Maelfu wahamishwa kupisha kimbunga kingine kikubwa Ufilipino
Karibu watu milioni moja wamehamishwa kutoka kwenye makazi yao kutokana na mafuriko yanayoendelea kuongezeka nchini Ufilipino kabla ya kimbunga kingine kinachotarajiwa kulipiga taifa hilo.
Maelfu ya raia wakimbia ukatili wa RSF El-Fashir, Sudan
Maelfu ya raia wamelazimika kuyakimbilia makambi ya wakimbizi yaliyofurika ili kukwepa ukatili wa wanamgambo wa RSF tangu walipoutwaa mji wa El Fasher ulioko Darfur huko nchini Sudan.
Imetimia miaka 36 tangu kuangushwa ukuta wa Berlin
Ujerumani inaadhimisha miaka 36 tangu kuanguka kwa Ukuta wa Berlin. Tukio hilo lilihitimisha enzi ya utengano na kufungua njia ya kuungana tena kwa iliyokuwa Ujerumani Magharibi na Mashariki.
Mtandao wa Madaktari Sudan: RSF imeteketeza mamia ya miili ya watu huko El Fasher
Mtandao wa Madaktari wa Sudan umesema kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vilikusanya mamia ya miili kutoka mitaani na vitongoji vya makazi ya raia vya El Fasher (mji mkuu…
Uzoefu, ukongwe bungeni kumbeba Lukuvi kuongoza uchaguzi kiti cha Spika
Wakati joto la uchaguzi wa Spika wa Bunge la 13 likizidi kupanda ndani ya vyama vya siasa...
JKT Queens na kiunzi cha kwanza Afrika
JKT Queens inarusha karata yake ya kwanza leo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ikiikabili...
Wananchi katika Al Fasher, Sudan, wanakabiliwa na ukatili ‘wa kiwango kisichoweza kuaminika’
Li Fung, Mwakilishi wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, anasema Al Fasher imekuwa mji wa huzuni kwani Kikosi cha RSF kinaendelea na mashambulizi yake ya kinyama.
Beki Mtanzania awania tuzo Marekani
BEKI wa Kitanzania, Jackson Kasanzu anayeitumikia Tormenta FC ya Ligi Daraja la Kwanza Marekani ameingia kwenye kitabu cha historia baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora kijana.
Mbongo apewa unahodha Morocco
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania, Jaruph Juma anayekipiga Ain Diab inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka la Ufukweni nchini Morocco amepewa kitambaa cha unahodha kuiongoza timu hiyo.
JKT Queens begin CAF Champions League campaign today
EGYPT: JKT Queens will kick off their first campaign in the CAF Women’s Champions League today, as they play their opening match against Gaborone United of Botswana, taking place in…
Kachwele ataja visiki Ligi Kuu Canada
WINGA wa Whitecaps FC 2 inayoshiriki Ligi ya Canada maarufu MLS Next Pro, Cyprian Kachwele amesema amekutana na mabeki wengi kwenye ligi hiyo, lakini wa timu mbili wamempa ugumu zaidi.
Said Jr anaitaka rekodi Malaysia
MSHAMBULIAJI Said Khamis 'Said Jr' anayeitumikia IFC Malaysia amesema anatamani kuandika rekodi akiwa na kikosi hicho kwa kufunga zaidi ya mabao 20.
Mamia watoweka baada ya boti kuzama katika mpaka wa Malaysia na Thailand
Mamlaka ya Usafiri wa Baharini ya Malaysia imetangaza kwamba takriban watu 290 bado hawajulikani walipo leo Jumapili baada ya boti iliyokuwa imebeba watu wapatao 300 kuzama karibu na mpaka wa…
Simulizi ya mizimu ya mganga na mauaji ya muuguzi mstaafu KCMC-3
Simulizi ya jana ya mauaji ya muuguzi mstaafu wa Hospitali ya Rufaa ya KCMC, tulisoma namna...
