Wanahabari wa Afrika waunda Muungano wa Kupinga Mauaji ya Kimbari ya Israel Gaza
Waandishi wa habari kutoka bara zima la Afrika wamezindua muungano uliopewa jina la ‘African Journalists Against Genocide (AJAG)’ wenye lengo la kupinga kile wanachoeleza kuwa ni mauaji ya kimbari ya…
Je, ushirikiano wa kijeshi wa Marekani na Nigeria unaongeza hatari ya ukiukaji wa haki za binadamu?
Hivi karibuni Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuwa ili kuisaidia Nigeria katika mapambano dhidi ya makundi ya kigaidi, imekubali kuiuzia nchi hiyo silaha zenye thamani ya takriban…
Ufaransa 'yamjia juu' balozi wa US Paris kwa kuituhumu kuwa inahatarisha maisha ya Mayahudi
Ufaransa imemwita balozi wa Marekani nchini humo Charles Kushner, baada ya mwanadiplomasia huyo kumwandikia barua Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akidai kwamba Paris imeshindwa kuchukua hatua za kutosha kukomesha vitendo…
Uganda: Upinzani wakosoa makubaliano ya kupokea wahamiaji
Maafisa wa Uganda hawajatoa maelezo ya kina kuhusu makubaliano hayo na Marekani ingawa walisema wanapendelea kupokea wahamiaji waliotoka barani Afrika na hawataki watu wenye rekodi za uhalifu. Uganda inapendekezwa kumpokea…
EU yasisitiza kuiunga mkono "kwa dhati" ICC baada ya US kuwawekea vikwazo waendesha mashtaka 2
Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya amesema “amesikitishwa sana” na uamuzi wa Marekani wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC). BONYEZA HAPA USOME…
Hali yaripotiwa kurejea ya kawaida mjini Uvira, DR Kongo
Ukiwa unapatikana kwenye kwenye mwambao wa Ziwa Tanganyika, mji wa Uvira ni mji wa pili kwa jimbo la Kivu Kusini na wenye umuhimu mkubwa wa kiuchumi si tu kwa Jamhuri…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 26, AGOSTI 2025
Mawaziri wa kizayuni watoa msimamo kuhusu Ghaza: "Wazingireni, waacheni wafe kwa njaa"
Mawaziri wa utawala wa kizayuni wa Israel wenye misimamo mikali ya chuki wametetea waziwazi hatua ya kuwatesa kwa njaa Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa w…
#HABARI: Wilyaya ya Singida imeweka mkakati kati ya VETA na Jeshi la Magereza, Wilaya ya Singida, ili kuhakikisha wafungwa wanapatiwa mafunzo ya muda mfupi ya ufundi stadi, ili wanapo maliza…
Botswana yatangaza dharura ya kiafya huku kukiwa na uhaba mkubwa wa dawa
Botswana imetangaza dharura ya kiafya huku nchi hiyo ikikabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa na vifaa tiba. Uhaba huo umesababisha hospitali na zahanati nchini humo kuhangaika kutibu magonjwa kuanzia shinikizo…