Rais wa Iran: Marekani na Ulaya lazima zionyeshe “uaminifu wa dhati”
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ameitaka Marekani na nchi za Ulaya kuonesha uaminifu wa dhati endapo zinataka kurejesha imani na Iran.
Gharibabadi: Uhusiano imara wa Iran na Saudi Arabia utaleta manufaa makubwa
Naibu waziri wa mambo ya nje wa Iran anayeshughulikia masuala ya kimataifa na kisheria, Kazem Gharibabadi, amesisitiza umuhimu wa kistratejia wa kurejeshwa kwa uhusiano na Saudi Arabia, akisema kuwa kuimarika…
Hasira ya Israel Kufuatia Ushindi wa Mamdani kama Meya wa New York
Mawaziri wa utawala katili wa Israel wameonyesha ghadhabu kufuatia kuchaguliwa kwa Zohran Mamdani kuwa meya wa jiji la New York nchini Marekani, wakimshambulia kwa tuhuma mbalimbali.
Trump Asema Afrika Kusini Haipaswi Kuwa Katika G20, Akataa Kuhudhuria Kikao cha Johannesburg
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Jumatano kuwa Afrika Kusini inapaswa kuondolewa kutoka kundi la G20, na kwamba hatahudhuria mkutano ujao wa kilele nchini humo.
Mashirika ya UN yaonya kuhusu ukatili dhidi ya raia wanaokimbia El Fasher, Sudan
Mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa yamesema Jumatano kuwa yana wasiwasi mkubwa kufuatia taarifa za kuongezeka kwa ukatili na madhila dhidi ya raia wanaokimbia mji wa El Fasher, Sudan.
Ademola Lookman avurugana na kocha wake Atalanta
Mshambuliaji wa Atalanta, Ademola Lookman, alilazimika kushikiliwa na wachezaji wenzake baada...
Viongozi wa dunia wameanza kuwasili Brazil kuhudhuria mkutano wa COP30
Baadhi ya viongozi wa Dunia wamewasili nchini Brazil na kutembelea msitu wa Amazon ikiwa ni katika juhudi za kujaribu kuonesha dunia kuwa suala la mabadiliko ya tabia nchi bado linasalia…
Hizi hapa ajira mpya bungeni, vigezo vyaanikwa
Lengo la ajira hizo ni kuongeza nguvu kazi na kuboresha utendaji wa sekretarieti ya Bunge.
China: Tunaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani
Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetangaza kuwa, Beijing inaunga mkono haki ya Iran ya kutumia nishati ya nyuklia kwa malengo ya amani.
Foden ang’ara Man City ikiichapa Dortmund Etihad
Manchester City imzeidi kujiweka pazuri kuelekea hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Foden ang’ara Man City ikiichapa Dortmund Etihad
Manchester City imzeidi kujiweka pazuri kuelekea hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Kwa nini kilio cha machungu ya Wapalestina hakisikiwi na walimwengu?
Hakuna usiku mtulivu huko Gaza, si kabla ya kusitishwa kwa mapigano au baada ya tangazo la amani na usiitishaji vita la Sharm el-Sheikh nchini Misri.
Araqchi: Iran iliilazimisha Marekani na Israel ‘kusitisha mapigano bila masharti’ badala ya ‘kusalimu amri bila masharti’
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesifu kusimama kidete kwa nchi dhidi ya uvamizi wa hivi karibuni wa siku 12 wa Marekani na Israel, akisema kusimama kidete…
Alkhamisi, Novemba 6, 2025
Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1447 Hijria mwafaka na 16 Novemba 2025.
Ukraine yahitaji msaada kulinda ugavi wa nishati
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema nchi yake inahitaji msaada zaidi wa kimataifa ili kulinda usambazaji wake wa nishati kutokana na mashambulizi ya Urusi.
