Wanariadha wa Kenya washinda mbio za marathon za New York kwa wanaume na wanawake
Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri…
Wanariadha wa Kenya washinda mbio za marathon za New York kwa wanaume na wanawake
Kenya iliwakilisha vyema kwa mbio za Marathon za New York Jumapili, wakati Benson Kipruto alipomaliza kwa muda wa saa mbili dakika nane na sekunde tisa kwa wanaume huku Hellen Obiri…
Tehran yakabiliwa na uhaba wa maji ya kunywa, Bwawa lake kuu limekauka
Tehran na eneo linaloizunguka ziko hatarini kukosa maji ya kunywa ndani ya wiki mbili kutokana na ukame usio wa kawaida. Mabwawa kadhaa yamekauka na imekuwa vigumu kusambaza maji katika mji…
Israel yatekelezwa mashambulizi Gaza, wawili wauawa katika Ukingo wa Magharibi
Mashambulizi ya anga ya Israel yameripotiwa huko Khan Younis, kusini mwa Ukanda wa Gaza. Idadi ya vifo katika eneo lililozingirwa imeongezeka hadi 236 tangu kuanzishwa kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.…
Al-Hilal SC ya Sudan kucheza ligi kuu ya Rwanda
Mwenyekiti wa Al Hilal Omdurman SC ya Sudan, Yasir Hassan Ibrahim amelishukuru shirikisho la soka nchini Rwanda, FERWAFA kwa kuzipa timu hizo fursa ya kushiriki ligi kuu kandanda ya Rwanda.
Israel: Mwendesha mashtaka wa zamani wa Jeshi akamatwa kwa kuvujisha video ya vurugu za gerezani
Mwendesha mashtaka wa zamani wa jeshi la Israel alitangaza kujiuzulu kwake siku ya Ijumaa, Oktoba 31. Baada ya kutoweka kwa muda mwishoni mwa wiki, huku msako ukiendelea kwa saa kadhaa,…
Kimbunga Melissa: Umoja wa Mataifa waimarisha msaada Jamaica na Cuba
Umoja wa Mataifa umeimarisha juhudi zake za kibinadamu kukabiliana na uharibifu mkubwa uliosababishwa na Kimbunga Melissa katika eneo la Karibe, huku misaada ikiendelea kutolewa nchini Jamaica na Cuba, kwa mujibu…
FAO: Watu bilioni 1.7 wanakabiliwa na upungufu wa mavuno kutokana na uharibifu wa ardhi
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo Duniani (FAO), limeripoti kuwa watu takribani bilioni 1.7 wanapoteza mavuno kutokana na uharibifu wa ardhi unaosababishwa na binadamu kwenye maeneo mbalimbali…
Changamoto zikiongezeka duniani, viongozi Doha wasihi kuhama kutoka maneno kwenda vitendo
Kadri changamoto za kimataifa zinavyozidi kuongezeka, serikali, asasi za kiraia na washirika wa kimataifa wamekutana Doha nchini Qatar leo Jumatatu ili kuangazia majawabu thabiti ya kuendeleza maendeleo ya kijamii na…
Kilimo cha umwagiliaji kinavyobadilisha maisha ya wakulima nchini Nigeria
Kilimo ni moja ya sekta muhimu za kiuchumi nchini Nigeria, kikiajiri zaidi ya theluthi moja ya watu wote nchini humo. Lakini hali ya hewa isiyotabirika imefanya kilimo kuwa shughuli yenye…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yaeleza wasiwasi mkubwa kuhusu mauaji na uhalifu El Fasher
Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa tamko juu ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti mpya kutoka El-Fasher, jimboni Darfur Kaskazini, nchini Sudan, zikieleza kuwepo kwa…
Bisha hodi Mbezi Garden nchini Tanzania uone manufaa ya mradi wa We-Fi wa Benki ya Dunia na wadau
Mpango wa Ufadhili Wajasiriamali Wanawake, (We-Fi) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia na wadu umewezesha biashara kukwamuka nchini Tanzania baada ya janga la COVID-19, hatua ambayo imeinua pia jamii nzima na…
Tanzania: Samia Suluhu Hassan aapishwa kama rais kwa muhula mwingine wa miaka mitano
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo Jumatatu kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine wa miaka mitano chini ya ulinzi mkali. Anaapishwa baada ya uchaguzi uliokumbwa na maandamano yenye…
Mama Samia aapishwa kwa muhula mwingine wa urais
Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameapishwa leo Jumatatu kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mpya wa miaka mitano. Rais Samia ameapishwa baada ya uchaguzi uliogubikwa na vurugu.
Samia Suluhu Hassan aapishwa rasmi kama Rais wa Tanzania
Rais Samia aliapishwa katika sherehe rasmi za kijeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Dodoma.
Samia Suluhu Hassan aapishwa rasmi kama Rais wa Tanzania
Rais Samia aliapishwa katika sherehe rasmi za kijeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Dodoma.
