Iran yautaka Umoja wa Mataifa kurekodi kukiri Trump kuhusika Marekani katika uvamizi dhidi ya Iran
Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kusajili tamko la Trump la kukiri kuhusika moja kwa moja Marekani katika uchokozi na…
Zaidi ya watu 200 washtakiwa kwa uhaini nchini Tanzania
Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa…
Mahakama ya Uturuki yatoa waranti wa kukamatwa Netanyahu kwa kutenda jinai Gaza
Mahakama ya Uturuki imetoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, waziri wake wa ulinzi na maafisa wengine 35 wakuu wa Israel kwa tuhuma za "uhalifu wa kivita…
Mahakama ya Uturuki yatoa waranti wa kukamtwa kwa Netanyahu
Mahakama moja ya Istanbul, Uturuki, imetoa waranti wa kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na maafisa wengine 36 wa serikali yake kwa tuhuma za uhalifu dhidi ya ubinadamu…
Wamorocco waandamana kuunga mkono Palestina na kulaani mzingiro Gaza
Maelfu ya wananchi wa Morocco wameingia mitaani na kushiriki maandamano ya kutangaza mshikamano wao na wananchi wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, sanjari na kulaani mzingiro dhidi ya Gaza na…
Senegali: Athari zaonekana tayari kufuatia kusogezwa mbelea kwa mazungumzo na IM
Ujumbe wa IMF, ulioondoka Dakar Alhamisi, Novemba 6, mwishoni mwa ziara yake ya nne katika mwaka mmoja, ulitaka kuuhakikishia umma: ingawa ziara yake bado haikufanya kupatikane kwa mkopo mpya kwa…
Ehud Barak: Utawala wa Israel umo katika hatari ya kusambaratika kabisa
Waziri Mkuu wa zamani wa utawala haramu wa Israel Ehud Barak ameonya katika matamshi kuwa utawala wa Israel unaporomoka mbele ya macho ya Wazayuni.
Gamondi alipochomoza katikati ya wazawa
NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, akichukua nafasi ya Mtanzania Hemed Suleiman ‘Morocco’. TFF na…
Rutte akusudia kuangazia uwezo wa nyuklia wa NATO
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kujihami, NATO, Mark Rutte, amesema katika siku zijazo, anakusudia kuangazia zaidi uwezo wa nyuklia wa muungano huo wa ulinzi wa nchi za Magharibi, kama kingi…
Nabih Berri: Haiwezekani kwa Lebanon kuanzisha uhusiano na Israel
Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
Nabih Berri: Haiwezekani kwa Lebanon kuanzisha uhusiano na utawala wa kizayuni wa Israel
Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza kuwa, yeyote anayetaka kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel anapaswa kujua kwamba, jambo kama hilo haliwezekani.
Afghanistan’s Taliban blames ‘irresponsible’ Pakistan as peace talks fail
AFGHANSTAN: AFGHANSTAN’S Taliban rulers have blamed Pakistan for a lack of results after mediated talks by Qatar and Turkiye in Istanbul, but have insisted a previously agreed ceasefire will hold…
Trump: Marekani haitahudhuria mkutano wa G20 Afrika Kusini
Rais wa Marekani Donald Trump, amesema hakuna afisa wa Marekani atahudhuria mkutano wa kilele wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini, kwa madai yasiyo na ushahidi ya "kuuawa na kuchinjwa" kwa raia…
Trump exempts Hungary from sanctions for buying Russian oil
HUNGARY: HUNGARIAN Prime Minister Vickor Orban said Friday his country received an exemption from US sanctions on imports of Russian oil. Orban was speaking with reporters from Hungarian media outlets…
SADC congratulates President Samia on election victory
DODOMA: LEADERS of the Southern African Development Community (SADC) have congratulated President Samia Suluhu Hassan on her victory in the October 2025 General Election. These remarks were made at the…
Sudan: UM waonya kuhusu kuongezeka kwa vita licha ya makubaliano ya RSF ya kusitisha mapigano
Nchini Sudan, hakuna dalili ya kupungua kwa mapigano kufuatia tangazo la RSF siku ya Alhamisi, Novemba 6, la makubaliano yake ya kusitisha mapigano kwa ajili ya kupiisha misaada ya kibinadamu…
Mtoto wa muuguzi asimulia alivyokutana na waganga wa jadi -2
Jana katika simulizi ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Patricia...