Katibu Mkuu wa UN aonya: Kikosi kitakachotumwa Ghaza lazima kiwe na “uhalali kamili wa kimataifa”
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa kikosi chochote cha kurejesha uthabiti na utulivu kitakachopelekwa Ukanda wa Ghaza lazima kiwe na "uhalali kamili wa kimataifa" ili kuwasaidia…
Mashujaa wa Mau Mau Kenya waishtaki serikali wakitaka fidia ya shilingi bilioni 10
Waliokuwa wapiganaji wa Mau Mau nchini Kenya kutoka Kaunti ya Meru wameishtaki Serikali, wakitaka iwalipe fidia ya shilingi bilioni 10 kwa vitendo vya ukiukaji wa haki walivyotendewa baada ya nchi…
Reuters: Serikali ya Trump inafikiria kuizuia Saudia ndege za kisasa za kivita za F-35
Shirika la habari la Reuters limenukuu chanzo cha kuaminika ambacho hakikutaka kitajwe na kutangaza kwamba serikali ya Trump inapitia ombi la Saudi Arabia la kununua ndege 48 za kivita za…
Uchaguzi wa Tanzania ulikiuka vigezo vya demokrasia: Waangalizi wa AU
Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Afrika katika ripoti yao ya baada ya uchaguzi wa Tanzania wanasema zoezi hilo halikuzingatia kanuni za kidemokrasia, uchaguzi ambao uligubikwa na vurugu siku ya…
Mahakama ya Juu Mauritania yaidhinisha kifungo cha miaka 15 jela alichohukumiwa rais wa zamani
Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, ameshindwa katika rufaa yake ya mwisho aliyokata ya kupinga kifungo cha miaka 15 jela alichohukumiwa baada ya kupatikana na hatia ya…
Waangalizi wa Umoja wa Afrika:Uchaguzi Tanzania ulivurugwa
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia…
Waangaliozi wa Umoja wa Afrika:Uchaguzi Tanzania ulivurugwa
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia…
Marekani yatishia kutokuunga mkono ujumbe wa amani wa Abyei
Marekani imesema itaondoa uungwaji wake mkono wa kurefusha ujumbe wa amani wa kimataifa katika eneo linalozozaniwa la Abyei kati ya Sudan na Sudan Kusini.
Nigeria:Kauli za Marekani kuhusu Wakristo zina upotoshaji
Nigeria imesema kuteuliwa kwa kama nchi inayokiuka uhuru wa kidini na Marekani kulikuwa na taarifa za upotoshaji.
Israel yapokea mwili wa mateka mwingine wa Gaza
Israel imepokea mabaki ya mwili wa mateka mwingine wa Israel aliyekuwa akishikiliwa huko Gaza tangu shambulizi la Hamas mnamo Oktoba 7 mwaka 2023.
NATO kupokea tuzo ya amani ya Westphalia 2026
Jumuiya ya kujihami ya NATO itapokea Tuzo ya Kimataifa ya Amani ya Westphalia ya mwaka 2026. Tuzo hiyo itatolewa katika mji wa Münster.
06.11.2025
Ujumbe wa waangalizi wa Umoja wa Afrika ulisema jana Jumatano kwamba uchaguzi wa Tanzania uliofanyika mnamo Oktoba 29, haukukidhi viwango vya kidemokrasia+++Urusi imesema vikosi vyake vinaendelea kusonga mbele maeneo ya…
06.11.2025 Matangazo ya Asubuhi
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mamlaka za Tanzania zinakabiliwa na shinikizo kubwa kuhusu ripoti za maafisa wa usalama kuwapiga risasi na kuwaua waandamamanji waliojitokeza mitaani kuupinga uchaguzi uliofanyika nchini humo…
06.11.2025 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wasema uchaguzi mkuu wa Tanzania ulikumbwa na mapungufu ya uadilifu. Marekani yatishia kutokuunga mkono ujumbe wa amani wa Umoja wa Mataifa katika eneo…
Tanzania: Bei ya Petroli yabakia pale pale
Gharama hiyo ni sawa na ile iliyokuwa ikitumika kwa kipindi cha kuishia Oktoba 31, 2025.
