anasakwa na klabu kubwa ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia, huku Manchester United na Chelsea zikimfuatilia kwa karibu kinda wa Gambia.
Mpango wa hatua nne wa Netanyahu wa kuumeza Ukingo wa Magharibi
Uamuzi wa baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu siku ya Jumapili kuhusu Ukingo wa Magharibi ulikuwa msumari wa mwisho katika jeneza la udanganyifu na matumaini ya wale waliofikiri kwamba chini…
Ukisikia mambo ya mwaka wa mbele 😅
Ukisikia mambo ya mwaka wa mbele 😅 (Feed generated with FetchRSS)
‘Tunataka wafanyabiashara waone TRA, Tiseza ni washirika’
DODOMA; CHEMBA ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC), imesema maboresho makubwa ya kiutendaji yanafanyika ndani ya chemba kwa lengo la kuongeza thamani kwa wafanyabiashara na kutatua changamoto zao kwa wakati.…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 10, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 10, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Watu wawili, akiwemo mmiliki wa Kampuni ya Salaaman Health Services Ltd, Abdi Hirsi, na Afisa Rasilimali Watu, Elia Mak…
#HABARI: Watu wawili, akiwemo mmiliki wa Kampuni ya Salaaman Health Services Ltd, Abdi Hirsi, na Afisa Rasilimali Watu, Elia Makongwa, wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza wakikabiliwa na mashtaka…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ametoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya ya Kite…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ametoa onyo kali kwa baadhi ya viongozi wa vijiji na kata katika Wilaya ya Kiteto wanaotuhumiwa kuchochea migogoro kati ya wakulima na…
Ila hawa mtu na kaka yake 😅 @aminanjuki_
Ila hawa mtu na kaka yake 😅 @aminanjuki_ (Feed generated with FetchRSS)
Jevdet hamuamini kabisa kijana wa kuitwa Jemo maana hachelewi kuibua jipya…😅
Jevdet hamuamini kabisa kijana wa kuitwa Jemo maana hachelewi kuibua jipya...😅 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mohamed Rashid Mumpa, mmiliki wa gari la abiria aina ya Hiace yenye namba T…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Mohamed Rashid Mumpa, mmiliki wa gari la abiria aina ya Hiace yenye namba T 234 BUM, kufuatia tukio la kutelekezwa kwa gari hilo…
Rigathi Gachagua Asema Ikulu Imekuwa Eneo la Uhalifu: “Corruption Hub”
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua amemshtumu Ruto kwa kugeuza Ikulu kuwa kitovu cha kutoa hongo, akidai uongozi unatolewa mhanga kwa ajenda za kisiasa.
Mudavadi kuelekea Urusi, asema Wakenya 27 wameokolewa kutoka vita vya Urusi-Ukraine
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi alifichua mipango ya kutembelea Moscow huku vifo vya Wakenya vikiongezeka kutokana na kuajiriwa kijeshi kinyume cha sheria.
Daladala yagonga wawili, yumo askari wa usalama barabarani
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia mmiliki wa daladala baada ya dereva aliyekuwa...
Mahakama ya mkoa wa Mwanza, hivi leo imewapandisha kizimbani kwa mara nyingine watu wawili na Taasisi ya Salamani Helth Serivic…
Mahakama ya mkoa wa Mwanza, hivi leo imewapandisha kizimbani kwa mara nyingine watu wawili na Taasisi ya Salamani Helth Serivice Company L.T.D, kwa mashtaka 841 yakiwemo ya uhujumu uchumi, yaliyoisababishia…
BMH moves to save more lives with new transplant fund
DODMA: THE Benjamin Mkapa Hospital (BMH) in Dodoma is introducing a special fund to support bone marrow and kidney transplants, a move aimed at expanding lifesaving treatment for children with…
Seth Mwabe: Mwanachuo aliyeshtakiwa kwa kufyonza KSh 11.4m za kampuni ya kamari akamatwa tena
Mshauri wa masuala ya usalama wa mitandao Seth Mwabe amekamatwa tena baada ya mahakama kumwachilia huru baada ya kushtakiwa kwa kuiba KSh 11.4m kutumia kompyuta.
Coastal Union yaiongezea majanga Tanzania Prisons
Mambo yanazidi kuiendea vibaya Tanzania Prisons kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya leo...
Savula afichua walichosema kwa simu na Ruto, Wetang’ula kutengwa na kura 2.6m za jamii ya Mulembe
Ayub Savula afichua simu yake na William Ruto kuhusu uchaguzi wa 2027 na anapanga kupata kura milioni 2.6 Magharibi mwa Kenya, akimkwepa Wetang'ula.
Wakati mradi wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi, unaotekelezwa mkoani Simiyu kwa Shilingi Bilioni 440 ukiwa umefikia asilimia 51, Wa…
Wakati mradi wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi, unaotekelezwa mkoani Simiyu kwa Shilingi Bilioni 440 ukiwa umefikia asilimia 51, Wananchi wa Mkoa huo, wameiomba Serikali kuharakisha ukamilishwaji wa mradi huo…
Waziri Mkuu akutana na vigogo kujadili AFCON 2027
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba leo Jumanne, Februari 10, 2026...
Wataalamu watakiwa kuwasaidia viongozi kufanya maamuzi sahihi
Wasomi na wataalamu wametakiwa kusimamia ukweli na kutumia taaluma zao kusaidia maamuzi ya...
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja. Waziri huyo ametoa maelekezo hayo wakati akikagua maendeleo ya barabara…
Pingamizi madai wakili kutokuwa na leseni yazua mvutano, Mahakama kutoa uamuzi kesho
Hoja ya madai ya wakili aliyesaini hati za maombi ya yaliyofunguliwa na wagombea 17 wa ACT...