Travelers face mounting delays this weekend as airlines cut hundreds of flights due to the shutdown
USA: DISGRUNTLED travelers across the US will face more disruptions to their plans this weekend, as airlines cancel hundreds of additional flights and delays continue to mount due to air…
Mwanajeshi wa Uingereza akamatwa kwa mauaji ya mwanamke wa Kenya mwaka 2012
Robert James Purkiss aliyekamatwa huko Tidworth, Wiltshire mnamo 6 Novemba na alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu ya Westminster siku ya Ijumaa na huenda akarejeshwa Kenya kujibu mashtaka
Ndani ya Boksi: Mitandao inapogeuka uwanja wa kivita
Kizazi cha sasa hakina muda wa kusubiri taarifa kwenye TV. Kila kitu kiko mkononi. Kwenye X...
Polisi yawasaka 10 wakihusishwa na vurugu za Oktoba 29
Jeshi la Polisi limesema linaendelea na msako mkali kuwatafuta wanaotuhumiwa kupanga, kuratibu...
Chalamila asisitiza amani Dar
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika kikao maalumu Da es Salaam. RC Chalamila ameongoza mjadala wa…
Paris yawashauri raia wa Ufaransa ‘kupanga kuondoka kwa muda’ nchini Mali
Katika taarifa iliyotolewa siku ya Alhamisi, Novemba 7, 2025, Wizara ya Mambo ya Nje ya Ufaransa “inawataka raia wa Ufaransa waweze kupanga kuondoka kwa muda nchini Mali haraka iwezekanavyo,” ikiwashauri…
Mawakala 120 Marekani wavutiwa utalii Tanzania
MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini Tanzania, hususan mandhari ya kuvutia, wanyamapori, na urithi wa utamaduni wa kipekee. Tukio…
Trump aapa hakuna afisa wa Marekani atakayehudhuria Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini
Trump anasema anatarajia kuandaa Mkutano wa G20 wa 2026 huko Miami.
#TANZIA
#TANZIA Azam Media Limited inasikitika kutangaza kifo cha mtumishi wake, Ally Mkongwe, kilichotokea Novemba 7, 2025 katika Hospitali ya Besta, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu. Mkongwe ambaye alikuwa Mwongoza…
Dr Mwinyi swears in Hemed Suleiman as Isles second VP
ZANZIBAR: ZANZIBAR President and Chairman of the Revolutionary Council, Dr Hussein Ali Mwinyi, has sworn in Hemed Suleiman Abdulla as the Second Vice President of Zanzibar. Hemed Suleiman Abdulla has…
Rais Mwinyi amuapisha Makamu wa Pili
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. The post Rais Mwinyi amuapisha…
Uturuki yatoa hati ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu, juu ya mashtaka ya mauaji
Israel imeua karibu watu 69,000, wengi wao ni wanawake na watoto, na kujeruhi zaidi ya 680,600 wengine katika mauaji ya kimbari katika Gaza tangu Oktoba 2023.
Muziki ni kwa ajili ya nani?
The music’s for the sad man. Ni moja ya mistari iliyopo katika wimbo wa rapa kutokea Marekani...
Iran: Madai ya njama ya kumuua balozi wa Israel huko Mexico ni ‘uongo mkubwa’, Mexico pia yakadhibisha
Iran imekadhibisha vikali madai yaliyotolewa na Marekani na Israel kwamba Jamhuri ya Kiislamu ilikuwa na mipango ya kumuua balozi wa Israeli nchini Mexico, ikiyataja madai hayo kuwa ni "uongo mkubwa."