Minziro afichua kinachoisibu Bigman
KOCHA Mkuu wa Bigman, Fredy Felix 'Minziro', amesema sababu ya kuanza vibaya msimu huu kwa kikosi hicho ni kutokana na maandalizi mabovu ya mwanzoni mwa msimu (pre-season), ingawa viwango vya…
Yanga chase consistency as KMC battle to revive form
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans will face Kinondoni Municipal Council FC in a Mainland Premier League fixture at the KMC Complex in Dar es Salaam today, with both teams seeking…
Chama la Wana lakumbwa na ukata
TIMU ya Stand United 'Chama la Wana', imeanza kukabiliwa na ukata mapema tu baada ya baadhi ya wafadhili wa kikosi hicho kudaiwa kujiweka kando kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri…
Kocha Hausung apotezea ‘mafaza’
KOCHA wa Hausung, Hussein Rupia, amesema kukosekana kwa wachezaji wazoefu sio sababu ya mwenendo mbovu wa kikosi hicho hadi sasa, licha ya kukiri jitihada zaidi zinahitajika kuinusuru timu hiyo iliyopanda…
Mido ala kiapo Songea United, aahidi kufanya makubwa
KIUNGO wa Songea United, Gilbert Boniface, amesema kwa sasa ni wakati wa kuonyesha makali yake ndani ya timu hiyo msimu huu, baada ya kipindi kigumu akiichezea Cosmopolitan iliyoshuka daraja ikitokea…
Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake
Hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika kwa upande wa Wanawake. Mechi za kundi B kuanza kupigwa leo, wawakilishi wa Tanzania JKT Queens wanakipiga na Gaborone United, mechi hii itachezwa…
Niffer, wenzake 21 walivyorudishwa rumande
JKT Queens kazi inaanza leo CAF MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa…
Mo Banka: Bangi zilikaribia kuua kipaji changu
JKT Queens kazi inaanza leo CAF MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake Bara, JKT Queens leo watakuwa katika Uwanja wa Suez Canal uliopo Ismailia, Misri kuianza safari ya ubingwa…
Garnacho aanza kuishangaza Chelsea
Alejandro Garnacho ameendelea kuthibitisha kuwa Chelsea hawakupoteza pesa walipomsajili kwa...
Kitawaka!
ENGLAND: Manchester City watakuwa uwanja wa nyumbani wa Etihad kuwakaribisha Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa saa 1:30 usiku wa leo. City wanaingia katika mchezo huo wakiwa nafasi ya…
Chama tawala nchini Djibouti kimemteua Rais Guelleh kwa muhula wa sita
Rais Ismail Omar Guelleh amekuwa madarakani tangu 1999, na hakuna vikwazo vya kisheria vinavyomzuia kugombea tena.
Zaidi ya safari za ndege 2,000 zimefutwa nchini Marekani kwa sababu ya kufungwa kwa serikali
Waziri wa Usafiri Sean Duffy anaonya kuwa makato yanaweza kufika hadi asilimia 20 ikiwa kufungwa kwa serikali kutaendelea.
Arsenal ilivyokwaa kisiki Ligi Kuu England
Licha ya Arsenal kuonekana karibu na ushindi wa 11 mfululizo katika Ligi Kuu ya England...
Palestina inapongeza amri za kukamatwa dhidi ya maafisa 37 wa Israel kutoka Uturuki kama ‘ushindi
Amri za kukamatwa zinalenga maafisa 37 wa Israeli, akiwemo Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kwa mashtaka ya uhalifu wa mauaji ya kimbari, uhalifu dhidi ya binadamu katika Gaza.