Baghaei: Utawala wa Israel ulikiuka usitishaji vita Gaza tangu mwanzo
Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran ameashiria kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kusisitiza kuwa: "Tangu maelewano ya amani yalipoanzishwa na kuanzishwa…
UNICEF yaonya kuhusu mzozo wa kibinadamu kwa watoto Gaza licha ya kusitishwa mapigano
Msemaji wa Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) ameashiria hali mbaya inayowakabili zaidi ya watoto milioni moja huko Gaza, ambao wanaendelea kuhitaji chakula na maji kwa dharura.
Mapigano ya jeshi na wanamgambo RSF yaendelea huku walimwengu wakishindwa kuzipatanisha pande hasimu
Vita haribu na angamizi vya Sudan viinaendelea huku jamii ya kimataifa ikioonekana kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro huo wa ndani.
Tetemeko la ardhi laikumba Afghanistan, makumi waripotiwa kufariki dunia
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.3 kwa vipimo vya richter limeikumba Afghanistan usiku wa kuamkia leo na kusababisha vifo vya makumi ya watu.
Umuhimu wa kusimama kidete Muqawama wa Lebanon katika kukabiliana na njama za Marekani na Israel
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu wa Lebanon Hizbullah Sheikh Naim Qassem, amesisitiza kuwa Hizbullah haitasalimu amri kwa vitisho vya Marekani kwa sababu nchi hiyo si mpatanishi asiyeegemea…
Rais Samia aapishwa kuiongoza tena Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameapishwa leo Jumatatu kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mpya wa miaka mitano. Ameapishwa baada ya uchaguzi uligubikwa na vurugu.
Rais Ruto ampongeza Rais Samia
Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani huku nchi hiyo ikukumbwa na machafuko ya kisiasa kufuatia maandamano ya kupinga uchaguzi uliofanyika Oktoba 29.
Rais Ruto ampongeza Rais Samia
Rais wa Kenya William Ruto ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani huku nchi hiyo ikukumbwa na machafuko ya kisiasa kufuatia maandamano ya kupinga uchaguzi uliofanyika Oktoba 29.
Iran: Tumejiandaa zaidi hivi sasa hata kuliko kabla ya vita vya siku 12
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesema kwamba Jamhuri ya Kiislamu imejiandaa zaidi kwa vita hivi sasa kuliko hata ilivyokuwa kabla ya vita vya siku 12…
Israel imeshakanyaga mara 194 makubaliano ya kusitisha vita Ghaza
Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Ghaza imetangaza kwamba jeshi vamizi la Israel limeshakanyaga mara 194 makubaliano ya kusitisha vita huko Ghaza yaliyofikiwa tarehe 10 Oktoba kwa ajili ya kumaliza…
Jeshi la Uganda lazima mashambulizi ya waasi magharibi mwa nchi
Jeshi la Uganda UPDF limetangaza kuwa, limefanikiwa kuzima mlolongo wa mashambulizi yaliyoratibiwa vyema na vikundi vyenye silaha ambavyo vilishambulia vituo vya kijeshi na polisi katika maeneo ya magharibi ya nchi…
Rais Tshisekedi: Mazungumzo ya amani na waasi wa M23 yataanza tena Doha
Rais Felix Tshisekedi wa DRC amesema kuwa, mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la Machi 23 (M23) yataanza tena…
Serikal ya Lebanon hatimaye yachukua hatua za kupambana na Israel
Baada ya kupita miezi kadhaa ya kutochukua hatua, hatimaye serikali ya Lebanon imeamua kupambana na Israel kwa kupeleka jeshi lake mpakani ili kukabiliana na uchokozi wa mara kwa mara wa…
Donald Trump: ‘nadhani’ siku za Nicolás Maduro kama rais wa Venezuela zinahesabiwa
Donald Trump “anafikiri” siku za Nicolás Maduro kama rais wa Venezuela zinahesabiwa, amesema katika mahojiano na kituo cha Marekani cha CBS, yaliyorushwa siku ya Jumapili, Novemba 2, 2025. Imechapishwa: 03/11/2025…
Afghanistan: Tetemeko la ardhi kaskazini lasababisha vifo vya watu kadhaa, kulingana na mamlaka
Tetemeko la ardhi lililotokea kaskazini mwa Afghanistan usiku wa Jumapili, Novemba 2, kuamkia Jumatatu, Novemba 3, 2025, limesababisha vifo vya watu wengi, Wizara ya Afya imetangaza. Imechapishwa: 03/11/2025 – 06:48…
Mkutano wa nchi za Kiislamu kuhusu hali ya Gaza kufanyika Uturuki
Istanbul itakuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nane zenye Waislamu wengi Jumatatu, Novemba 3, kujadili hali ya Gaza. Nchi hizo ni Falme za Kiarabu,…
Cameroon kukumbwa na awamu mpya ya maandamano
Awamu mpya ya maandamano ya baada ya uchaguzi inaanza leo Jumatatu, Novemba 3, 2025, katika miji kote nchini Cameroon. Issa Tchiroma Bakary,aliyechukuwa nafasi ya pili katika uchaguzi wa urais, ambaye…
