Rais wa Korea Kusini Lee Myung yuko Japan kwa ziara rasmi
Lee pia anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington siku ya Jumatatu wiki Ijayo. Katika ziara yake ya kwanza rasmi Japan, Lee atakutana na Waziri Mkuu Shigeru…
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa panga aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw
#HABARI: Watu wasiojulikana wamemshambulia kwa panga aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Same, Bw. Yusto Mapande, wakati akiingia nyumbani kwake, ambapo katika tukio hilo, Mapande alijeruhiwa mkononi na mguuni…
Uganda yawinda nusu fainali kwa kumenyana na Senegal
Uganda Cranes wanaingia katika mechi hiyo wakiwa na matumaini makubwa baada ya kuongoza Kundi C na kutinga hatua ya mtoano ya CHAN kwa mara ya kwanza katika historia yao. Uganda…
#HABARI: Wakazi 3,020 wa Kijiji cha Kenyamonta na Vijiji jirani vya Kata ya Kenyamonta, wanatarajia kuanza kupata huduma ya afya…
#HABARI: Wakazi 3,020 wa Kijiji cha Kenyamonta na Vijiji jirani vya Kata ya Kenyamonta, wanatarajia kuanza kupata huduma ya afya baada ya kuanza ujenzi wa Zahanati ya Kenyamonta inayogharimu zaidi…
Mwaendesha mashtaka ataka Joseph Kabila anyongwe
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha maombi kutaka Joseph Kabila ahukumiwe adhabu ya kifo kwa makosa ya uhaini katika kesi inayomkabili mahakamani. Jenerali Lucien René Likulia aliyemwakilisha…
Waendesha mashitaka Kongo wataka Kabila ahukumiwe kifo
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha maombi kutaka Joseph Kabila ahukumiwe adhabu ya kifo kwa makosa ya uhaini katika kesi inayomkabili mahakamani. Jenerali Lucien René Likulia aliyemwakilisha…
#HABARI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco G
#HABARI: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna msaidizi Mwandanizi wa Polisi (SACP) Marco G. Chilya, amewataka watendajiwa wa Dawati la Jinsia na watoto Mkoani Ruvuma kuendelea kujikita katika utoaji…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 23, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 23, 2025