Welcome to Republic of Wachambuzi: Where every Tanzanian is National Football Team coach
DAR ES SALAAM: If Tanzania ever needed a new republic, it wouldn’t need borders, flags or passports. It already exists, a nation within a nation; The Republic of Wachambuzi. A…
Ujumbe wa Erdogan ‘Azerbaijan haiko peke yake’ ulipelekea ushindi wa Karabakh: Aliyev
Rais wa Azerbaijan anasifu juhudi za ujenzi wa taifa, asante Uturuki na Pakistan kwa msaada.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 9, 2025
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers muda wote bonyeza hapa
Russia yaimarisha maandalizi ya vita ya nyuklia kufuatia maagizo ya Rais Putin
Wizara ya mambo ya nje ya Russia imeanza kuchukua hatua za kutathmini uwezo wa taifa katika nyanja za nyuklia, kufuatia maagizo ya Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo. Hayo ni…
Israel yaua watu watatu Kusini mwa Lebanon baada ya kutishia mashambulizi mapya ya kijeshi
Jeshi la Israel limewaua watu watatu katika maeneo ya kusini mwa Lebanon kupitia mashambulizi ya anga yaliyotekelezwa kwa nyakati tofauti, siku chache tu baada ya kutoa onyo la kuanzisha mashambulizi…
Maandamano Paris kulaani mauaji ya halaiki Sudan, UAE yashutumiwa kwa kuunga mkono RSF
Mamia ya waandamanaji walikusanyika Jumamosi karibu na Mnara maarufu wa Eiffel mjini Paris kulaani mauaji ya halaiki yanayoendelea nchini Sudan, huku wakiishutumu serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)…
Iraq yaanza upigaji kura maalum wa uchaguzi wa bunge kwa wanajeshi na wakimbizi
Mchakato wa upigaji kura maalum kwa ajili ya wanajeshi na wakimbizi katika uchaguzi wa bunge la Iraq umeanza rasmi leo Jumapili katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo.
Maandamano yazuka Nigeria kufuatia tishio la Trump la kuivamia nchi hiyo kijeshi
Wananchi walimiminika mitaani siku ya Jumamosi katika jiji la Kano, kaskazini mwa Nigeria, kupinga vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani, vya kuivamia nchi hiyo kijeshi.
Wivu silaha inayoimarisha, kuharibu uhusiano
Wivu, unapodhibitiwa vyema, unaweza kuwa mlinzi wa upendo. Lakini ukiachiwa uhuru kupita kiasi,...
Bellingham, Foden warudishwa England, Trent atemwa
Meneja wa England, Thomas Tuchel jana ametangaza kikosi cha timu ya Taifa ya nchi hiyo kwa...
Let us nurture peace
DAR ES SALAAM: TANZANIA has concluded the much-awaited General Election with results on ballot paper out and special seats Members of Parliament (MPs) already named. Different steps are currently being…
Unaanzaje kuwa bahili kwa mwenza wako?
Wakati mwingine, mtu anaweza kuwa bahili bila hata kujitambua, jambo linaloathiri kwa kiasi...
Usiwajengee watoto mazingira kuja kuwalaumu
Ukweli ni kwamba, mtoto asiyefundishwa kujitegemea ni mzigo. Wazazi wanapaswa kujifunza kutoka...
Namna ya kumsaidia mtoto aliyeshuhudia vurugu
Mzazi au mlezi anayo nafasi muhimu katika kumsaidia mtoto kupunguza athari hizo kabla...
Simba kileleni Ligi Kuu ikiichapa JKT Tanzania
Simba imekwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuibuka na ushindi wa...
Itembe River Bridge construction reaches 95pc completion
MEATU: THE construction of the Itembe River Bridge in Meatu District, Simiyu Region, is now 95 per cent complete, according to the Tanzania National Roads Agency (TANROADS). Speaking to journalists…
Amani, umoja viwe msingi wa maisha kwa kila Mtanzania
ILI taifa lolote lipate maendeleo, kuna mambo ya msingi yanayopaswa kuzingatiwa, ikiwemo uwepo wa amani na utulivu. Amani katika nchi inachochea ustawi wa jamii kwani huvutia wawekezaji, watalii na kuchochea…
Chalamila ataka wadau wafunze vijana umuhimu wa amani
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wadau na jamii kuendelea kutoa elimu kwa vijana hasa walio kwenye makundi ya waendesha pikipiki (bodaboda) na bajaji juu ya…
HESLB yatoa bil 215.3/- kwa wanafunzi 66,987
Na Mwandishi Maalumu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo na ruzuku kwa wanafunzi wa vyuo ambapo wanafunzi…
Polisi yaanika athari vurugu uchaguzi, yasaka wanane
JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, mwaka huu katika maeneo mbalimbali nchini. Pia, limesema linaendelea na msako mkali…
ZPC cuts import fees to stabilise food prices
ZANZIBAR: IN a move to control the rise of food prices in the isles, the Zanzibar Ports Corporation (ZPC) has announced an 80 per cent reduction in levies on all…
Serikali kutumia jitihada zote amani iendelee
RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye amani na umoja na kuendelea kuwa mfano wa utulivu katika Afrika na dunia…