Tanzania’s MNH explores healthcare partnership with Comoros
MORONI: MUHIMBILI National Hospital is exploring a strategic healthcare partnership with Comoros following a working visit aimed at strengthening military and civilian medical services in the island nation. The delegation,…
Usikose kutazama kipindi cha #KijanaLeo Ijumaa hii kikiangazia teknolojia rahisi ya kufuatilia taarifa za mifugo yako
Usikose kutazama kipindi cha #KijanaLeo Ijumaa hii kikiangazia teknolojia rahisi ya kufuatilia taarifa za mifugo yako. Ni Kuanzia saa 3:00 Usiku kupitia UTV #KikweteFoundation #KijanaLeo
Tanzania seeks the private sector’s support to attain its Vision 50 goals
DODOMA: THE Tanzanian government has pledged to continue working closely with the private sector to improve citizens’ livelihoods by ensuring the implementation of various development projects and enhancing key services,…
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Msikie Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto akitoa ufafanuzi wa mfumo uliotumika kwenye droo…
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Msikie Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto akitoa ufafanuzi wa mfumo uliotumika kwenye droo ya leo ya 64 bora ya CRDB Bank Federation Cup. Droo…
UWT Shinyanga yasitiri wasichana kwa taulo za hedhi
Shinyanga. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga...
Takukuru yatoa vifaa vya kusaidia matibabu hospitali ya rufaa Lindi
Takwimu zinaonesha kuwa takribani asilimia 11 ya watoto wanaozaliwa Tanzania huzaliwa kabla ya...
Dr Samia directs newly sworn-in leaders to live by their oaths
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has today, February 9, 2026, sworn in 19 leaders whom she appointed on February 6, this year. The appointees include regional commissioners, permanent…
Türk: Sudan ni janga la Haki za Binadamu linaloweza kuzuilika
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, leo ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwamba machafuko ya El Fasher, Sudan, ni…
Watoto 2 miongoni mwa wahamiaji 53 wanaohofiwa kufa maji kando ya pwani ya Libya
Watu 53 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kupinduka Februari 6 kwenye mji wa Zuwara ulioko pwani ya Libya.
Yaliyojiri jaridani leo: Walinda amani wa Afrika Kusini nchini DRC, Ujumushaji wa watu wenye ulemavu wa kuona, Manusura wa ukeketaji
Afrika Kusini yatangaza uamuzi wake wa kuondoa wanajeshi wake DRC Msichana mwenye ulemavu wa kuona asema, “tuwekeeni mazingira sahihi ili nasi tuoneshe uwezo wetu” Manusura Saadia Hussein asema ukekeketaji utokomezwe…
Man City’s Brydon sees ‘out of this world’ in Serengeti early-morning flight
ARUSHA: A sunrise hot air balloon safari over the Serengeti is fast becoming a must-do tourist experience, offering visitors breathtaking aerial views of wildlife and Tanzania’s iconic landscape. A European…
Picha nzima Super Bowl ya Bad Bunny na ukosoaji wa Trump
Mwanamuziki kutokea Puerto Rico, Bad Bunny ameweka historia kuwa mtumbuizaji wa kwanza wa...
Tanzania readies to host CAF’s High-Level delegation
DAR ES SALAAM: TANZANIA, is set to host the President of the Confederation of African Football (CAF), Patrice Motsepe, who will arrive in the country to chair the CAF Executive…
Askofu Kiengei Akumbwa na Msukosuko Katika Ndoa Yake ya Pili
Askofu Benson Kiengei aondokana na kashfa ya ndoa, akihubiri matumaini na kupona. Mtu wa Mungu hapo awali alitangaza kuwa ameoa mke mmoja, Mchungaji Joy.
Health Ministry tasked to fast-track construction of pharmaceutical plants
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan, has directed the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Health, Emmanuel Tayari, to closely supervise all activities related to the construction and…
Jinsi droni za kawaida tu zinavyowapa Islamic State nguvu mpya Afrika Magharibi
Waasi wamefanya wimbi la mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kwenye maeneo ya kijeshi katika eneo hilo.
Sh109 bilioni kupeleka umeme vitongoji 660 Tabora
Serikali imepanga kuhakikisha vitongoji vyote nchini vinafikiwa na huduma ya umeme ifikapo...