AU yatoa wito wa kuheshimiwa mamlaka ya kujitawala Nigeria, yapinga vitisho vya Trump
Tume ya Umoja wa Afrika imeelezea wasiwasi wake kuhusu kauli za hivi karibuni za Marekani, ambazo zimeituhumu serikali ya Nigeria kuwa inashiriki katika mauaji iliyodai kuwa yanayowalenga Wakristo, na kudokeza…
Ghannouchi na wanaharakati wa kisiasa wagoma kula kuonyesha mshikamano na Ben Mbarek
Timu ya utetezi ya Rached Ghannouchi, spika wa zamani wa Bunge la Tunisia na mkuu wa harakati ya Ennahda, ilitangaza jana Ijumaa kwamba mwanasiasa huyo mkongwe ameanza mgomo wa kula…
Ghannouchi na wanaharakati wa kisiasa wagoma kula kuonyesha mshikamano na Ben Mbarekk
Timu ya utetezi ya Rached Ghannouchi, spika wa zamani wa Bunge la Tunisia na mkuu wa harakati ya Ennahda, ilitangaza jana Ijumaa kwamba mwanasiasa huyo mkongwe ameanza mgomo wa kula…
UN: Mashambulizi ya walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi yamefikia kiwango cha juu zaidi
Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba walowezi wa Israel wamefanya mashambulizi yasiyopungua 264 dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu mwezi uliopita wa Oktoba, ikiwa ni idadi kubwa…
Wanaharakati wa Kenya waliotekwa nchini Uganda waachiwa huru
Wanaharakati wawili raia wa Kenya ambao walikuwa wametoweka wakati wakihudhuria mkutano wa kisiasa wa mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, wamechiwa huru. Imechapishwa: 08/11/2025 – 08:52Imehaririwa: 08/11/2025 – 09:16 Dakika 2…
Mikoa yajipanga kuimarisha amani, umoja
BAADHI ya wakuu wa mikoa wamebainisha mikakati ya kuhakikisha maeneo yao na wananchi yanaendelea kuwa na amani na kuendelea kufanya shughuli zao za kijamii na kiuchumi kama kawaida. Mkuu wa…
Watanzania zaidi ya 200 walioshiriki maandamano washtakiwa kwa uhaini
Zaidi ya watu 200 wameshtakiwa kwa makosa ya uhaini nchini Tanzania, wakili wao pamoja na vyanzo vengine katika idara ya mahakama vimeliambia shirika la habari la AFP. Imechapishwa: 08/11/2025 –…
SADC yampongeza Samia ushindi Uchaguzi Mkuu
MAKAMU wa Rais Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk Samia Suluhu Hassan imechukua hatua za kurejesha utengamano katika nchi na kuhakikisha wananchi wanaishi katika utawala wa…
Balozi wa Russia nchini Sudan: Mamluki wa Ukraine wanaendeshaji droni huko Darfur
Balozi wa Russia nchini Sudan, Andrey Chernovol, ameripoti kwamba kuna uvumi unaosambaa nchini Sudan kuhusu uwepo wa Waukreini wanasimamia operesheni za ndege zisizo na rubani katika safu ya waasi wa…
Tanzania to feature in Africa Women Basketball League
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Basketball Federation (TBF) has confirmed the country’s participation in the upcoming Africa Women Basketball League (AWBL), a continental club tournament organized by FIBA Africa. Through…
Mama wa Diddy ‘Janice’ akana kesi ya hakimiliki Bad Boy
Mama mzazi wa mwanamuziki wa Hip Hop na mfanyabiashara, Sean ‘Diddy Combs, Janice amejibu...
NBC Premier League leo Jumamosi
NBC Premier League leo Jumamosi Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa CCM Kirumba wakiwakaribisha Singida BS. Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba lao la nyumbani Meja Jenerali…
Je Zuchu kuendeleza ubabe TMA 2024?
Ndilo swali la wengi baada ya kuwekwa wazi kuwa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa msimu wa...
Kauli ya Trump inathibitisha Marekani ilishirikiana na Israel moja kwa moja kuishambulia Iran
Iran imesema kuwa Marekani ilihusika moja kwa moja katika uvamizi wa utawala wa Israel dhidi yake mnamo mwezi Juni, ikinukuu kauli za hivi karibuni za Rais Donald Trump wa Marekani,…
Kwa nini New Delhi imekhitari sera ya kuwa karibu zaidi na Tel Aviv?
India na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeanzisha uhusiano mkubwa baina ya pande hizo mbili katika miaka ya hivi karibuni.
Jumamosi, 8 Novemba, 2025
Leo ni Jumamosi 17 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 8 Novemba 2025 Miladia.
Mahakama ya ICC yathibitisha mashtaka dhidi ya Joseph Kony
Majaji katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC yenye makao yake mjini Hague, Uholanzi wamethibitisha kuwa kiongozi wa waasi wa Uganda Joseph Kony anakabiliwa na mashtaka ya jinai za kivita…
Jeshi la Sudan lakabiliana na mashambulizi ya droni katika mji mkuu Khartoum
Jeshi la Sudan limetangaza kuwa kikosi chake cha ulinzi wa anga jana Ijumaa kilinasa kundi la ndege zisizo na rubani (droni) zilizokusudia kufanya mashambulizi katika mji wa Omdurman, magharibi mwa…
Watu 145 washtakiwa kwa uhaini wakidaiwa kuhusika katika maandamano ya vurugu Tanzania
Waendesha mashtaka nchini Tanzania jana Ijumaa wamewashtaki takriban watu 145 kwa kosa la uhaini madai ya kuhusika katika maandamano ya vurugu yaliyozuka wakati wa uchaguzi wa rais na bunge wiki…