Kenya’s pride, economic strength and robustness at cross-roads
NAIROBI: MANY born in the 80s and early 90s may recall that, long ago, Kenya had a sizeable, cutting-edge economy and could count on East African countries to buy its…
Misri: Tunaunga mkono umoja wa ardhi ya Somalia na kupinga kuingilia masuala ya ndani ya mataifa mengine
Rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri amesema kuwa, Cairo inaunga mkono umoja wa ardhi ya Somalia na inasisitiza umuhimu wa ushiriki wake katika misheni ya kulinda amani ya Umoja wa…
Maandamano katika miji mikuu mingi ya kutaka kuingizwa misaada Gaza na kulaani jinai za Israel
Miji mikuu mingi ya dunia imeendelea kushuhudia maandamano ya kulaani ukiukaji unaoendelea wa utawala wa Kizayuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.
Ethiopia yaitaka Eritrea iondoe haraka vikosi kwenye ardhi yake
Serikali ya Ethiopia imeitaka nchi jirani ya Eritrea kuondoa haraka wanajeshi wake ambao inadai wako ndani ya eneo lake.
Tanzania: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu inaendelea tena leo
Mahakama Kuu ya Tanzania imepanga kuendelea tena kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa upinzani Tundu Lissu. Ripoti zinasema, kesi hiyo inaendelea leo Jumatatu Februari 9 hadi Machi 6, 2026, mbele…
Tanzania’s space ambitions take off
DODOMA: THE government has unveiled a Five-Year Strategic Plan for Space Programmes (2025–2030), marking a major step in strengthening Tanzania’s role in advanced satellite technology and global space initiatives. Presenting…
Ulega: Uchunguzi mkataba mkandarasi wa barabara Kagera umeanza
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema mchakato wa kuvunja mkataba na mkandarasi wa kampuni...
Mkenya Afungwa Jela Miaka 6 kwa Kucheka Baada ya Kusababisha Ajali Mbaya huko Marekani
Dereva Mkenya Joseph Nyandwaro amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela kwa kusababisha kifo cha mwenzake Osman Aden katika tukio la ajali barabarani
Sudan: Ndege zisizo na rubani, silaha inayozidi kutumiwa na wanamgambo wa RSF
Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilikuwa na ndege zisizo na rubani mpya 85 mwanzoni mwa mwez Januari, kulingana na Maabara ya Utafiti wa Kibinadamu katika Chuo Kikuu cha Yale,…
…Government guarantees access, security
DAR ES SALAAM: THE government has committed to clearing all access roads and neighbouring streets surrounding the New Kariakoo Main Market to ensure 24-hour operations, enhanced security and the protection…
Sababu, athari za mashabiki kupungua viwanjani
Katika misimu ya nyuma, viwanja vya soka nchini vilikuwa sehemu ya shamrashamra na mikusanyiko...
Zuchu anavyomuwinda Tyla
Kwa sasa Zuchu ni kati ya wanamuziki wenye nguvu kubwa ya ushawishi Afrika Mashariki kutokana...
Tanzania reopens regional trade hub
Samia demands high standards New Kariakoo Main Market to revitalise trade across EAC, SADC DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed responsible government authorities to ensure that the…
Algeria yasitisha mkataba wa huduma za anga za nchi mbili na Falme za Kiarabu
Uamuzi huu, hatua ya kwanza madhubuti iliyochukuliwa na Algiers dhidi ya Abu Dhabi, unakuja huku kukiwa na mashambulizi yaliyofichwa yaliyoanzishwa na Algeria dhidi ya Falme za Kiarabu kwa miaka kadhaa.…
Fujo Baada ya Polisi Kumpiga Risasi na Kumuua Mwanafunzi wa KMTC
Ghasia zilishuhudiwa katika mtaa wa Huruma huku mwanafunzi wa KMTC Cheryl Adhiambo akiuawa kwa risasi. Rais Ruto akosoa mipango ya kufufua muungano wa Azimio.
DRC yakubali kuwapokea raia wake wasio na vibali waliofukuzwa nchini Uingereza
Baada ya mazungumzo mengi na shinikizo kubwa kutoka kwa mamlaka ya Uingereza, London na Kinshasa hatimaye zimefikia makubaliano ambapo DRC imejitolea kuwarejesha nyumbani raia wake wasio na vibali waliofukuzwa nchini…
Mwimbaji Maarufu wa Nyimbo za Injili Nigeria Auawa Studioni Akirekodi Wimbo
Watu wanne, akiwemo mwimbaji wa nyimbo za Injili Matthew Ogundele, walipatikana wamefariki katika studio ya Lagos huku polisi wakianzisha uchunguzi.