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Beki wa Yanga SC, Mohamed Hussein Zimbwe awaambia mashabiki wa Yanga kwamba wiki hii ni kumuomba Mungu i…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Beki wa Yanga SC, Mohamed Hussein Zimbwe awaambia mashabiki wa Yanga kwamba wiki hii ni kumuomba Mungu ili waweze kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa…
Shangwe la WanaCHADEMA wakati Mheshimiwa Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama kuu asubuhi
Shangwe la WanaCHADEMA wakati Mheshimiwa Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama kuu asubuhi. #StarTvUpdate
Africa’s mining ministers agree to fast-track mineral value addition
CAPE TOWN: AFRICAN mining ministers have agreed to fast-track mineral value addition within their countries to boost revenue, create jobs, and strengthen economic growth, with a reliable energy supply identified…
Shule ya Kimataifa ya Arusha Meru iliyopo jijini Arusha imefungua rasmi sehemu maalum ya maktaba ijulikanayo kama India Book Cor…
Shule ya Kimataifa ya Arusha Meru iliyopo jijini Arusha imefungua rasmi sehemu maalum ya maktaba ijulikanayo kama India Book Corner, mpango unaolenga kuimarisha ushirikiano wa kielimu na kitamaduni kati ya…
Tanzania sees completion of 40 bridges in 100 days
ARUSHA: THE government has completed 40 emergency bridge projects worth over 500bn/- within President Samia Suluhu Hassan’s first 100 days, significantly improving transport infrastructure across the country. The Minister for…
Watu 53 wahofiwa kufa maji baada ya boti kuzama pwani ya Libya
Watu wasiopungua 53 wakiwemo watoto wawili wadogo wameripotiwa kwamba, ama wamekufa maji au kutoweka, baada ya boti dhaifu ya plastiki iliyokuwa imebeba makumi ya wahajiri kuzama karibu na pwani ya…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uteuzi wa watendaji wa nafasi mbalimbali alioufanya hivi karibuni, umelenga kuongeza kasi y…
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amesema uteuzi wa watendaji wa nafasi mbalimbali alioufanya hivi karibuni, umelenga kuongeza kasi ya utendaji, kuimarisha uwajibikaji, kulinganisha majukumu na vipaumbele vya Taifa na kuendana…
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Ule uhondo wa mchezo wa #Vishada siu yake imewadia
ZANZIBAR CUP KASKAZI 2026: Ule uhondo wa mchezo wa #Vishada siu yake imewadia. Timu ya #AzamTV ikiwa katika maandalizi ya mwisho kuelekea #ZanzibarCupKaskazi2026 ikiwa ni msimu wa tano. Mashindano haya…
Madonna aibukia soka kisa watoto wake mapacha
Habari kubwa juzi nchini England ni ile ya mwanamuziki nyota wa Pop kuonekana katika viwanja...
Tanzanian envoy lures Swedish investments in trade, investment sectors
STOCKHOLM: TANZANIA has stepped up efforts to attract Swedish investors after Ambassador Mobhare Matinyi led a high-level engagement in Stockholm, highlighting trade and investment opportunities back home. The strategic meeting…
Kiongozi Muadhamu awataka Wairani kuwakatisha tamaa maadui Bahman 22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa wito kwa taifa la Iran kuonyesha irada, azma thabiti na kusimama kidete, kwa kushiriki kwa wingi katika matembezi na…
Zaidi ya wachimbaji wadogo 5,000 waliofukuzwa kwenye eneo la mgodi katika kijiji cha Kanyindo wilayani Chato wameiomba serikali …
Zaidi ya wachimbaji wadogo 5,000 waliofukuzwa kwenye eneo la mgodi katika kijiji cha Kanyindo wilayani Chato wameiomba serikali iharakishe suluhu ya mgogoro kati yao na mwekezaji ili kurejesha utulivu na…
Shule ya Msingi Mkwajuni iliyolazimika kuathiri ratiba za masomo kwa wanafunzi wake baada ya baadhi ya madarasa kuezuliwa paa ku…
Shule ya Msingi Mkwajuni iliyolazimika kuathiri ratiba za masomo kwa wanafunzi wake baada ya baadhi ya madarasa kuezuliwa paa kufuatia upepo mkali imepatiwa Shililingi Milioni 96 kwa ajili ya ujenzi…
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: “CRDB Bank Federation Cup ni shindano la hadhi ya kitaifa”
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: “CRDB Bank Federation Cup ni shindano la hadhi ya kitaifa” Meneja Mashindano wa TFF, Baraka Kizuguto anasema michuano ya CRDB Bank Federation Cup, ni mashindano…
Zaidi ya wakazi 4,000 wa wilaya ya Kilolo wameanza kunufaika na Bima ya Afya Kwa Wote baada ya kuanza kutekelezwa kwa utaratibu …
Zaidi ya wakazi 4,000 wa wilaya ya Kilolo wameanza kunufaika na Bima ya Afya Kwa Wote baada ya kuanza kutekelezwa kwa utaratibu huo hivi karibuni. Huduma hiyo inayotolewa kwa inayogharimu…
Yanga, Simba wapewa vibonde Kombe la CRDB
Yanga itaanza kutetea taji lake la Shirikisho la CRDB kwa kukabiliana na Cosmopolitan wiki...