Zaidi ya Wapalestina 9,000 wanashikiliwa katika jela za Israel
Taasisi tatu za Palestina zinazohusiana na masuala ya mateka zimetangaza kuwa, utawala wa Israel unawashikilia Wapalestina 9,250 katika jela zake.
‘Karibuni Tanzania, ipo salama’, yasema Wizara ya Utalii
Hakikisho hilo linafuatia vurugu zilizoibuka wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 na kusabisha vifo vya watu, majeruhi na uharibu wa mali.
Heche afunguliwa mashtaka kwa makosa ya Ugaidi
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema makamu mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka kwa makosa ya Ugaidi, ikiwa ni siku kadhaa baada ya ghasia za baada ya uchaguzi…
Ushindi wa Zohran Mamdani wapokewa kwa shangwe Uganda
Je, unafahamu kwamba Meya mpya wa jiji maarufu zaidi nchini Marekani, New York, Zohran Mamdani, alizaliwa na kukulia nchini Uganda Mafanikio yake ya kisiasa yamewafanya raia wa Uganda kujivunia kwa…
Mwenye asili ya Uganda ashinda umeya New York
Jiji la New York limemchagua Zohran Kwame Mamdani (34), mzaliwa wa Kampala nchini Uganda, kuwa...
Uchaguzi wa spika wa bunge la DRC kufanyika Alhamisi wiki ijayo
Uchaguzi wa spika wa bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, unatarajiwa kufanyika Alhamisi, wiki ijayo. Imechapishwa: 05/11/2025 – 17:16 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma yanayofuata…
Wakili Mwasipu afunguka yanayomkabili Heche
Ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Jeshi la Polisi limkamate John Heche ambaye ni Makamu...
Muuguzi ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kuuwa watu 10
Muuguzi mmoja amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani Kwa Kuwaua Wagonjwa 10 na Jaribio la Kuwaua Wengine 27 nchini Ujerumani. Ushahidi umeonesha kuwa alitekeleza hayo ili kupunguza wingi wa kazi.
Watu 40 wamuewa kwenye shambulio katika hafla ya mazishi Sudan
Nchini Sudan, shambulio katika hafla ya mazishi katika mji wa El-Obeid kwenye eneo la Kordofan limewaua watu 40, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, huku wanajeshi wakionekana kuwa tayari kufanya…
Walichokiona waangalizi wa kimataifa uchaguzi Tanzania
Amesema miongoni mwa mageuzi muhimu ni kuanzishwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na...
Uchaguzi mkuu ulivyositisha shughuli za Mahakama
Vurugu zilizotokea kwenye baadhi ya maeneo nchini wakati wa uchaguzi mkuu, ziliathiri...
Pakistan yaongeza ukandamizaji dhidi wa Afghanistan
Pakistan imeongeza ukandamizaji dhidi ya wahamiaji kutoka Afghanistan baada ya mapigano, waathirika wa visa vya unyanyasaji , wanasema serikali ya Pakistani inaongeza shinikizo la kuwataka kuondoka nchini humo.
Watu 48 wameuawa katika maandamano ya kupinga ushindi wa Paul Biya
Watu 48 wameuawa nchini Cameroon, kufuatia maandamano ya wapinzani kupinga ushindi wa rais Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92 kuendelea kuongoza kwa muhula wa nane. Imechapishwa: 05/11/2025 – 16:46Imehaririwa:…
Tanzania: John Heche afunguliwa mashtaka ya ugaidi: Chadema
Chama Kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kimesema Makamu Mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka ya ugaidi, siku chache baada ya kukamatwa kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa Oktoba tarehe…
Daladala 150 zaongezwa Mbezi-Mnazi Mmoja, Posta
Daladala hizi zitatoa huduma katika ruti za Mbezi -Posta, Mbezi-Mnazi Mmoja, Mbezi- Muhimbili...
John Heche ashtakiwa kwa ugaidi
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimesema makamu mwenyekiti wake John Heche amefunguliwa mashtaka ya ugaidi, siku chache baada ya ghasia za uchaguzi kuikumba nchi hiyo.