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 9, 2026 kwenye
Mapitio ya #MAGAZETI leo Februari 9, 2026 kwenye #Moorning Trumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
‘Akili ya Trump’: Mshauri anayeendesha sera zenye utata zaidi za rais
Kwa miaka mingi Stephen Miller amekuwa moto wa kihafidhina katika mzunguko wa kisiasa wa Donald Trump.
MZEE WA FACT: Ulimwengu wa michezo haujaachwa salama
Dunia imepigwa na butwaa baada ya wizara ya sheria ya Marekani kuweka wazi nyaraka za Epstein...
DRC: Afrika Kusini yawaondoa wanajeshi wake 700 katika kikosi cha MONUSCO kwa sababu za bajeti
Afrika Kusini imetangaza kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa (MONUSCO) nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Katika taarifa yake, ofisi ya rais inabainisha…
LeBron aweka rekodi tena
Kwa takribani miongo miwili, LeBron James amekuwa akichaguliwa kuwa mchezaji wa All-Star.
Ethiopia inaishutumu Eritrea kwa uchokozi wa kijeshi na kuunga mkono makundi yenye silaha
Waziri wa mambo ya nje wa Ethiopia ameishutumu Eritrea jirani kwa uchokozi wa kijeshi na kuunga mkono makundi yenye silaha katika eneo la Ethiopia, kulingana na barua iliyoonekana na shirika…
Aweso aagiza mradi wa maji Urambo, Kaliua ukamilike ndani ya wiki tatu
Aweso amemuagiza mkandarasi kuhakikisha mita 600 zilizobaki za ulazaji wa mabomba na usambazaji...
Kesi ya Lissu kunguruma kwa siku 20 mfululizo, kuanza leo
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...
Kesi ya Lissu kuunguruma kwa siku 20 mfululizo, kuanza leo
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu...
Mwanamke Auawa Kirinyaga na Mwili Kutupwa Nyumbani Kwake Usiku
Huzuni imekumba kijiji cha Tokyo baada ya Jane Wambui, 40, akipatikana ameuawa. Mumewe anataka haki, huku jamii ikimuomboleza mtu anayependwa na anayeaminika.
Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu kuendelea Februari 9, 2026
Mahakama Kuu ya Tanzania imepanga kuanza tena kwa kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kuanzia leo Jumatatu Februari 9 hadi Machi 6, 2026, mbele ya Mahakama Kuu…
Hali si shwari afya ya Salif Keita, ashindwa kutumbuiza Sauti za Busara
Nguli wa muziki kutoka Mali, Salif Keita ameshindwa kupanda kwenye jukwaa la Sauti za Busara...
Makubaliano yoyote kati ya Iran na Marekani hayana maana – Israel
Waziri wa nishati wa Israel Eli Cohen asema hakuna haja ya kufanya mazungumzo na utawala wa sasa kwani nchi zote za Kiislamu zinazoizunguka Iran zinataka mabadiliko ya utawala.
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: Tonali kuziba pengo la Casemiro Man United?
Sandro Tonali yuko kwenye orodha ya wachezaji walioteuliwa na Manchester United kuchukua nafasi ya Casemiro
Pezeshkian: Iran haikubali mabavu na mantiki yake ya nyuklia imejikita katika Mkataba wa NPT
Rais Masoud Pezeshkian amepongeza duru mpya ya mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani na kuitaja kuwa “hatua ya kusonga mbele,” akisisitiza kuwa msimamo…
Jenerali Mousavi: Iran iko tayari kikamilifu kutoa jibu la haraka na kali kwa uchokozi wowote
Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa ingawa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kikamilifu kutoa jibu la haraka, kali na litakaloleta majuto kwa uchokozi wowote, haina…
Hamas yalaani mradi wa kifashisti na kikoloni wa Israel unaolenga kulitwaa eneo la Ukingo wa Magharibi
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani vikali maamuzi mtawalia yaliyopasishwa na baraza la mawaziri la Israel jana Jumapili. Hamas imeyataja maamuzii hayo kuwa ni sehemu ya mradi…
Rais wa Somalia aapa kuzuia kambi ya kijeshi ya Israel katika eneo la Somaliland
Rais wa Somalia amelaani vikali kile hatua ya utawala wa Israel kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake, akiahidi “kukabiliana” na uwepo wowote wa kijeshi wa Israel katika eneo la…
Kenya yaanza kuondoa askari Haiti huku kikosi kipya cha UN kikichukua hatamu
Kenya itapunguza idadi ya maafisa wake wa polisi waliotumwa nchini Haiti baada ya kukamilisha jukumu lao kuu la kuleta uthabiti wa kiusalama. Hayo ni kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa…
Kwa nini China inatetea “haki ya nyuklia” ya Iran?