Kaka 4 Wafariki Wakiogolea Katika Maadimwi huko Kisumu
Msiba ulikumba Kisumu huku ndugu wanne wakizama kwenye machimbo ya mawe walipokuwa wakiogelea. Wakazi waliomboleza msiba huo mbaya, na uchunguzi unaendelea.
Tehran yakataa “masharti ya kulazimishwa” katika mazungumzo na Washington
Rais wa Iran alisema kwamba watu wa Iran hawatavumilia lugha ya vitisho au matumizi ya nguvu. Alitaka mbinu ifanywe kwa kuzingatia heshima na uelewano wa pande zote.
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Tazama matokeo ya drooo ya hatua ya 64 bora iliyofanyika leo ndani ya studio za #AzamTV
DROO CRDB BANK FEDERATION CUP: Tazama matokeo ya drooo ya hatua ya 64 bora iliyofanyika leo ndani ya studio za #AzamTV. Yanga itacheza dhidi ya Cosmopolitan FC, Simba dhidi ya…
Samia ataja sababu kuwaondoa wasaidizi wake Ikulu, mkeka wa Ma DC…
Amesema uamuzi wake wa kuwaondoa baadhi ya wasaidizi wake Ikulu na kuwapa nafasi nyingine...
LALIGA leo Jumatatu
LALIGA leo Jumatatu Saa 5:00 usiku, Villarreal watakuwa nyumbani Estadio de la Cerámica wakiwakaribisha Espanyol. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports4HD. @laliga
MKU Yamfadhili Jamaa Aliyeshindwa Kupata Karo ya Chuo Kikuu kwa Miaka 11
Duncan Kibet alisafiri kilomita 200 kutoka Bomet hadi Nairobi kutafuta karo ya chuo kikuu baada ya kuwa nje kwa miaka 11. MKU ilimpa kiingilio bila masharti.
Utaratibu wa hospitali kuzuia maiti ulivyokomeshwa
Katikati ya majonzi hayo, unakutana na bili kubwa ya matibabu ya mgonjwa wako, ndugu mkielezwa...
Hali ya hewa ya upepo imetajwa kuwa kikwazo cha upatikanaji wa samaki katika maeneo mengi nchini
Hali ya hewa ya upepo imetajwa kuwa kikwazo cha upatikanaji wa samaki katika maeneo mengi nchini. Farasi ametembelea Soko la Kimataifa la Samaki la Feri, Dar es Salaam na kukuta…
Makonda: Gamondi kabaki yeye tu kusaini mkataba
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake…
Jeshi la Mali: Makumi ya wanamgambo wameuawa karibu na Segou
Jeshi la Mali limetangaza habari ya kufanya wimbi la mashambulizi yaliyoratibiwa ambayo yamewaua makumi ya washukiwa wa ugaidi, wakati wa operesheni zilizofanyika magharibi mwa jiji la Segou, katikati ya nchi.
Spika: Iran inajiimarisha kijeshi sambamba na diplomasia
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran), Mohammad-Bagher Ghalibaf amesema Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia diplomasia sanjari na kuimarisha uwezo wake wa kiulinzi na kijeshi ili iweze kukabiliana…
Harakati ya BDS yalaani undumakuwili wa Human Rights Watch
Kamati ya Kitaifa ya Palestina ya harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina BDS imelikosoa vikali shirika la kutetea haki za binadamu la…
UNATAKA KUIFAHAMU VIZURI ‘Zero Kote Kote’?
UNATAKA KUIFAHAMU VIZURI 'Zero Kote Kote'? Wawakilishi wa Azam Pesa wanaweka kila kitu hadharani. Hii sio ya kukosa... ZIRO KOTEKOTE!! Miamala BURE kwa Azampesa.
Polisi wa Zamani Atishia Kumfunga Rais Ruto Jela 2027
Aliyekuwa afisa wa gereza Shakur ahudhuria mkutano wa ODM Busia, aapa kumtupa Ruto jela ikiwa upinzani utashinda; Sifuna alikosoa UDA kwa kuzembea.
Dar braces for the Tanzania Service Excellence Awards gala
DAR ES SALAAM: THE Chartered Institute of Customer Management (CICM) has named categories to be won in the 3rd edition of Tanzania Service Excellence Awards (TSEA) 2026, scheduled to kick…
NBC Premier League leo Jumatatu
NBC Premier League leo Jumatatu Saa 10:00 jioni, JKT Tanzania watakuwa uwanja wa nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwakaribisha Mashujaa FC kutoka Kigoma. Ni mechi ya maafande hii, je nani kupigishwa…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Soko jipya la Kariakoo limejengwa kwa kodi za wananchi na ni uwekezaji mkubwa uliofanywa na Ser…
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Soko jipya la Kariakoo limejengwa kwa kodi za wananchi na ni uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali ili kuweka mazingira mazuri ya kufanyia biashara. Akizungumza katika…