Kenya: Maporomoko makubwa ya matope yauawa watu kadhaa Elgeyo Marakwet
Nchini Kenya, maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa yamewaua watu 21 magharibi mwa nchi. Karibu watu 30 hawajulikani walipo, na 25 waliojeruhiwa vibaya wamesafirishwa kwa ndege hadi hospitalini. Imechapishwa:…
DRC: Polisi yatangaza kuimarisha msako dhidi ya magenge katika mji wa Kinshasa
Polisi nchini DRC imetangaza kuimarishwa kwa msako dhidi ya magenge yanayoitwa “Kuluna” katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kinshasa. Operesheni “Kanga Kanga” (“kukamatwa bila huruma”) inakuja huku kukiwa na ongezeko…
Israel yapokea kile Hamas inasema ni mabaki ya mateka wengine 3 waliokufa kutoka Gaza
Israel siku ya Jumapili imepokea miili ya mateka wengine watatu waliofariki ambao Hamas imesema ni mateka wengine watatu waliofariki huko Gaza. Imechapishwa: 03/11/2025 – 05:19 Dakika 1 Wakati wa kusoma…
Marekani yakaribisha hatua zilizopigwa kati ya Rwanda na DRC kuelekea amani
Mshauri maalumu wa rais wa Marekani kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, amekaribisha hatua zilizopigwa na nchi za Rwanda na DRC kuelekea kupata muafaka wa kudumu baina ya pande hizo…
Tanzania: Rais mteule Samia Suluhu Hassan kuapishwa leo
Shirika la utangazaji nchini Tanzania, TBC, limeripoti kuwa rais mteule Samia Suluhu Hassan, ataapishwa hivi leo mjini Dodoma, siku chache kupita tangu atangazwe mshindi wa uchaguzi wa Octoba 29. Imechapishwa:…
Nigeria yapendekeza kukutana na Donald Trump baada ya vitisho vilivyotolewa na rais wa Marekani
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumamosi, Novemba 1, alisema kwamba anaandaa uwezekano wa kuingilia kijeshi nchini Nigeria ikiwa Abuja haitakomesha kile alichokiita “kampeni ya mateso” dhidi ya Wakristo,…
Nigeria yatupilia mbali madai ya Trump kuhusu Wakristo
Saa chache baada ya wizara ya mambo ya nje ya Marekani, kuiweka Nigeria katika orodha ya nchi zilizo chini ya uangalizi kutokana na mauaji ya Wakristo, utawala wa Abuja umetupilia…
Araqchi akadhibisha madai ya Marekani na Israel kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran, asema ni uongo mtupu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araqchi, kwa mara nyingine tena amepinga hatua ya Marekani na Israel ya kuhalalisha mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, akiitaja…
Jumapili, 02 Novemba, 2025
Leo ni Jumapili 11 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na Pili Novemba 2025 Miladia.
Hamas: Tumeshikamana na ahadi za kurejesha miili ya mateka wa Kizayuni
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetoa taarifa na kutangaza kwamba, bado inaheshimu na kushikamana na ahadi zake za kukabidhi kwa Israel miili ya mateka wa Kizayuni waliouliwa…
Wasudan 177,000 wamekwama katika mji ulioteketea
Mji wa El Fasher, ambao ni makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan, hatimaye ulitekwa na Vikosi vya Msaada wa Haraka RSF siku ya Jumapili baada ya kuzingirwa…
Marekani haina uwezo wa kukabiliana na kombora la Burevestnik la Russia
Afisa wa zamani wa masuala ya kijasusi wa Marekani ambaye pia ni mkaguzi wa zamani wa Umoja wa Mataifa amesema kwamba Marekani haina mfumo wa ulinzi wa makombora unaoweza kukabiliana…
Wahamiaji 45 wasio na vibali waokolewa pwani ya mashariki ya Libya
Wahamiaji 45 wasio na vibali wameokolewa kwenye pwani ya mji wa Tobruk wa mashariki mwa Libya. Hayo ni kwa mujibu wa gazeti la Libya Al-Watan ambalo limesema kuwa wahamiaji hao…
Jumatatu, 03 Novemba, 2025
Leo ni Jumatatu tarehe 12 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1447 Hijria inayosadifiana na tarehe 3 Novemba 2025.
Gaza: Zaidi ya wanahabari 210 wa Kipalestina wameuawa na jeshi la Israel
Novemba 2, 2013, i siku ambayo wenzetu Ghislaine Dupont na Claude Verlon waliuawa nchini Mali. Siku hii ilichaguliwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya…
Uhalifu dhidi ya waandishi wa habari barani Afrika unaongezeka
Kuanzia Guinea hadi mashariki mwa Kongo, mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari yanazidi kuwa makubwa kote barani Afrika, na kutokujali kunaendelea hata kama wahalifu mara nyingi wanajulikana. Imechapishwa: 02/11/2025 –…
Picha za marais 13 wa Afrika, Waziri Mkuu mmoja ambao wamevaa sare za jeshi karibuni
Viongozi wa Afrika wasiopungua 14 wamekuwa wakivaa sare za jeshi hadharani katika miaka ya hivi karibuni, magwanda ambayo hufanya watu kuwaangalia kwa makini.