China kwa mara nyingine tena imesisitiza juu ya kutetea haki ya nyuklia ya Iran.
Jumatatu, 09 Februari, 2026
Leo ni Jumatatu tarehe 20 Sha'ban 1447 Hijria mwafaka na 9 Februari 2026.
Melis kazi anayo wakirudi nyumbani😅 #AzamTWO
Melis kazi anayo wakirudi nyumbani😅 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Msimamo wa kundi “D” baada ya kila timu kucheza mechi tano
CAFCL: Msimamo wa kundi “D” baada ya kila timu kucheza mechi tano. FT: Stade Malien 1-0 Esperance de Tunis Ilikuwa LIVE #ZBC2 #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #StadeMalienVsEsoerancedeTunis #StadeMalien #Esperance
Muziki wa reggae, unaotambulika zaidi katika visiwa vya Caribbean nchini Jamaica , lakini sasa unapata sauti mpya kutoka nyanda …
Muziki wa reggae, unaotambulika zaidi katika visiwa vya Caribbean nchini Jamaica , lakini sasa unapata sauti mpya kutoka nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, Kupitia lugha ya Kihehe, mwanamuziki…
William Ruto amcheka Uhuru Kenyatta kuhusu kufufuliwa kwa Azimio kabla ya uchaguzi wa 2027
Rais William Ruto alisema kuwamba kufufuliwa kwa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya na Uhuru Kenyatta hakuleti tishio kwa azma yake ya kuchaguliwa tena 2027.
#HABARI: Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania Mhe
#HABARI: Waziri wa Ujenzi nchini Tanzania Mhe. Abdallah Ulega amesema katika kipindi cha siku 100 za awali za Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Mwezi Novemba, Disemba na…
#CAFCC: CR Belouizdad imeshinda tena mbele ya Singida BS
#CAFCC: CR Belouizdad imeshinda tena mbele ya Singida BS. FT: Singida BS 0-1 CR Belouizdad Ilikuwa LIVE #AzamSport2HD #CAFCC #CAFConfederationCup #KombeLaShirikishoAfrika #SingidaBSVsCRBelouizdad #SingidaBS #CRBelouizdad
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kanda ya Kati (DCEA) imeteketeza kilo 600 za dawa za kulevya aina ya bangi …
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kanda ya Kati (DCEA) imeteketeza kilo 600 za dawa za kulevya aina ya bangi na mirungi, ambazo zimetokana na kesi za…
#BSSNextLevelRevolution | Abiud amesema hii leo ni mpya…
#BSSNextLevelRevolution | Abiud amesema hii leo ni mpya… Usikose msimu mpya wa BSS msimu wa 16 kupitia @sinemazetuhd na @azamtvmaxapp kuanzia Machi 22, 2026. #BongoStarSearch (Feed generated with FetchRSS)
CAFCL: Stade Malien wametinga hatua ya robo fainali
CAFCL: Stade Malien wametinga hatua ya robo fainali. FT: Stade Malien 1-0 Esperance de Tunis Ilikuwa LIVE #ZBC2 #CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #StadeMalienVsEsoerancedeTunis #StadeMalien #Esperance
Jamii ya watu wanaofuga nywele za mtindo wa rasta, maarufu kama Marasta, imekuwa ikitambulika kwa sababu mbalimbali iwe ni kwa m…
Jamii ya watu wanaofuga nywele za mtindo wa rasta, maarufu kama Marasta, imekuwa ikitambulika kwa sababu mbalimbali iwe ni kwa misingi ya imani za kiroho, kufuata mitindo ya fasheni au…